Maandamano yaliyofanyika kwenye majiji yalikuwa ya kumtahadharisha Rais asisaini uchafu uliopo mezani pake kuwa sheria, lakini kumkumbusha pia kuwa huko mtaani watu wanateseka kwa maisha magumu...
Habari zenu ndugu zang, ama baada ya salam ningependa kuwaombea heri ya mwaka mpya. Ndugu watanzania wenzangu, historia yetu inatuambia kuwa baba wa Taifa mwl J.K. Nyerere aliiongoza nchi yetu kwa...
Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania Chadema kimedai hali ya Maisha ni ngumu sana kwa Wananchi kumudu.
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu PhD anasema maisha ni mazuri ndio sababu Magari mapya ni...
Hivi Karibuni tumesikia sera nzuri ya bima kwa wote Ila ikiwa na Changamoto kubwa ya utekelezaji
Mkakati wa kwanza iliatakiwa kuumarisha kwanza mfuko wa NHIF
Mpaka Sasa tumeshasikia tamko la...
Sasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake...
Ndugu zangu Watanzania,
Baadhi ya watanzania wanyonge wamempigia magoti Mh. Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa wakimuomba kwa unyenyekevu, upendo na heshima kubwa aweze...
SHIRIKA LA BIMA LIMEFILISIKA HOSPITALI ZINADAI PESA ZAIDI YA MIEZ 5 BILA MALIPO, WANANCHI TUMEANZA KUONJA JOTO HILI,UKIENDA MUHIMBILI HUDUMA YA HARAKA KWA MGONJWA WA BIMA IMEPUNGUA SANA, NI...
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa...
Kifungu Cha 8(1) Cha Leaders Funeral Act No. 10 of 2002 Zanzibar kinasema Rais wa Zanzibar atatangaza kifo Cha kiongozi mzanzibar na Bendera kupepea nusu mlingoti. Iwapo Tanzania hawataunga mkono...
Anaandika mbunge wa Nzega Vijijini ukurasani X kwamba rafiki yake amekiri " kwa siku 4 mfululizo umeme haujakatika Dar tena una nguvu sana"
Kigwangala anasema rafiki yake huyo aliyempinga Shujaa...
Huu ndio mtazamo wangu kwa saa kuhusu huyu mwanasiasa.
Itachukua muda gani au ni lini atatuellliwa, hio ni swala la muda.
Kupewa cheo serikalini pia inawezekana, lakini hili naliona sio rahisi...
Friends and Our Enemies,
Sote tuna Kumbuka namna ambavyo Padre wilbroad slaa alivyokihama chama Hiko Cha chadema Kwa mbwembwe na mikogo na kusema kwamba Hawezi kukaa meza Moja na Fisadi Papa...
Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi...
Hakuhitaji akili kubwa kujua upinzani Tanzania unaundwa na chama kimoja tu ambacho ni CHADEMA.
Tanzania inajumla ya vyama 22 lakini kati ya hiyo chama pekee cha upinzani wa dhati ni CHADEMA na...
Wafuatao wanastahili maua yao kwa kazi kubwa ya kukipigania CCM hapa JF. Hawa ni legends wa Chama kilichobeba matumaini ya watamzania wote yaani CCM. Wamefanya kazi kubwa ya kukieneza chama JF...
Nimeambiwa Mgombea Urais wa Chadema 2025 ni aliyelemazwa Tundu Lissu. Jamani nafasi ya Urais ni nyeti na ya juu mno. Ni nafasi inayohitaji utulivu, akili na usawaziko wa akili.
Lissu achana na...
Habari za leo wana JF,
Kama kichwa Cha habari kinavosema ngoja nianalyse mtazamo wangu Kwa kuangalia connection iliopo ktk past event baada ya uhuru wa nchi za Africa, current events tulipo na...
Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;
1. Vijana wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.