Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika wana Mbeya hawakukosea wala kufanya makosa katika kumpa kura za ndio Mheshimiwa spika na Rais wa IPU na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu...
Anaandika Sam Ruhuza kukosoa mfumo wa Teuzi kuwatenga Wananchi wa Wilaya ya Ngara.
Ndugu zangu Wanangara!
Nimetafakari sana hizi teuzi serikalini, kuna sehemu sizielewi, mnisaidie!
Ngara...
Nawasalimu Kwa Jina la mwenyezimungu mwingi wa kusamehe, najaribu kutafakali kuhusu tabia za watanzania najaribu kulinganisha na mataifa mengi ya wazungu au wachina au wajapani kuhusu uzalendo...
Ni kweli suala la mchakato wa ujenzi wa jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza limechukua muda mrefu na sasa wananchi waliahidiwa Mwezi February 2024 mkataba ungesainiwa hapahapa Mwanza. Tuliamini...
Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa...
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amemshukia RC Chalamila wa DSM na kumtaka aache Ubabe kwani umepitwa na Wakati
Karume katoa onyo hilo kufuatia kauli ya Chalamila Kwamba Tanroads...
Shehe Kisq amesema wale ambao hawatambui juhudi zilizofanywa na zinazofanywa na Rais Samia kimsingi wanasukimwa na Roho mbaya na sio uhalisia wa mambo.
---
Kiongozi mmoja wa madhehebu ya Kiislamu...
Maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa yanaanza lini? Mbona kimya kwa TAMESIMI na hata vyama vya siasa hasa vya upinzani?
Vyama vya upinzani mlipaswa kujiandaa na wakati huu wanachama wenu...
Sikutaka kusema haya lakini ni bora niyaseme Sasa ili 2025 baada ya kampeni ndefu ninayokusudia kuifanya inayokwenda kwa jina la 2025 MPE MAMA TABASAMU kukamilika na matokeo kuonekana ,isije...
CCM kwa bahati mbaya sana imejaa watu wanafiki. Watu ambao kwao kilicho muhimu ni kuwa na madaraka. Ndiyo maana huwezi kumsikia kiongozi wa CCM au Serikali akiikosoa CCM au Serikali au Rais...
Imenibidi nichukue Bible yangu na kusoma Kitabu cha Mambo ya Nyakati ili nijipe Maarifa na kumbukumbu sawia
Nashawishika kusema Nyakati Hizi ni za Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere
Mwenye...
Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa...
Ulimwengu wa kibepari unataka mwanasiasa anayeweza kusimama mwenyewe kiuchumi na siyo mwasiasa mjamaa. Viongozi wengi hawana nyumba ila wana magari makubwa ambayo kama siyo ya serikali basi ni...
Sijajua Rais Kagame amewaza nini lakini nimeona ni ushauri Mzuri
Rais Kagame amesema mrithi wake wa uRais awe na umri wa miaka 30 hadi 49
Hii maana yake ingekuwa Tanzania uRais ungewahusu Akina...
Ni muda sasa wakuambiana ukweli.
Na ukweli ni kwamba sikweli kuwa changamoto na matatizo ya Watanzania yatatamatika pale CCM itakapo toka madarakani.
Mtanzania ana matatizo na changamoto za aina...
Ukiondoa taifa la America na baadhi ya mataifa ya ulaya, wengi wa viongozi wakuu wa taifa mbali mbali wang'angania kuilaumu Israel kwa uisambaratisha Hamas. Sasa israel inajipanga kuivamia RAFAH...
Kwa kawaida mabalozi hawaingilii mambo ya ndani ya nchi wanapowakilisha. Bila shaka ndio taratibu. Mambo ya vyama vya siasa ni mambo ya ndani ya nchi husika. Lakinini utasikia balozi wa marekani...
Mwenyezi Mungu huwa anafanya kwa wakati wake.
Tanzania kuna muda tuliomba na kuhiyaji viongozi na Rais atakaye liunganisha Taifa. Kwa hakika tumepata Samia Suluhu Hassan ambaye sio tu kaunganisha...
Japo hatujawahi kufundishwa kwa kina kuhusu kitu kinaitwa Deep State lakini tunaeleweshwa mahali mbali mbali kwamba Deep State ni Kundi la Siri la Wazalendo ambao ndio hasa Husukuma Gurudumu la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.