Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kutokana na mfumo wa Jeshi la polisi ulivyo, kitengo Cha CID kipo chini ya jeshi Hilo ambapo mkuu wa kitengo hicho ni mmoja wa wasaidizi wa IGP anayeshughulika na upelelezi wa makosa makubwa ya...
11 Reactions
50 Replies
7K Views
Je, tunapaswa kupoteza rasilimalifedha na muda kumuenzi Nyerere kama tumemgeuka Mzee wa watu kwa kiasi hiki? Hebu msikilize huyu Mama. https://youtu.be/NoD_0Wnehtk?si=rLQ4PzkpZO8fR0-k
1 Reactions
9 Replies
717 Views
Sias zina unafiki sana. Siku zote wanasiasa wanatanguliza maslahi yao, wasikudanganye vinginevyo. Suala la kuruhusu mgombea binafsi liliamuliwa na mahakama kuwa ni haki ya kikatiba ya kila...
4 Reactions
11 Replies
807 Views
Haya aliyasema katika hukumu ya kesi ya Rev. Mtikila v Attorney General, 1993 Leo tunaona Rais na kila mmoja upande wa CCM wanavunja KATIBA kama vile kuvunja uchumba! Jaji Lugakingira...
1 Reactions
1 Replies
644 Views
Wadau nawasabahi.Poleni na Msiba wa Shujaa Edward Lowassa pia poleni na Matatizo ya Bei na Upatikanaji wa SUKARI na pia Upatikanaji wa UMEME. Hoja yangu ni UMEME Kutokana na Sintafahau...
8 Reactions
12 Replies
628 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Kuna mambo mengine yakijirudia unaweza ukafikiria bado uko ndotoni. Maana kuna baadhi ya ndoto zinajirudia rudia hata kama huzitaki. Wengine wanaita "jinamizi". Zinakuja...
52 Reactions
86 Replies
3K Views
Mgao mkali wa umeme uliopo unatokana na upungufu uliopo katika uzalishaji dhidi ya mahitaji. Kuwashwa kwa Mtambo namba 9 katika Mradi wa Bwawa la uzalishaji umeme la Julius Nyerere ambao...
1 Reactions
10 Replies
920 Views
Na Joseph Maziku, Arusha Mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na mbunge wa zamani wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema ameingia katika rekodi nyingine ya...
-1 Reactions
0 Replies
536 Views
Pamoja na jitihada kubwa zinazo fanywa na Serikali ya awamu ya 6 chini ya Mama, kuhakikisha kuwa nchi yetu inapata nishati ya uhakika lakini bado naona kuna tatizo la msingi ambalo pamoja na mambo...
2 Reactions
2 Replies
324 Views
Ndg. zangu wanaJF, Mr. Massoro Hussein Kivuga in chaguo la wananchi wa ukonga jijini Dar es Salaam. Anauzika anafaa anatosha mpaka chenji inabaki. Ukonga kama jumbo ambalo lipo wazi has a baada...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Chadema Tanzania , kimekuwa Chama cha kwanza cha Kisiasa nchini Tanzania kutoa salamu za Rambirambi kwa waliopata ajali huko Ngaramtoni , Arusha . Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba Watu 25...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanu Hafidh Ameir, Mbunge wa Viti Maalum ameshiriki katika Ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Pamoja la ACP-EU chini ya Mkataba Mpya wa Samoa uliosainiwa mwezi Novemba 2023. Wanu Hafidh...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Inaeleweka wazi Tundu Lissu hata akitumia Jukwaa la Kichanja cha kupigia Mahindi huwa anapata nyomi la uhakika Nataka kujua ni Mwanasiasa gani mwingine mwenye Nyota ya kuujaza Uwanja wa mkutano...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
"Mabadiliko hayawezi kuletwa na watu wale wale walioleta matatizo, yaani matatizo hayawezi kutatuliwa na kiwango cha fikra kile kile kilicholeta matatizo, matatizo tuliyonayo ya kukosa maji...
1 Reactions
8 Replies
575 Views
Mwaka Mpya wa China umewakutanisha Wachina na kufanya tathmini juu ya mfumuko wa bei Tanzania. Wachina wauza mashuka, mataulo, mapazia, chupa za maji, vyombo vya Udongo, maua, chupi, chupa za...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
No offense lakini lazima tuwe wakweli... Marekani, China na Urusi ziko zilipo sio kwa sababu wana rais mzuri la hasha ni kwa sababu wavaa miwani myeusi wao wako njema! Taifa haliwezi kamwe kuwa...
45 Reactions
112 Replies
6K Views
Kwa kweli leo tarehe 24, inabidi iingie katika historia kwa nchi hii, kwa kuwa ni kwa mara ya kwanza, tokea tupate uhuru kwa serikali yetu kuruhusu maandamano ya amani ya chama cha upinzani...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Ujinga, Maradhi na Umasikini vilitajwa kama maadui wakuu wa Taifa letu. Sijui watu walioorodhesha hawa maadui walitumia vigezo gani lkn ndio wimbo tumeimbishwa zaidi ya nusu karne sasa lkn bahati...
4 Reactions
11 Replies
696 Views
Leo katika kupitia pitia masuala ya nchi nakutana na article katika gazeti la mwananchi kuhusu ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo. Kulingana na ripoti ya Mhasibu...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Siku zote ukiwa muongo basi jitahidi uwe na kumbukumbu ili usije kusahau na kutoa siri ukaumbuka. Watanzania tulikuwa tunawasema ccm kuwa wanasomba watu kwa mafuso kutoka sehemu za mashambani...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom