Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Habari wanajamvi! Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na kuna mengi ya kuzungumza japo muda ni mchache ila kwa hili la maandamano ya chadema yanayotarajiwa kufanyika tar 24...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Wafahamu Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 ambao wameshafariki Maalim Seif Sharif Hamad ambaye alikuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha Civic United Front (CUF) alifariki Februari...
1 Reactions
0 Replies
515 Views
Friends and Our Enemies, Niliposikia kauli ya Shangazi Fatma Karume aliposema ya kwamba Chadema waache chuki dhidi ya waislam na uislam nikatanabahi kuwa kumbe siyo Mimi pekeyangu ambae nimeliona...
12 Reactions
205 Replies
8K Views
Kama mlipa Kodi ni vema kuangalia watumishi wetu tunawalipa kiasi gani hususan sasa hivi ugumu wa maisha umepanda huenda ni wakati wa kufunga mkanda... Ukizingatia Rais anapewa kila kitu (magari...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Siku ya jana, tarehe 26/2/2024, shirika la reli hapa Tanzania (TRC) lilifanya jaribio la kwanza la treni ya kisasa, umeme na mwendokasi (SGR), na miongoni ya malengo (matarajio ya watu?) ya msingi...
21 Reactions
55 Replies
4K Views
Huu ndio ukweli, tena Dar es Salaam! Mahudhurio hayakulingana na nguvu kubwa iliyotumika. Chama kilianza kampeni na uhamasishaji kwa takriban mwezi mmoja uliopita ukizingatia kwamba, Dar es Salaam...
10 Reactions
87 Replies
5K Views
Kwa Africa Kura ni kitu temporary ndio sababu hata kura zikiibwa Watu hawashughuliki kuzipigania Hata Watu wakijitangaza Kupita Bila Kupingwa hakunaga anayejali na kuhoji Ila huko Duniani kila...
2 Reactions
18 Replies
715 Views
Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri. Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi. Labda tu kwa...
12 Reactions
129 Replies
5K Views
Katika suala la maandamano kuna aina mbili maarufu za maandamano. Moja maandamano ya amani haya pia unaweza kuyaita maandamano ya hisani au matembezi ya hisani . Ni aina ya maandamano ambayo...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Tumechoka kutumiwa kama mtaji wa wanasiasa kujinufaisha. Maisha yamekuwa magumu; hatuna maji, umeme ni kero, bima za afya ni mbovu, elimu imeshuka thamani, hakuna ajira. Tafadhali CHADEMA mje...
5 Reactions
9 Replies
440 Views
Kama hiri jamaa rinaitwa martin karanja kasese sijui ndo jina lake kumtusi Fatma kuwa anajihusisha na mambo ya jinsia moja ni tabia mbaya Chadema ni chama cha matusi na kimejaa vijana malioo huyu...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti. Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa...
8 Reactions
73 Replies
5K Views
Akifanya mahojiano na Mwanahalisi, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amejibu maswali kuhusu uraia wa watoto wake na pia kufunga ndoa na Mzungu. Akijibu maswali hayo, Tundu Lissu...
12 Reactions
93 Replies
10K Views
"Matumizi ya mashine za kielekroniki kwa ajili ya kodi na kutoa risiti bado imekuwa ni changamoto kwa wananchi, kwasasa utoaji wa risiti umekuwa kama punguzo la bei manake mtu asipopewa risiti...
5 Reactions
56 Replies
3K Views
Kumekuwepo na mwendelezo mzuri maana waandamanaji wameelewa kuwa kumbe ni ya Amani na ujumbe wa Masahibu yao unafika kunako mfupa. Sasa yale yajayo yawe Dodoma na washiriki wawe; Viongozi wa...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) imetumia umeme wa Sh336,000 katika safari ya abiria ya majaribio kutoka jijini Dar es...
18 Reactions
145 Replies
11K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa CHADEMA kuendelea kufanya maandalizi na hamasa ya magari yao kuwa kesho wanafanya maandamano na kuwataka watu washiriki katika maandamano...
4 Reactions
117 Replies
5K Views
Akiwa mkoani Mara Waziri mkuu mh Majaliwa amesema kuna Wizi mkubwa sana unafanywa na kakikundi ka Watu Wachache pale TAMISEMI wakishirikiana na Watendaji wa kwenye Halmashauri Wezi hao...
10 Reactions
52 Replies
4K Views
Utaratibu wa kutoa majina ya watumishi waliokidhi vigezo vya kuhama kwenye tovuti ya TAMISEMI kila mwezi wa Juni na Desemba umeshakufa. Kwa sasa barua zimerudikana pale idarani kurugenzi ya...
4 Reactions
33 Replies
6K Views
Back
Top Bottom