Why huyu Rostam hajifunzi?
Why anafanya yaleyale na results zinarudi zile zile na bado haoni "makosa" yake?...
Naomba niseme hapa siko hapa kusema Rostam ni mfanyabiashara Safi Sana na wala siko...
MBUNGE MPEMBENWE: JIMBO LA KIBITI LILIPOKEA BILIONI 31 ZA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
"Katika Jimbo la Kibiti, Rais Samia Suluhu Hassan ametupatia fedha nyingi za...
Vijana wa Chama Cha ACT Wazalendo wamefanya mdahalo mmoja mzuri sana,ambao pia wameutumia kama uwanja wa kampeni.
Hoja nyingi zilielekezwa Kwa Mwenyekiti anayetetea nafasi yake katika Ngome hiyo...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa lengo la maandamano si machafuko bali ni kupeleka ujumbe kwa watawala.
Akizungumza Katika mkutano wa hadhara uliofanyika baada ya maandamano...
Wanabodi,
Huu ni mwendelezo wa Tribute to Edward Lowassa ilianza wiki iliyopita TRIBUTE: Pumzika Lowassa. Kazi umekamilisha, umeacha alama, mwendo umeumaliza. Watanzania wazalendo...
Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewaagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb), na Waziri wa Fedha Dkt...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jensita Mhagama (Mb) Peramiho, amewapongeza Wenyeviti wa Mashina na Kata kwa kazi nzuri wanayofanya ya kulinda na kukipigania...
Kwa mujibu wa Africa fact zone hii hapa ndio Orodha ya nchi zenye Amani ya moyo
Africa's Most Peaceful Countries
1. Mauritius
2. Botswana
3. Sierra Leone
4. Ghana
5. Senegal
6. Madagascar
7...
Waziri wa fedha na mipango Dk. Mwigulu Lameck Nchemba amewaita vijana mbalimbali toka Kanda ya Ziwa na kukutana nao mkoa wa Singida mnamo tarehe 22.02.2023 kwa kile alichodai kuwa ni kumsemea mama...
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tabora mjini Bw. Komanya Erick Kitwala apinga uamuzi wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumstaafisha bila kumpa sababu .
Kesi aliyofungua Komanya Erick Kitwala...
Waziri wa Katiba na Sheria Leo amewaongoza Wananchi wa Arusha kuaga miili 11 Kati ya 25 ya Marehemu wa Ajali
Miongoni mwa miili hiyo imo ya watoto Wadogo watatu
Source: Mwananchi Digital
23 February 2024
SALAMU ZA RAMBIRAMBI
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Hussein Ali Mwinyi amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha baba mzazi wa waziri wa Mambo ya...
Ngome ya vijana wa Chama cha ACT Wazalendo itafanya mkutano wake kesho wa kuchagua mtu atakayekuwa mwenyekiti kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari wagombea wanne...
LEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme.
JNHPP itakuwa na...
Bwana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia ni mfano wa kupigwa na kinara wa utekelezwaji wa Ilani.
My Take
Samia amemwaga mabilioni Nchi nzima Kila sekta haijawahi tokea Kwa Rais yeyote...
Wakuu nauliza muda ambao Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda ambazo alimpa Waziri Mkuu, Mh. Kassim Majaliwa kumaliza tatizo la migogoro ya ardhi unatazamiwa kuisha lini? Je tangu agizo hilo...
Lugha ya Kiswahili Kenya na Tanzania na kuchangamkia fursa.
Leo tar 22/Agosti /2019 ,nilialikwa katika kipindi cha Radio KissFM :Mada "Kiswahili kuwa lugha ya SADC ,huku Kenya ikiaminika kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.