Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Habari zenu wanaJF wenzangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nikiwa na umri mdogo nilihudhuria pale katika uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Dar es salaam, kumuaga mzee wetu...
61 Reactions
101 Replies
6K Views
Kufeli kwa serikali ya CCM sasa kumegonga pentagoni. Jiji la Dar es laam sasa limegeuka jiji la uhaba wa maji na umeme. Kwenye ishu ya maji, kuna mgao wa siku tatutatu na maji yanatoka masaa...
34 Reactions
100 Replies
9K Views
Wanajukwaa ninaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha mzee wetu Ali Hassan Mwinyi. Familia yake ijawe na faraja na subra katika kipindi chote kigumu. Mungu ailaze roho ya Babu mahala pema...
11 Reactions
58 Replies
3K Views
Rais Mstaafu Kikwete amesema mabadiliko ya Kiuchumi na Kisiasa nchini yameletwa na mzee Mwinyi Kikwete amesema Mwinyi ndio alishauri yafanyike mabadiliko Wakati 80% ya Watanzania bado Wana Imani...
3 Reactions
51 Replies
2K Views
Nimeona Rais Samia anatangaza msiba wa Mwinyi (akielekeza sehemu ya hotuba yake ifutwe pasipo kujua yuko live, kwa hili kwanza kurugenzi ya mawasiliano ikulu ilitakiwa ivunjiliwe mbali na...
5 Reactions
62 Replies
4K Views
Mwaka huu unaomalizika 2022 nimebahatika kusoma vitabu mbalimbali 33 (2021:29, 2020:16, 2019:34). Ulikuwa mwaka mzuri kwa usomaji vitabu na pia mwaka ambao nilibahatika kupata zawadi nyingi za...
35 Reactions
141 Replies
9K Views
Hizi heka heka za mivutano baina ya serikali kupitia NHIF na watoa huduma za afya wa vituo binafsi sio jambo lenye kheri, mwisho wake utakuwa mbaya sana. Haijarishi nani ataibuka mshindi lakini...
2 Reactions
2 Replies
836 Views
Fuatilia utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Mwinyi, ambapo ratiba ya maziko yake inaanza leo, nyumbani kwake, ambapo baada ya sala ya sala ya Ijumaa na taratibu kidini kukamilika mwili...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Tundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star TV, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko. Je, wakiingia madarakani, wana...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Katika hili sakata la kitita cha Mafao ya matibabu nichangie kwa kuanza kusema. Afya ni siasa, Afya ni Biashara na Afya ni Maisha Hakuna ubishi kuwa Serikali inapaswa kushirikiana na watoa...
0 Reactions
1 Replies
532 Views
MSIMAMO WA WIZARA YA AFYA KUHUSU MABORESHO YA KITITA NHIF 2023. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amevielekeza Vituo Binafsi vilivyoingia mkataba na NHIF Kuzingatia masharti ya Mikataba yao...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
MBUNGE ZUBEIDA SHAIB Atembelea Miradi ya Elimu ya Jimbo la Mfenesini Mbunge wa Jimbo la Mfenesini, Mhe. Zubeida Khamis Shaib amefanya ziara katika kukagua miradi ya elimu ya madarasa...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu, hiki ndio kipindi cha kufanya tafakari za sifa za mgombea anayefaa na asiyefaa kuchaguliwa kuwa kiongozi. Wakati wa kampeni ukianza...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Rais Samia Hassan ameyazungumza hayo leo katika hafla ya kusimikwa rasmi mkuu wa kanisa la KKKT Askofu Dkt Alex Malasusa katika kanisa la Azania front jijini Dar es Salaam Rais Samia ameshangazwa...
14 Reactions
98 Replies
7K Views
Rejea kichwa cha habari. Kwangu mini marehemu mzee wetu Ally Hassan Meinyi ndiye rais peke ambaye alistafu kiuhalisia na kuacha wengine waongoze nchi kwelikweli. Ukiachia yeye wengine wamekuwa...
0 Reactions
2 Replies
556 Views
Viongozi wa Tanzania , kama walivyo viongozi wengi wa Kiafrika huamini kwamba wana akili nyingi sana na pia wanadhani uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa kuliko Mtanzania yeyote yule Imani yao hii ya...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakuu, Ni kwamba "Wanyonge" ndio jina tulilokubali kuitwa na kuliishi hatuwezi kabisa kutoka humo hata tufanyiwe aina yoyote ya upuuzi hatutafanya kitu? Tunamuachia Mungu? Tunalipia huduma hizi...
2 Reactions
2 Replies
465 Views
Kuna wizara ambazo mawaziri wamepewa kama zawadi na inabidi waondolewe haraka: 1. Waziri wa afya na Naibu wake. 2. Waziri wa fedha 3. Waziri wa Tamisemi 4. Waziri wa Nishati (Doto) 5. Waziri wa...
1 Reactions
6 Replies
571 Views
Nafikiri tumshauri Rais Samia afanye uamuzi mgumu kunusuru uchumi wa nchi kwa mgogoro huu wa mafuta nchini. Tarehe 27/28 July 2023 nchi za Afrika 49 kati ya 54 zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom