Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na tapeli hata siku moja. Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na mbabaishaji hata siku Moja. Hayati Magufuli alikuwa smart na straight forward...
18 Reactions
41 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekimbilia Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kuinusuru nyumba iliyokamatwa kwa amri ya Mahakama ili kulipa Sh. Milioni 62.7 za mishahara ya Waandishi wa Habari...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Leo ni siku ya Wanawake duniani Kwanza hongera kwa wanawake wote duniani kwa kuadhimisha hii siku yao. Leo kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa...
4 Reactions
18 Replies
818 Views
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanzania jina lako ni Tamu Sana. Huyu Jamaa aliachia nafasi yake ya chama kwa skendo za fedheha kwa nchi. Chama kikasema kinachunguza na...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Tarehe 06 Machi, 2024, Baraza la Kimataifa la Biashara (International Chamber of Commerce-ICC) limetoa uamuzi wake na kuipa Serikali ushindi katika Shauri la Usuluhishi Na. 2682/AZO baina ya...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Salaam, Shalom!! Tumeona maandamano katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Arusha na Mwanza. Nia ya maandamano ni kuamsha umma kudai HAKI zao na kushinikiza Serikali kupunguza Kodi Ili kuondoa...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
CHATANDA KUCHANGIA MIFUKO 50 YA CEMENT NA PESA MILIONI MOJA GEREZA LA MBOZI - SONGWE Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania Cde Mary Pius Chatanda( MCC) ameahidi kuchangia mifuko 50 ya...
1 Reactions
1 Replies
410 Views
Habari, Kumekuwa na propaganda zinaendeshwa kuhusu hayati John Pombe Magufuli, kuwa eti aliiba na kupora uchaguzi, propaganda hizi mpk na viongozi waandamimizi wa CCM, waliokuwa na jukumu la...
1 Reactions
6 Replies
452 Views
Kwa mara ya kwanza hatutasahau unaamka asubuhi unaingia mtandaoni lakini inashindikana, unaangalia bando sina au , unauliza salio full bando ,unajiuliza hivi hii simu yangu imeharibika nataka...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Wajumbe, aliyekuwa Rais wa JMT Dk. John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021 hapo Mzena kisha Samia Suluhu Hassan kutangaza kifo chake saa 5:57 usiku "akiwa ziarani Tanga". Baada ya hapo...
1 Reactions
84 Replies
3K Views
Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, leo makala yangu ni makala ya dhana dhanifu, kuhusu Tanzania ya 2025 -2030. Makala ya leo kwanza inafundisha kujua types...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
Mwamba wa siasa za eneo la Maziwa Makuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema ya Nchini Tanzania, Freeman Mbowe, atahutubia Dunia kwenye kilele cha siku ya Wanawake Duniani katika maadhimisho...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Yuko wapi Danniel Chongolo aliyekuwa katibu mkuu wa CCM?
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Kimsingi kuongoza vyama vya upinzani nyakati hizi za Ukoloni Mambo Leo Siyo jambo jepesi ni jambo hatarishi kwa mabeberu na Mafisadi Uchwara wenye ngozi nyeusi Niwatie Moyo Bawacha kwenye hii...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Ile Taasisi Bora ya akina mama Barani Africa ( BAWACHA), Leo imeandaa kongamano la wanawake ambalo kidunia linafanyika Dodoma, lengo la jambo hili ni kutathmini mchango wa mwanamke, kisiasa...
22 Reactions
127 Replies
6K Views
Ado Shaibu: Aweka Wazi Wajumbe wa Sekretarieti ya ACT-Wazalendo. UTANGULIZI Jana tarehe 7 Machi 2024, Halmashauri Kuu ya Chama ya Chama cha ACT Wazalendo ilikutana kwenye kikao chake maalum...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Imepita miaka kadhaa wakati wa awamu ya 5 ya JMT iliyoongozwa na Hatari Magufuli ambapo Hayati alikuwa amedhamiria kumuondosha kwenye nafasi Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama kwa matumizi mabaya ya...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana Jf habari za kutwa nzima ya leo wakuu! Wadau kuna kitu hapa sielewi natamani wajuzi wanisaidie huenda hofu na mashaka vikaniondoka. Wiki hii tangu ianze 04/03/2024, hadi siku ya leo...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Usiku wa deni ni mfupi sana! Kesho ndio kesho ndio kesho siku tuliyoahidiwa umeme wa uhakika na mheshimiwa rais wa jamhuri ya muungano! SIMLAUMU kwa asilimia kadhaa maana naye alihakikishiwa na...
15 Reactions
33 Replies
2K Views
Tumekuwa tukisikia kauli mbalimbali za viongozi wa CCM na serikali wakiwemo mawaziri kuwa uchaguzi ule wa 2020 chini ya Magufuli haukuwa wa kidemokrasia wala haki. Tunashukuru kwa taarifa. Swala...
6 Reactions
10 Replies
879 Views
Back
Top Bottom