"Rais wa Tanzania tumemwajiri sisi Katiba ni barua ya ajira ambayo sisi ndiyo tunaopaswa kumuandikia siyo yeye atuandikie halafu atuambie nimeandaa Katiba ili niwatawale, huwa tunaingia kwenye...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yaliyoletwa na Mungu, ya kupinga Dhiki, Ufukara, Ugumu wa Maisha, Bei kubwa ya bidhaa zote ikiwemo Vyakula, pamoja na kupinga miswada mibovu...
Umeme tutapigwa danadana hadi hapo tutakapo sahau Sisi wenyewe na kuchukulia swala Hilo kuwa la kawaida! Maji katika bwawa la Nyerere yamejaa kwa asilimia 99% shida iliyopo pale kutopata umeme NI...
Salaam, Shalom!!
Tunaambiwa tusubiri mwezi tena Ili tupate sukari ya kututosha,
Ningependa kujua nini maana ya dharura?
Yaani tusubiri bunge likae ndipo libadili taratibu za kuwaondolea...
Binafsi Siamini kama Wizara ya Afya, ambayo kwa maoni yangu ni Wizara nyeti kabisa inahitaji kuwa na Waziri, ama viongozi wenye makeke, ama makelele yasiyo na tija.
Kwanza uzoefu unatuonesha...
Heshima sana wanajamvi,
Inafahamika Jumanne yatakuwepo maandamano hapa Jijini Arusha.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha imekuwa katika harakati kubwa za kutaka kuyazuia maandamano hayo kwa kutumia...
Ndugu zangu Watanzania,
Dkt Tulia Acksoni Mwansasu amefanya wananchi katika mitaa mbalimbali ya jiji la mbeya kububujikwa na kutokwa na machozi utafikiri watu waliowekewa vitunguu machoni. Hii ni...
Ujumbe mzuri sana huu, huku ndiko kuiva kisiasa.
"Nawatakia heri CHADEMA kwenye maandamano kesho Arusha. Naamini kwenye siasa za ushindani wa hoja. Nitasikiliza hoja zao zenye mashiko...
Kama mada inavyosema Mimi ni mtanzania niliyezaliwa, Kijiji Cha Nakatuba kata ya Chitengule Jimbo la MWIBARA. Nimeamua nigombee UBUNGE jimbo la Mwibara 2025.
Nimeamua kuonesha nia ya kuligombania...
Waziri Mkuu mstaafu bingwa wa kulia hovyo hovyo alishiriki misa takatifu St Theresa Jijini kwa heshima ya wadhifa aliwahi kushika Paroko akampatia nafasi ya kusalimia waumini.
Badala ya kusalimia...
Ukweli mchungu utabaki kuwa Magufuli alikuwa shujaa na Rais bora kuwahi kutokea Tanzania na Afrika.
Historia vizazi na vizazi vitazidi kumkumbuka huyu shujaa kutokea Chato.
Haitokaa ije kutokea...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema maji ni moja ya shida kubwa zinazowakabili wananchi wengi wa ukanda wa ziwa Victoria.
Tathmini kutoka mikutano ya...
Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amepatwa na nini? Mbona Bashe wa kabla ya kuteuliwa kuwa waziri alikuwa machachari sana kuliko huyu wa sasa? Mazao yote makubwa chini yake yameanguka bei ,pamba...
Hakuna umeme hata dar es salaam, viwanda, majumbani na kwenye biashara hakuna umeme, ni shida na hasara ya matrilion inapatikana: Mvua zinanyesha nchi nzima, mabwawa yamejaa na mafuriko kila kona...
Taarifa iliyotolewa na BOT mwishoni mwa mwaka jana inaonesha kanda ya kaskazini yenye mikoa 4 ndio ya pili kwa makusanyo ya mapato nchini baada ya Dar.
Mapato ya Dsm hayashangazi kwasababu...
Kweli kabisa nasema ukweli, kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi.
Leo umeme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua...
Leo nimeona tujadiri wapi bunge letu limekosea/linakosea.
Awali tunajua kuwa mbunge wa Jimbo anapochaguliwa anawakilisha wana-Jimbo wote.
Sasa mbona wanawake wanataka mwakilishi wao, mbona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.