Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Lissu amesema sehemu nyingine duniani Polisi hutaja njia ambako maandamano yatapita na kutoa tahadhari kwa wafanyabiashara pamoja watu wanaotumia barabara hiyo wajue itatumika kwa maandamo, lakini...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wa Ufaransa Mheshimiwa Emmanueli Macron amemteua Gabriel Attal kuwa waziri mkuu wake, kijana mdogo kabisa katika Historia ya Ufaransa mwenye umri wa miaka 34...
9 Reactions
197 Replies
28K Views
Polisi Tanzania Wakanyaga katiba Kwakufanya siasa wazi wazi bila kificho ushaidi huu hapa. Salamu ya “kidumu Chama cha Mapinduzi” aliitoa kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jonathan Shana...
4 Reactions
80 Replies
14K Views
Ndugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake? Nchi inaingia kwenye madeni...
4 Reactions
25 Replies
894 Views
Naona kuna habari za EAC kuwa na sarafu moja. Kwa mipango ya EAC leo hii tayari tulitakiwa kuwa na sarafu moja. Lakini kiukweli ni ngumu sana kuwa na sarafu moja bila ya kuwa na shirikisho la...
4 Reactions
12 Replies
788 Views
Muswada wa Bima ya afya kwa wote ulifanikiwa kupitishwa bungeni mwezi uliopita, na tayari umetiwa saini na Rais wa Tanzania kuwa sheria rasmi, hivyo mchakato wa kutengeneza kanuni na taratibu za...
11 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu Freeman Mbowe, Kauli iliyotolewa na ndugu Zitto Kabwe, Kionogozi wa ACT-Wazalendo, inabainisha kasoro moja kubwa katika uendeshaji wa taasisi na vyama chama chako; mtanziko wa kutangaza...
2 Reactions
10 Replies
543 Views
Ndugu Martin Shighela mkuu wa mkoa wa Geita, habari za majukumu,? Imani yangu utausoma ujumbe huu au utaupata kupitia wasaidizi wako.na nategemea respond ya haraka sana toka kwako Mkuu. Lengo la...
2 Reactions
6 Replies
888 Views
Salaam, Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa...
8 Reactions
106 Replies
7K Views
Naona January kakanusha khs Hela ya Afrika Mashariki(Shearfanc)
4 Reactions
65 Replies
3K Views
Dereva aitwaye Martin Chacha mkazi wa Tegeta inadaiwa ameuawa kwa kipigo na ASAS akishirikiana na SUMA JKT mkoani Iringa zilipo ofisi za ASAS kwa madai ya kusababisha hasara lita 200. Inadaiwa...
37 Reactions
270 Replies
13K Views
Nauliza tu maana Msemakweli ni mpenzi wa Mungu wa Mbinguni Wabunge wataenda kutibiwa Government hospitals kufuata Kitita cha NHIF? Mlale Unono 😀😀
4 Reactions
9 Replies
673 Views
Kwa heshima na taadhima napenda kuishauri serikali yetu adhimu,ibadirishe matumizi ya uwanja wa ndege chato ili tuepuke hasara itakayo tokana na uwanja huo kutotumika kikamilifu. Uwanja huu wa...
18 Reactions
124 Replies
12K Views
Rais Samia amesema ni Jukumu la kila mtu Kuzingatia Swala la afya ili kujiepusha na magonjwa ya kuambukiza kama anavyoshauri Mkurugenzi Mtendaji wa MNH Prof Mohamed Janabi.
10 Reactions
27 Replies
2K Views
Uwekezaji wa Hospitali si uwekezaji wa kitoto , si uwekezaji wa bei rahisi na wala si uwekezaji wa kudra za Mungu , ni gharama kubwa mno , siyo sadaka za Waumini waliofanyiwa miujiza na Mungu , ni...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Jeshi la polisi mkoa wa Iringa limetoa taarifa inayokanusha taarifa ya kwamba mfanyakazi wa kampuni ya ASAS ndugu martin chacha aliuwawa kwa kipigo baada ya kutuhumiwa...
2 Reactions
119 Replies
5K Views
Mbowe kwa Katiba ya CHADEMA haimzuii kugombea tena Uenyekiti kama atapenda na asipogombea ndio tutasema "anang'atuka" Sasa Zitto Kabwe anang'atukaje? Tupeni Ufafanuzi kikatiba tuachane na Siasa...
1 Reactions
3 Replies
441 Views
Majasusi wa Marekani wameanza kutumia vyombo vya habari kuitisha Tanzania kuhusu Mradi mkubwa gesi huko Kusini. Makampuni haya makubwa yanalazimisha tuanze utekelezaji wakati huo kama kawaida...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo Tanzania ni Mwalimu katika mambo mengi, inaaminiwa katika mengi na inatambulika Kwa mengi sio tu Afrika bali duniani Kwa ujumla. Licha ya kwamba wanasema Nabii hakubaliki kwao lakini...
3 Reactions
69 Replies
2K Views
Back
Top Bottom