Kama ukisoma historia ya maeneo ya maziwa makuu ya Afrika ya kati hutakosa historia ya tawala ya falme za hima zikijulikana kama 'hima empire' na wana historia. Watutsi ni mbari ya kihima. Wahima...
Ndugu mheshimiwa Waziri naandika haya kukujuza kuwa. Kwa sasa nchini kiwango cha kelele mitaani kinatisha, ni jukumu la serikali kuchukua hatua ili kulinda Afya za wananchi na ustawi wa Taifa...
Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Jesca Kishoa amefika katika Kata ya Nkalakala Wilayani Mkalama Mkoani Singida na kufanya mkutano wa hadhara na wananchi pamoja na kusikiliza kero za wananchi.
Kupata...
"Si dalili njema kuona vijana wengi wameanza kushabikia uongozi wa kibabe (Trump na Traore) huku wakibeza demokrasia. Na wengine wengi wanamkumbuka JPM na kutamani arudi. JPM alikuwa na mazuri...
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) ameisisitiza UVCCM kuendeleza kasi ya uhamasishaji...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hana muda wa kupoteza na kukaa na Mzee Wassira ni kupoteza muda. Amesema hayo wakati akihojiwa katika Kipindi ya Dakika 45 cha ITV baada ya kuulizwa...
RAIS MWINYI: UVCCM ENDELEENI KUHAMASISHA VIJANA CCM ISHINDE NA KUSHIKA DOLA.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi...
Wadau hamjamboni nyote?
Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana!
Ukweli ni kuwa
Dkt Slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa...
Siasa ni Nini?
Siasa ni mchakato wa kuongoza jamii kupitia maamuzi, utungaji wa sheria, na utekelezaji wa sera. Inahusisha watu binafsi na makundi yanayoshindania mamlaka na ushawishi juu ya...
Yakasemwa na tume ya Jaji Kisanga, yakarudiwa na tume ya Jaji Bomani yakaja kurudiwa zaidi na tume Jaji Warioba.( Hizo ni tume zilizoundwa na wasomi huru sio machawa).
Ukweli ni kwamba ...
Mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge,uwekezaji wa Umma PIC, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatatu Februari 17, 2025 amewakaribisha wajumbe wa kamati hiyo ambao ni wabunge...
Salaam, shalom!!!
Ninapata malalamiko mengi Kwa vijana wangu wengi Walio mtaani wanaopambana kujitafuta Ili wapate chochote kitu Cha kujikimu mahitaji Yao na ya wanaowategemea.
HESLB, bodi ya...
Wakuu,
Akijibu swali la kwanini hataki kushiriki wito wa Mdahalo kati yake na Wasira katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa katika kituo cha ITV leo tarehe 17/02/2025 Tundu Lisuu alisema...
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali nchini imezindua kamati maalumu ya ushauri wa kisheria na kliniki ya sheria bila malipo mkoani Mwanza ikiwa ni hatua ya serikali ya kutatua migogoro ya...
Anahujumiwa na wenzake ndani ya chama chake mwenyewe?
Maandalizi yalikua mabovu?
Hajulikani na hakubaliki kisiasa kwao Singida?
CHADEMA haina wafuasi na wanachama wengi Singida?
Au unadhani...
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Juma Chikoka, ameendelea na ziara zake za "Mguu kwa Mguu", akiahidi kufika kila kijiji na mtaa wilayani humo ili kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi.
Ziara hizi...
Chadema hii ndio no reform no election?
1. Lissu
2. Heche
3. Amani
4. Lema
5. Mayemba
6. Deogratius wa BAVICHA
Mbona hawa watu wepesi sana ktk kupigania vitu vikubwa kama hivyo.
Tuungalie cuf enzi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kinachopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi. Rais wetu mpendwa Amefika hapo alipo kiuongozi kwa Neema tu ya Mwenyezi Mungu. Amepanda na kukwea ngazi za kiuongozi kwa...
Mwakilishi sauti ya watanzania (club house) - Kaswahili Juma Kaswahili, amesema kuwa wanamuunga mkono Tundu Lissu tokea siku ya kwanza alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA, hivyo wanaangalia...