Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili ...
19 Reactions
106 Replies
5K Views
Chadema wajifunze ukomavu wa kisiasa kama wenzao ACT wazalendo Siyo kila mahali ni eneo la kufanya siasa Mlale Unono 😄
0 Reactions
8 Replies
611 Views
Nilikuwa darasa la pili mwaka 1992, Shule ya msingi Bungo pale Morogoro mjini, nilipomuona kwa mara ya kwanza Rais Ali Hassan Mwinyi akishuka kwenye helkopta viwanja vya Gymkhana kuelekea uwanja...
1 Reactions
6 Replies
662 Views
Serikali ya CCM imekuwa ikitoa huduma kwa Watanzania wote bila kujali rangi, kabila, dini au eneo hilo viongozi wanatokana na chama gani. Kuna majimbo mengi Wabunge wake waliwahi toka vyama...
1 Reactions
11 Replies
413 Views
Sitasahau Mei 2015 uwanja mzima wa Sheikh Amri Abeid, Arusha ukiimba "Lowassa Lowassa, Lowassa Lowassa, sitasahau ile picha Dr. Emmanuel Nchimbi na wengi wa wanachama wa CCM wakiimba "Tuna imani...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Binaadam yoyote akifa hana thamani tena ndani ya jamii Hakuna anaekubali kulala na maiti ktk chumba kimoja hasa hio maiti iwe ya tajiri au kiongozi mkuu Wakiondoka viongozi basi sisi wa chini...
1 Reactions
36 Replies
1K Views
Taarifa zilizopo ni kwamba RPC KAGERA ambaye ametoka Pwani na kupelekwa mkoa Kagera ndugu Wankyo nadhani kauli ya jana ya kuhitaji ukuu wa Jeshi la Polisi imemuungiza matatani hii imeonesha hana...
29 Reactions
242 Replies
22K Views
Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) "Kwa muungwana ukweli kwake ni ibada. Ni ukweli Usiopingika kwamba, kwetu Wana Ruangwa...
0 Reactions
1 Replies
442 Views
MREMA NA MAENDELEO YA VUNJO 2010 - 2015 UTANGULIZI Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi mungu aliyenipa uhai, afya na nguvu kuweza kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Vunjo kwa kipindi cha...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Tutamkumbuka mzee wetu Ally Hassan Mwinyi kwa kulielezea tatizo kubwa lililoathiri wengi, AIDS au UKIMWI. Katika kuliekezea tatizo hilo, Mzee Mwinyi alitumia lugha rahisi iliyoeleweka kwa kila...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za wakti huu? Moja kati ya changamoto tunazokabiliana nazo kama TAIFA ni Tatizo au KERO ya RUSHWA hasa zile RUSHWA kubwa kubwa. Katika Pitapita mitandaoni na tafakari zangu nikakutana aina...
3 Reactions
4 Replies
431 Views
Katika dunia hii kuna watu wamebarikiwa sana. Na mamlaka hutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu akiamua kukupa mamlaka, kipaji, riziki anakupa tu kwa kupenda yeye mwenyewe bila kujali wewe una...
1 Reactions
3 Replies
530 Views
Nilikuwa na maswali yangu machache ya msingi kuhusu nchi yangu Tanganyika. 1. Wakati yanafanyika makabidhiano ya uhuru kutoka kwa Muingereza kuja kwetu kwa Watanganyika ni masharti gani...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kujali afya ya binadamu mwenzio hata kama unafanya biashara na unatafuta hela ni muhimu sana. Wafanyabiashara mnatuua bila huruma sisi waja wema. Nimefika Mbezi mwisho barabara inayokwenda...
15 Reactions
65 Replies
4K Views
Mojawapo ya mambo ambayo Rais Ali Hassan Mwinyi amesifiwa nayo sana hadi na wapinzani ni mabadiliko makubwa ya uchumi na mageuzi ya kisiasa aliyofanya. Historia iko wazi kwamba kuanzia miaka ya...
3 Reactions
13 Replies
749 Views
Mimi sio mwandishi mzuri bali mjitahidi kusoma hivyo hivyo Baada ya vita vya kagera hali ilikua mbaya sana kiuchumi na ukizingatia kipindi hicho ussr inapumulia machine kiuchumi Wale wenye akili...
13 Reactions
23 Replies
1K Views
Wadau ni bora kuuliza kuliko kukaa Kimya. Awamu ya Tano ya Dikteta Magufuli wakati inaingia Madarakani kwa mbwembwe zote ilitutangazia kuwa Tanzania ni ya Viwanda na Waziri TAMISEMI Mh. Jaffo...
0 Reactions
1 Replies
245 Views
Waziri mkuu Mstaafu Jaji Wariioba amesema Rais Mwinyi aliingia Madarakani nchi ikiwa na hali Ngumu Sana Sasa hivi hakuna Sukari, umeme na maji lakini haya ni matatizo Madogo ukilinganisha na hali...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Sakata la Hospitali binafsi kuingia mgogoro na NHIF juu ya huduma itolewayo na NHIF kutokidhi gharama halisi ilinaendelea kurindima. Kinachojitokeza ni kwamba...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
SIASA NI NYENZO YA KUJENGA URAFIKI NA MAENDELEO, NA SI FIMBO YA KUWACHAPIA WENZAKO Na Comrade Ally Maftah Moja kati ya jambo lililonipa furaha kubwa ni kuwa katika siasa tena za Chama cha...
1 Reactions
5 Replies
470 Views
Back
Top Bottom