Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya, Mhe. Masache Kasaka amewasihi waumini wa dini ya kikristo kusoma maandiko ya kibiblia na kuyatendea kazi ikiwemo agizo la kutii wenye...
1 Reactions
5 Replies
590 Views
Bahati mbaya vijana wengi waliozaliwa mwaka 2000 hawakuwahi kumwona wala kumwelewa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,Mimi niliyezaliwa 1980 nilibahatika kidogo nyakati hizo nikiwa shule ya Msingi...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Taarifa kamili hii hapa
2 Reactions
10 Replies
792 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukubali au ukatae,umchukie au umpende,unune ama ukasirike ,ulie ama uvimbe ,umchafue ama umzushie uongo Mheshimiwa Paul Christian Makonda utakubaliana na ukweli ambao...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Utasemaje Shujaa Magufuli aliogopa Maandamano wakati Viongozi mahiri wote wa Upinzani walikuwa wanamkimbilia na kuunga Juhudi Unadhani Shujaa Magufuli angemuogopa nani huko Upinzani kama akina...
0 Reactions
8 Replies
705 Views
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea...
27 Reactions
605 Replies
36K Views
"Historia ya sifa ya wanawake na siku ya wanawake Duniani inajulikana ambayo ni kesho tarehe 8 Machi na hii ni njia ya kuendelea kuhamasishana katika kufanya kazi na kupeana nguvu ya kuinuana...
0 Reactions
2 Replies
434 Views
Kama ukimsikiliza aliyekuwa kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo aliyasema haya siku ya jana kuwa kuna kijana toka mwandiga alikuwa na ndoto. Alisema haya “Ndoto iliyowatisha watu wazima wenye...
1 Reactions
44 Replies
2K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa changamoto ya Umeme ipo mwishoni kwani kuanzia Februari 22, mgao haujatokea kwa mkoa wa Dar es Salaam kwani Serikali ipo...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Tumeshatoka huko. Huko ambako Rais anatenga muda wa kukutana na wananchi wachache na kuzungumza nao juu ya shida zao. Kwa wakati huo, hizo shida za wananchi zilipata afueni? Jibu ni hapana. Jana...
42 Reactions
81 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa kama mwanadamu na binadamu ambaye umepata neema ya Mwenyezi Mungu ya kuwa hai mpaka siku ya leo unajifunza nini na unapata somo lipi ukiitizama picha hii? Nini...
10 Reactions
138 Replies
7K Views
Katika utawala wa Jiwe vijana wake wengi walifanya unyama mwingi sana. Lissu anasema MAKONDA ni jambazi sana aliyetumia jina la Jiwe kuwatapeli wafanya biashara. Alimtapeli GSM kuwa Rais...
34 Reactions
151 Replies
14K Views
Miaka 2 ya Unaibu Waziri Mkuu jumlisha miaka 5 ya Full Waziri Mkuu Jumla ni 7. --- Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiongoza kikao kazi ngazi ya Mawaziri kuhusu...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwanza Nimpe Pole Sana Dr Hussein Mwinyi kwa kuondokewa na Baba Yake Kipenzi Mzee Rais Mstaafu Ali Hussan Mwinyi Kilichotokea Mwezi uliopita Tar 29 Feb 2024. Mungu aiweke Roho ya Marehemu mahali...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
"Wanawake wote shirikini kikamilifu na UWT imekuja na kampeni mahususi ya kuhamisha wasichana na wanawake kujiuga na UWT kidijitali ama kielekrtoniki, karibuni wote kujiunga na jeshi la...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
UWT CHINI YA MWENYEKITI MAMA MARY CHATANDA IMEKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI KATIKA MIKOA 17, WILAYA 185 NA KATA 883 TANZANIA BARA - KATIBU MKUU JOKATE Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu chini ya...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Katika Kitabu cha kuelezea maisha yake Mstaafu Mwinyi anasema alipojiuzulu Uwaziri wa Mambo ya Ndani Waziri aliyechukua nafasi yake alimtaka ahamishe haraka mizigo yake ili yeye ahamie kwenye...
23 Reactions
258 Replies
29K Views
Ni kama sielewi CCM inataka nani awe mgombea wao ngazi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kati ya Hayati John magufuli na Wana CCM wengine walioko hai. Kwenye mitandao ya kijamii hivi...
19 Reactions
78 Replies
3K Views
Ni wazi Watanzania wengi hawana kitambulisho cha taifa yani hili suala la kutoa kitambulisho cha taifa hapa nchini limekuwa kama jambo la hiari kwa mamlaka husika hali inayoweza kuchochea uwepo wa...
0 Reactions
0 Replies
391 Views
  • Poll Poll
Maamuzi yote yanayohusu nchi hufanyika chini ya mwamvuli wa siasa, ni muhimu kwa kila raia kujua kinachoendelea ili kupata taarifa sahihi zitakazomuwezesha kufanya maamuzi sahihi pale anapochagua...
1 Reactions
22 Replies
692 Views
Back
Top Bottom