Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Jamii imepewa wito wa kupuuza taarifa zinazoenea hivi karibuni zikieleza kuwa shughuli za uendeshaji katika Bandari ya Dar es Salaam zimesimama badala yake inapaswa kufahamu kuwa Bandari hiyo...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
MAJIBU KWA MTU ANAYEJIITA JOSHUA GUYAHAMBI ANAVYOPOTOSHA UMMA WA WATANZANIA KUHUSU ADDO NA USIMAMIZI WA MADUKA YA DAWA NCHINI Na Prof Patrick Kobono (MD, MMED, MPH, MBA, PhD in Human Anatomy)...
37 Reactions
136 Replies
10K Views
Ikumbukwe kuwa Mzee Edwin Mtei muasisi wa CHADEMA ndiye aliyemshauri Mwalimu Nyerere akubaliane na Sera za IMF na WB kwa sababu hapakuwa na namna nyingine. Mbele ya camera Nyerere alikataa na...
2 Reactions
5 Replies
592 Views
Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Yaani mfanyakazi wa wilaya ndogo kuna sababu gani ya kupewa V8 ya kutumia wilayani? Wilaya yenye lami kweli inahitaji gari kubwa la juu tena V8 engine? Wilaya hiyo...
7 Reactions
14 Replies
832 Views
Kutokana na baadhi ya hospitali binafsi kusitisha huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuanzia leo Machi mosi, 2024, uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umekuja...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Jana nimeona clip ya mh rais wetu mpendwa mheshimiwa ukht Samia kuhusu taarifa ya kifo cha mzee Mwinyi Clip ile inamakosa yamejitokeza ambayo mh rais hakupenda yafike kwa jamii lkn yamefika...
8 Reactions
107 Replies
8K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la hoja ngumu zinazoitwa abstract, na zinahusu kitu kinachoutwa psychoanalysis, mtanisamehe, sikijui Kiswahili cha abstract wala psychoanalysis, lakini inahusu...
18 Reactions
118 Replies
13K Views
SALAAM ZA RAMBIRAMBI ZA WANANCHI WA JIMBO LA KISESA WILAYA YA MEATU KWA WATANZANIA NA FAMILIA YA MZEE ALI HASSAN MWINYI RAIS WA TANZANIA WA AWAMU YA PILI KWENYE IBADA MAALUM ILIYOFANYIKA KANISA LA...
2 Reactions
2 Replies
783 Views
Nimezoea kabla ya DP World kupewa bandari ilikua inachukua walau siku7 mpaka mzigo wako unatoka bandarini ila kwa sasa meli ikiingia bandarini basi hesabu mwezi mmoja au zaidi ndio mzigo wako...
12 Reactions
70 Replies
5K Views
Watanzania tupeane pole kwa msiba huu mzito katika taifa letu. Kuna watu wanashangazwa na hili swala la kuamua kuhamisishia msiba wa mzee Mwinyi Zanzibar, wakidai kuwa mzee huyo alikuwa asha usia...
10 Reactions
179 Replies
11K Views
Habari. Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile. Huyu...
16 Reactions
93 Replies
6K Views
Tamko la ACT Wazalendo kusitishwa kwa Bima ya NHIF kutumika katika hospitali binafsi nchini. ACT Wazalendo tumeshtushwa na mivutano kati ya Serikali kupitia Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) na chama...
0 Reactions
5 Replies
722 Views
Si vyema kuweka ahadi ambazo unajua huwezi kuzitimiza au zisizotekelezeka. Baadhi ya watu hupatwa na msongo wa mawazo na kupoteza uaminifu kwa kushindwa kutimiza ahadi. Uwekapo ahadi hugeuka...
0 Reactions
10 Replies
924 Views
Kuanzia muundo wa msingi wake, hadi mfumo wa kiutendaji, imejengwa imara sana kitaasisi na hivyo ni ngumu sana kutikiswa wala kuyumbishwa na dhoruba au tetemeko lolote la kisiasa la kutoka ndani...
2 Reactions
17 Replies
525 Views
Wasifu wa hayati Mwinyi unasema Elimu yake ni Diploma ya Ualimu aliyoipata nchini Uingereza Natafakari namna Diploma ya Ualimu ilivyotuletea mabadiliko makubwa tena chanya ya Kiuchumi na kisiasa...
16 Reactions
37 Replies
2K Views
.Kwa mujibu wa kalenda ya uchaguzi wa Tanzania, uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani unafanyika kila baada ya miaka mitano. Hivyo, uchaguzi wa Rais 2025 unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Hawa Viongozi Watatu niliwakubali sana katika Utumishi Kupitia Wao niliweza kuuona Wema wa ndugu zetu Waislamu Kuchafuana kisiasa kupo lakini hawa walijua maana ya Kuongoza Watu Sikushangaa...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Raisi Mstaafu wa Zanzibar Dr Shein akitoa salamu Kuaga Mwili wa Raisi Mstaafu wa Mwinyi uwanja wa Amani Zanzibar asema Mwinyi alipangiwa kufundisha shule haina wanafunzi ikabidi awe anapita...
10 Reactions
20 Replies
1K Views
Wanzanzibari hawataki Muungano wanalazimishwa tu na huu ndio ukweli na wengi wao wanatamani ivunjike hata kesho. Na siku ikitokea Rais hata wa CCM zanzibar akataka Muungano ivunjwe nina uhakikia...
11 Reactions
49 Replies
4K Views
Kwa niaba yangu binafsi na wana Bunju tunashukuru mno kwa kambi uliyoweka zaidi ya wiki kutatua migogoro ya ardhi na kubwa zaidi ni kubeba timu zima kuhakikisha wananchi wana rasimisha ardhi zao...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom