Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wananchi wa Arusha bado tunakumbuka miaka ya mateso wakati wa ubunge wa binamu yake Mzee Mbowe. Hatutaki kurudia yale mateso ambayo ni pamoja na fujo za mara kwa mara hadi mkoa ukakosa wageni...
4 Reactions
62 Replies
2K Views
Sijapenda kabisa, kuna umuhimu Sana WA BARAZA La WANAWAKE WA CHADEMA kupewa HESHIMA KUBWA. Nimefuatilia nikajulishwa kuwa lile kusanyiko kubwa namna Ile kwa asilimia karibia 75% ni majitoleo ya...
45 Reactions
124 Replies
6K Views
Wasaidizi wa Mwenyekiti Wetu Wa Chama Taifa na Rais wapo busy kuandaa matamasha wao kwa wao kumpongeza na kumchukulia fomu moja,Ajabu ni kwamba huku mtaani Kiongozi wetu ushawishi wake unashuka...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Hakunaga Zawadi kubwa ambayo Shujaa Magufuli amewaachia Watanzania kama mradi wa Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere Mtambo namba 9 utakaozalisha zaidi ya megawatt 240 umewashwa jana kwa mafanikio...
39 Reactions
111 Replies
6K Views
Hawa wanawake na wanaume wanaodai kuchangia 120M wametumia posho na fedha za serikali ambazo ni kodi za wananchi. Wengi wametoka Dodoma na wanalipwa kwa kuwepo nje ya ofisi kikazi. Lakini wengi...
3 Reactions
12 Replies
885 Views
Panapo majaliwa 2030 nitatimiza miaka 40 umri amabao utaniruhusu kugombea urais. Nikiukwaa urais nitafanya mabadiliko makubwa ya muundo wa serikali na sera zake. Ili kuyapata mabadiliko haya...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Asilimia zaidi ya 80 ya Watanzani, walimwamini JPM kupitia njia zote alizokuwa akizitumia kuikwamua Tanzania kutoka kwenye lindi la umasikini na umasikini wa Watanzania na hata leo bado...
5 Reactions
17 Replies
795 Views
Kwa mtazamo huo unaweza kuona mshindi wa Jumla atakuwa CCM kwa sababu Eneo kubwa la Tanzania ni Vijijini Hili huitaji kufafanuliwa na Mganga wa kienyeji Kwamba Bush Stars kuchele Ila bunge...
0 Reactions
1 Replies
255 Views
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara – Bonyokwa – Kinyerezi kwa kiwango cha lami; Sehemu ya kwanza yenye urefu wa...
2 Reactions
7 Replies
852 Views
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya...
22 Reactions
379 Replies
40K Views
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ameenda kinyume na Lisu kwa kutangaza kuwa Chadema haitashiriki uchaguzi mkuu nchini wa mwaka 2025, hivyo kumpa nafasi rais Samia kuendelea kutawala mpaka 2030...
21 Reactions
209 Replies
16K Views
Suala la ukosefu wa ajira Tanzania ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na chama cha mapinduzi ya kuboresha elimu ili vijana wengi wapate elimu” FAKII LULANDALA – KATIBU MKUU UVCCM TAIFA. Kuhusu...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mkurugenzi...
11 Reactions
77 Replies
17K Views
Kuanzia Nyerere hadi Kikwete wote wanasema waliombwa na Wazalendo Ndani ya Vyama vyao wagombee Urais Magufuli akasema alibeep akajikuta amesukumiziwa huko Ndani ya Urais Hata Dr Slaa 2010...
3 Reactions
5 Replies
559 Views
I’m just curious to know what inspires my fellow Tanzanians? In the US, the American Dream has inspired many to work hard, taking calculated risks in order to achieve greatness. Those who commit...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea Ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye...
12 Reactions
71 Replies
6K Views
Hakika mwenye ccm yako hayupo tena.Namkumbika hata mzee kingunge aliwahi kusema ccm aliyoiacha nyerere sio hii iliopo na sababu alisema ccm hii haifuati katiba yake mtu mmoja anakuwa ndio katiba...
3 Reactions
7 Replies
584 Views
Mbunge Fyandomo Awataka Wanawake Kuacha Uoga MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Fyandomo amewataka wanawake kuwa mstari wa mbele kugombea nafasi zozote zinapojitokeza na wasisite wala...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Jana usiku nimeshuhudia Chuma cha Dr Mwakyembe pale Buguruni kikiyoyoma kuelekea Pugu Legacy Mungu wa mbinguni mbariki Dr Mwakyembe 😄😄
8 Reactions
17 Replies
877 Views
Naona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni Rais wa Wanyonge. Eti atakuwa anasikiliza wananchi mmoja mmoja kero zao. Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom