Habari Ndugu zanguni,
Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei...
Nimeghabika kuuona mwendelezo wa kuimbwa kitofauti kwa huu wimbo mtukufu na TUNU ya JMT.
Wiki ya kampeni ya uzinduzi wa huduma wa msaada wa kisheria wa mama Samia hapa Mwanza...
Body languages, tones na facial expressions za viongozi waandamizi wa chadema hususani wa kamati kuu, zinaonyesha kabisa bado kuna migawanyiko na uhasama ndani ya chadema.
Lakini pia jana pale...
Kama Heading inavyojieleza,ni kweli toka 2016 to 2020 maono yalikua ni meng sana kua Jpm atakufa au ataongoza kwa muhula mmoja.
Je, ni kipi kinachopelekea hayo maono hayapo ndani ya utawala huu...
Tangu Tundu Lissu achaguliwe kuwa Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA Kauli Mbiu yake ni "NO REFORM NO ELECTION" na ameendelea kuilaumu CCM.
Ameenda mbali na kuilaumu CCM kuwa dosari katika chaguzi zetu...
Tangu Tundu Lissu atangaze kaulimbiu ya No Reforms No election kumekuwa na matamko kadhaa ya kkipuuzi na ya kitoto yanayotolewa na viongozi wa upande kinzani.
Kwa ujinga hawajaweza kujibu hoja za...
Tunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election
Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe
Ni ngumu sana...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna uwezekano kuna watu au kikundi cha watu au Wafuasi wa lissu wakawa na matumaini na matarajio makubwa sana na lissu kwamba anaweza badilisha au lazimisha kufanyika kwa...
"Utawakumbuka kina mch. Peter Msigwa, mch. Getrude Rwakatare, Askofu Josephat Gwajima, Mch. Israel Nakse mbunge wa karatu baada ya Dkt. Slaa wote hawa ni viongozi wa kidini ambao wametoa mchango...
Kweli Rais Samia kafungua nchi, angalia takwimu hapa kwa mujibu wa The Citizen kama zilivyoletwa kutoka ripoti za BOT:-
Kwenu muliobeza Royal Tour, ruksa kutoa povu. Ila nchi inasonga mbele
Natoa mwongozo tu Kwa hawa Vijana kwamba ukiwa muimba mapambio ujue utaimba Milele
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
Na Askofu Bagonza
RAIS SAMIA HALAZIMIKI KUFUATA NJIA YA JPM KUHUSU CHAGUZI ZETU:
Ndiyo. Rais Samia anatoka chama kile kile alichoongoza hayati JPM.
Ndiyo. Rais Samia alikuwa Makamu wa JPM...
Wakuu,
CHADEMA imeamsha matumaini ya Watanzania hasa baada ya Lissu kupiga krosi moja matata na kuwa Mwenyekiti Taifa. Watanzania walioonesha kuchoshwa na uchawa, ubadhilifu wa mali za umma na...
Meneja wa Huduma za Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Andrew Kisaka amesema kuwa ikiwa mwandishi wa habari anataka kugombea nafasi ya uongozi kwenye siasa anapaswa kuacha kazi...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimevunja mwiko wa kisiasa kudhani Pemba ni mateka wa upinzani na kwamba wanaweza kufanya watakavyo kwa kuendesha siasa za kufikirika.
Katibu wa Kamati Maalum ya NEC...
Huyu mtu mwenye asili ya Somalia anaendelea kufuja hela ya ruzuku ya tumbaku kwa wakulima. Bashe ni kikwazo na taswira rasmi ya utapeli wa chama chake kwa watanzania
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewatoa hofu vijana ambao wanataka kuwania nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi kuwa wakae tayari kuwani nafasi hizo kwakuwa ajenda...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, John Pambalu amedai kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanafanyishwa kazi ambazo si jukumu lao kuzifanya...