Naelewa vizuri sana na nakubaliana na mantiki ya kuchukua wanafunzi wa kike wenye ufaulu chini kidogo ya wale wa kiume kuwapeleka kidato cha sita na vyuo vikuu. Naona hilo ni jambo lenye mashiko...
Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya...
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mary Chatanda , kupitia Katibu Mkuu Ndugu. Jokate Mwegelo amezindua kundi la SAMIA QUEENS ambalo ni...
Mwanazuoni Richard Mabala awataka TBC wamwombe radhi Katibu mkuu wa UWT kwa kupotosha kile alichosema
Mabala amesema baada ya kumsikiliza Jokate amegundua TBC wamemzushia kuhusu kuwabagua Wanaume...
Wanabodi,
Siku Wabunge wa Bunge hili walipokuwa wanaapishwa mjini Dodoma, nilikuwepo, na nilipandisha uzi Huu ambapo kuhusu wabunge wa viti maalum, nilisema hivi!.
Kwa muda wote wa uhai wa...
Wanabodi,
Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.
Msikilize Waziri Gwajima
Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani...
Wanabodi
Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya
Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?.
Je...
Mtazamo wa viongozi kwa vijana ni wa kiwango cha chini sana, sasa mnanza kutafuta visingizio ya vijana kutofanya kazi na kuwajibika sawa sawa mnafikiri ni kwa sababu ya betting yaani wote...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa.
Niko huku mkoani Mbeya kwenye Nane Nane, tangu nimefika huku, nimekutana na baridi fulani ya ajabu...
Wanabodi,
Hii ni thread ya swali, kuwa kikawaida, wanawake ndio hutongozwa, huongwa na kuongeka kwa mtu mmoja tuu, na kufunga uchumba na kuolewa kuwa mke mwema, japo ataendelea kutongozwa lakini...
Wanabodi,
Nimeona mijadala mbalimbali kumlaumu rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kwa kuteua wabunge wanaume 6 na Wanawake 2, kati nafasi zake 10 za uteuzi.
Naomba kukiri...
Ndugu zangu Watanzania,
Wakati mwingine huwa ni aibu sana,fedheha kubwa sana pale unapoweza ukawa unasikiliza mkutano wa hadhara wa CHADEMA unaohutubiwa na vijana wake huku mitaani.kiukweli...
Komredi Shemsa Mohamed: Heri ya Siku ya Wanawake Duniani, 08 Machi, 2024
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed ametoa salama za kuwatakia Wanawake wote...
Ahimiza Wanawake Dar es salaam wenye sifa na uthubutu kujitokeza kwa wingi kuingia katika nafasi ya uwenyekiti Serikali za mitaa 2024.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Dar es...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema moja ya vyanzo vinavyosababisha tatizo la umeme nchini ni ukosefu wa maji unaochangiwa na uharibifu wa mazingira.
Amebainisha kuwa...
"TUENDELEE kumuunga mkono Mwenyekiti wetu wa CCM na Rais Dkt. Samia katika kuongoza nchi yetu, amekuwa mfano kwa kuwezesha wanawake kisiasa, kiuchumi na alipewa nchi katika kipindi kigumu lakini...
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu aliwahi kusema bila jukwaa la kufanyia siasa kama Kiongozi huwezi kuwa maarufu
Kwaherini Zitto Kabwe na James Mbatia
Ili msikike tena karibuni nyumbani...
Viongozi wa ACT walikuwa wana Chadema hapo awali. Wakaandaa njama za kuivuruga Chadema mwisho wa siku wakakamatwa na kufukuzwa uanachama. Zito na Kitila wakafika kwa msajili chini ya wana CCM na...
Wakati wa chaguzi mbalimbali duniani huwa viongozi na wanasiasa wanatoa kauli mbalimbali katika kunadi sera zao na vyama vyao kwa ujumla. Kauli zinazotolewa huweza kuwa nzuri za kujenga au zikawa...
Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imemteua Bonifasia Mapunda kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa chama hicho nafasi ambayo haikuwepo awali imepatikana baada ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.