Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa anastahili pongezi kwa kutafsiri kwa vitendo maelekezo ya Ibara ya 74 ilani ya uchaguzi ya CCM ya maaka 2020 - 2025 inayosimamiwa na...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Mjukuu wa baba wa Taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema Walikuwa na Haki ya kulalamikia Urais wa Mzee Mwinyi kwa sababu Katiba ya Nchi ya Zanzibar inasema Rais lazima awe Mzawa Lakini hawana...
13 Reactions
99 Replies
9K Views
Kwanza tuanze na takwimu za kijiografia. Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29. Rwanda ina watu...
22 Reactions
44 Replies
4K Views
Nimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao. Serikali ambayo...
26 Reactions
185 Replies
11K Views
Mwenyekiti wa Chama cha ACT – Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu kama Babu Duni amejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha uenyekiti ACT – Wazalendo na kumuunga mkono makamu wake, Othman Masoud Othman...
7 Reactions
37 Replies
5K Views
Hivi hawa CCM walishatuona maboya? Leo hii PM Majaliwa amegeuka kuwa kamanada wa Takukuru Tanzania nzima. Kila wilaya ina ofisi za Takukuru na wachunguzi kibao. PM Majaaliwa halijui hili? Pesa...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Mwigulu, katika hotuba ya Bajeti kuu ya serikali, ukurasa wa 44, ulisema serikali imeanza mchakato wa kutafuta mkandarasi wa kujenga kipande cha SGR (Tabora-Kigoma) 514km kwa US$2.1 bilioni...
36 Reactions
70 Replies
5K Views
Kitendo kilichofanyika 2019 na 2020 kilinifanya Mimi niione CHADEMA kama chama chenye viongozi matapeli wa kisiasa. Ni kikundi cha upigaji tu chenye kuangalia maslahi ya viongozi kwanza kisha...
0 Reactions
3 Replies
627 Views
Maadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko. Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye...
15 Reactions
59 Replies
6K Views
Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara. Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu. Aliyekuwa waziri wa maliasili...
23 Reactions
115 Replies
8K Views
Ndugu zangu ikumbukwe kuwa taarifa ya CAG iliibua madudu makubwa serikalini hadi kupelekea mbunge wa kisesa luhaga mpina kufikia kuwataja hadharani mawaziri wanaohusika katika wizara zao pamoja na...
14 Reactions
22 Replies
1K Views
Ni Emmanuel Ole Shangai na Joseph Ole Shangai. Wamasai wamkataa Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai kutaka kujiapisha kuwa Leigwanan. Bonyeza link chini kusikiliza SAUTI ZA WAMAASAI...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa. Sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa, ni maamuzi ya kijinga sana ya Mkuu wetu wa Mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza...
11 Reactions
59 Replies
6K Views
Ujio wa Othman Masoud kwenye Uongozi wa ACT Wazalendo na kuimarika kwa Chadema upande wa Tanganyika kutabadili kabisa mwelekeo wa Siasa nchini. Japokuwa Masoud hatakuwa KC lakini kutokuwepo Zitto...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Ningependa kujua kama kuna nchi nyingine ambayo inawajengea/inawapa nyumba viongozi wake wakuu wakitoka madarakani? Na inawapa magari mapya ambayo kila baada ya miaka mitano wanapewa mengine...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Sikiliza hadi mwisho. Mwananchi ana akili kubwa kuliko wasomi wetu wengi waliopo madarakani Tanzania inaamka.
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Juzi tumetangaziwa na Waziri kwamba Megawatt 235 tayari zimeingizwa kwa grid ya Taifa, sasa mbona umeme ndiyo unazidi kukatika? Naomba ufafanizi wa kina na wa kiufundi tatizo lipo wapi? yaani...
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Rais Hussein Mwinyi amewashukuru Watanzania wote kwa namna walivyoshiriki kumuuguza na hatimaye kumzika baba yao. Shukrani za kipekee amezipeleka kwa Rais Samia na amemuahidi kuisimamia vema...
24 Reactions
128 Replies
12K Views
Zitto Kabwe amedai wamepenyeza watu ndani ya CCM sijui lengo la hao watu ni nini ila ninachofahamu mimi chama chake kimekuwa CCM B kwa muda sasa. ACT Wazalendo iliundwa baada ya Zito na Kitila...
5 Reactions
8 Replies
873 Views
Tafakuri Jadidi: Mzee Mwinyi Anaondoka Na Hatuna Kinyongo Nae.. "Kila zama na kitabu chake"- Ali Hassan Mwinyi. Na leo Watanzania zimetufikia habari za kuhitimishwa kwa Sura ya Mwisho ya Kitabu...
37 Reactions
98 Replies
5K Views
Back
Top Bottom