Karibu kila mwaka takwimu za wanaofaulu kutoka elimu ya sekondari kwenda vyuo vikuu na vya kati inazidi kuongezeka hii inaenda sambasamba na idadi ya wanaohitimu vyuo vikuu na vya kati kila mwaka...
Tanzania haiendelei na haiwezi kuendelea kwa sababu waovu waliostahili adhabu, ndiyo viongozi wa kuwasimamia watu wema na kuwaonesha njia kuhusiana na maisha yao ya kila siki. Ukimpa nafasi mtu...
Nimeona ule mwezi tuliambiwa tuhamie Burundi yule msemaji alilipwa mshahara na posho around 30m kwa mwezi na halipi kodi.
Mnaambiwa tu umeme hakuna na mgao unaendelea lakini huku unaona mtu...
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza...
Si wazo baya kuingia kwenye chaguzi zijazo 2024/2025. The main concern ni hii:
1. It is very likely CCM watafanya dhuluma kama waliyofanya 2020,MSIWAAMINI KAMWE. mmeweka mikakati ipi kuhakikisha...
Maskini Watanzania walipa kodi nawaonea huruma mno.
Simlsumu Rais Samia bali naulamu mfumo wetu wa kutawala.
Leo tumeona notice ya wateuliwa wapya na wengine wengi wamepata uhamisho kutoka mkoa...
Leo 9-3-2024 Uongozi wa SENETI VYUO NA VYUO VIKUU (M) KILIMANJARO, Umezindua Tawi jipya La Idara ya Vyuo Chuo Cha VETA.
Katika Uzinduzi Huo wa Tawi la Chuo Cha NVTC kwa sasa kinaitwa VETA...
Nini Kifanyike?
SIASA
Ipo haja ya kuangalia mzigo ambao nchi inabeba kupitia michakato mbalimbali ya kiasiasa na demokrasia.Idadi ya Wizara -Mawaziri/Manaibu Waziri ipunguzwe (Tupunguze gharama...
Nikikumbuka kipindi kile Ali Happi alipowabeza wazee wakae kimya maana muda wao wa kuzungumza umeisha lakini Mungu akampa somo kupitia mzee Kinana baada ya kuukwaa Umakamu Mwenyekiti wa CCM...
Nawasalim....!
Yesu alibeba dhambi za wanadamu, alikubali kusurubiwa na kuteseka hata kufa ili sisi wanadam tuokolewe.
Imagine mwana wa Mungu alisurubiwa bila hatia miaka 2000 iliyopita, imagine...
Ukisikia wasomi wa Afrika kushindwa kutumia maarifa kutatua changamoto zinazoikabili jamii, hili la NHIF, wizara ya afya na wamiliki wa vituo binafsi ni mfano tosha wa kufeli kwa wasomi wetu
NHIF...
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Albert Msando, amepiga marufuku kwa wakurugenzi kwa kushirikiana na watumishi wa idara ya afya, kuhamisha magari ya wagonjwa kwenye vituo husika na kupeleka sehemu...
Nimefarijika sana kusikia KAULI ya Waziri Mwandamizi wa Serikali ya Awamu ya 5 na ya 6 na KADA wa CCM Januari Makamba akiuzungumzia Uchaguzi Mkuu wa 2020 chini ya RAIS MAGUFULI jinsi ulivyokuwa...
Viongozi wengi wa africa mnakula rushwa na kujilimbizia mali na mataifa yenu hayapigi hatua, kutokana mnaingia madalakani huku mkiwa maskini, matokeo yake mnaacha kuendeleza nchi zenu na kuwapa...
Wanabodi,
Kuna hii kauli ya "asiyefanya kazi na asile". Jee siasa nayo ni kazi ya kustahili mshahara kwa jina la ruzuku kwa vyama vya siasa? . Ruzuku hii iendelee kuwepo watu waendelee kuitafuna...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemtaka Katibu mkuu wa UWT Jokate Mwegelo kutowabagua Wananchi.
Lema amesema ni upumbavu kushawishi Watu kuchaguana kwa Vigezo Vya Jinsia...
Mimi ni mpenzi wa harakati za Jenerali Ulimwengu katika utetezi wake wa demokrasia, utawala bora na haki za binadamu.
Ninachofurahia kuhusu yeye ni kuwa katika kipindi ambacho wengi walinywea na...
{Hapa tunaongea kama wana ilimradi ujumbe ufike}Waziri husika na serikali yako kwanza gharama ya uingizaji umeme kwenye majumba ya wananchi wenu ni kubwa, hasa mijini tsh 321,000/= si pesa haba...
Kushinda uchaguzi sio kigezo kuwa unakubalika.
Kiongozi madhubuti hukubalika kwa kulinda rasilimali za taifa lake, kutetea raia wasionewe hovyo na kudhibiti dhulma.Pia Kudhibiti ufisadi.
Kura...
Wahenga walisema Kwa 'shujaa uenda kilio ila Kwa mwoga huenda kicheko' ,huu msemo unaweza kutumika kuelezea Kwa kirefu maisha ya vyama vya siasa vya upinzani Tanzania.
Kwa mtazamo wangu kulingana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.