Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja "Amefanya hivyo...
8 Reactions
101 Replies
5K Views
Wasalaam, Upendo Peneza najua unapita hapa au wasaidizi wako wanapita hapa, kuna Mbinu chafu kuzuia ushindi wako Kesho na haya yanafanywa na msimamizi wa uchaguzi Geita Mjini akushirikiana na...
31 Reactions
62 Replies
7K Views
Wakuu, Nilipochaguliwa kuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa, Chama cha Mapinduzi niliamini kwamba ningetoa mchango wangu chanya kwaukuaji wa jumuiya hii. Hili sasa ni baraza langu la pili...
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Hayati mzee Mwinyi alitenda mengi mazuri na mema kwa nchi, japo nae kama binadamu anamapungufu yake. Huu ni wakati wa maombolezo lakini kuna jambo lilifanywa na Samia miaka miwili iliyopita kwa...
13 Reactions
74 Replies
4K Views
Salaam Wakuu, Nimeshangaa kuona Paul Makonda kubadili gia angani. Alipoanza kujitangaza, alikuwa akiwasimamisha Mawaziri watoe ufafanuzi na Wengine alikuwa akiwapigia simu akiwa majukwaani huku...
2 Reactions
5 Replies
635 Views
Rais mtaafu Mzee ALI HASSAN MWINYI ambaye nadhani ki historia ni mmoja ya watu wachache sana duniani ambao waliwahi kuwa rais wa nchi mbili tofauti. Al Hajj Mwinyi aliwahi kuwa Rais wa Zanzibar na...
10 Reactions
665 Replies
75K Views
CDEOKATE MWEGELO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC), Katibu Mkuu wa UWT, anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kupitia Mkutano na...
0 Reactions
5 Replies
578 Views
Leo hii watu wengi washangazwa na namna nchi za Ghuba ya Uajemi, kama Emirati, Kuweit, Oman na Qatar zilivyopiga hatua kubwa, ambapo miaka ya sitini hadi sabini nchi hizi zilikuwa nyuma na maskini...
1 Reactions
4 Replies
595 Views
Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwafahamisheni ya kuwa Rais wetu mpendwa na jemedari wetu Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia...
7 Reactions
131 Replies
6K Views
Wanabodi 23/5/2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Steve Nyerere amesema yeye siyo Chawa bali ni influencer na hatamani Kabisa kuwa Chawa kwa sababu Chawa ni mdudu mchafu Anayeishi kwenye uchafu Aidha Steve amesema yeye na Wema Sepetu hawako...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Abdul Nondo ametangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa kufuatia uchaguzi mkuu wa ngome hiyo uliofanyika jana, Alhamisi Februari 29, 2024 kwenye...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi...
10 Reactions
20 Replies
3K Views
Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata? Kuingilia msafara wa Biteko? Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana...
22 Reactions
70 Replies
4K Views
Tunakumbushana tu, Rais wa Awamu ya 5 Shujaa Magufuli alituachia wosia kuwa tukiendekeza Maandamano Uchumi wa nchi utayumba na hapatakuwa na Maendeleo yoyote. Nalisema hili kwa sababu napitia...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Nchi wamejaa wanachi na viongozi lia lia wanasahau hakuna Maendeleo yanayo weza kuja Jasho , ukiwabana kidogo ili mapato mengi yaingie serikalini huwezi kueleweka , Hayati Benjamin mkapa aliwahi...
5 Reactions
8 Replies
612 Views
Wakati bado akiwa amekaa kimya dhidi ya ushaidi aliopelekewa na mwakyembe wa kuwataja watu walioshiriki katika tukio la kutaka kumwangamiza mwakyembe said mwema ameanza kuwaamisha watuhumiwa...
10 Reactions
134 Replies
41K Views
Na Mwandishi Wetu NI ukweli usiopingika kwamba majadiliano ya mikataba, hasa ya mafuta, gesi, madini na maliasilia nyingine za nchi huchukua muda mrefu kukamilika. Hili ni jambo la kawaida hasa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbona tunarudi zama za ugiriki ya kale kabla kristo hajazaliwa watu walikuwa wanakusanyika nchi nzima wanaeleza kero zao na kutatuliwa. Je huku sio kuingilia kazi ya BUNGE? Pia soma > Kuelekea...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwa kweli ni juhudi kubwa sana ya Rais Samia na anastahili pongezi kubwa kwa kuziwezesha Simba na Yanga zote kuingia Fainali katika mashindano haya makubwa ya Vilabu. Tena wameingia kwa kishindo...
12 Reactions
116 Replies
4K Views
Back
Top Bottom