Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
RC MWASSA ASISITIZA WANUFAIKA KUTENDEWA HAKI - TCRS WAZINDUA MRADI WA KUSAIDIA WALIOTHIRIWA NA MVUA KAGERA Mkuu wa Mkoa Kagera Hajat Fatma Mwassa amezindua mradi wa kusaidia kaya 482...
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kupisha msafara wa Naibu Waziri...
13 Reactions
109 Replies
8K Views
KWANINI TUGOMBEE NJITI NA TUNAIJENGA NYUMBA MOJA, MIMI NITAMUIMBIA DR SAMIA Na Comrade Ally Maftah PACOME WA MCHONGO Kuna kasumba kubwa ya viongozi, na washabiki wa CCM kufikiria kwamba sisi...
1 Reactions
4 Replies
554 Views
Hivi Nchini Tanzania hakuna Wizara ya Viwanda na Biashara , ambayo ndio Mhusika halisi wa Biashara na Viwanda? Naandika haya kwa Uzoefu, mimi ni Mfanyabiashara na namiliki Kiwanda (siyo cha...
16 Reactions
43 Replies
2K Views
  • Closed
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wakati wa kikao cha Tathmini cha maandalizi ya maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilichofanyika tarehe 21 February 2024 Jijini Arusha...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika. Sina shaka...
25 Reactions
184 Replies
12K Views
Na Joseph Maziku, Arusha Mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na mbunge wa zamani wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema ameingia katika rekodi nyingine ya...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kutokana na maboresho ya sheria za uchaguzi na Tume huru ya uchaguzi nakusudia kutetea kiti ya ubunge. Nimewiwa kufanya hivyo baada ya record yangu ya maendeleo kwa wananchi kuwa nzuri sana...
12 Reactions
161 Replies
5K Views
"Nataka kuwaeleza foot soldiers wa CHADEMA kitu muhimu sana. CHADEMA haiwezi kushinda Urais wa Tanzania bila ya Kura za WAISLAMU na WAKRISTO. Huu mchezo wenu wa UDINI ni double edged sword...
15 Reactions
239 Replies
10K Views
Taifa letu soon litageuka kuwa si mahala salama pa kuishi. Uhalifu utaongezeka kama kule Haiti kwasababu watu wengi watakata tamaa ya maisha. Hivi Sasa kila kitu kinaenda hovyo hovyo lakini...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
MBUNGE CHEREHANI AKABIDHI KADI 400 ZA UWT ULOWA Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani amekabidhi kadi 400 za Umoja wa Wanawake Tanzania katika Jukwaa la Wanawake Kata ya Ulowa ili...
0 Reactions
3 Replies
358 Views
Nikikumbuka bunge la Spika Sitta, hoja nzito za akina Lissu, Mbowe, Lema, Kabwe na wengine wengi waliokuwepo bungeni kipindi kile, unaona tofauti kubwa iliyopo kati ya bunge la wakati ule na hili...
1 Reactions
1 Replies
274 Views
Mikutano ya hadhara kwa vyama ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe unaokusudiwa. Lakini pia hutumika kuleta hamasa au hasira/mori. Mnakumbuka Mtikila na Magabachori pale Jangwani. Nawashauri sasa...
1 Reactions
2 Replies
311 Views
Siku chache baada ya kufanyika kwa maandamano ya CHADEMA mkoani Mbeya, Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dkt. Tulia Ackson (CCM) ametoa wito kwa wakazi wa Mbeya kuacha kuhangaika na maneno ya...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
KAWAIDA ATINGA JIMBO LA HAI "MLIKUA NA MTU ASIYE NA FAIDA" Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Kawaida amefika kukagua na kujionea shule mpya ya msingi Saashisha iliyopo...
0 Reactions
10 Replies
856 Views
Hello! Natanguliza shukrani kwa serikali kwa uamuzi makini wa kufuta baadhi ya taasisi zake na zingine kuziunganisha. Nadhani ni mwaka jana kama sijakosea nilileta uzi wa kutaka serikali ifute...
8 Reactions
65 Replies
3K Views
Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje ambayo hivi leo hayana msaada kwetu. Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni. Tulionekana hatujui kiingereza, nchi...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Hata madaktari na wanasayansi wanapofanya majaribio na utafiti wao kama ni tiba huwajaribu wanyama wakipona basi tiba hiyo hupewa wanadamu. Kama dawa au upasuaji haukufanikiwa kwa kitu halisi...
2 Reactions
4 Replies
633 Views
Leo napenda kuzungumzia suala hili angalau KWA ufupi ni kuhusu wasanii mbalimbali katika Taifa letu la Tanzania kutavunwa Baada ya uchunguzi kuisha/ KUKAMILIKA. Naimani msomaji wa Andiko hili...
0 Reactions
1 Replies
294 Views
Ikumbukwe kuwa Spika Dr Tulia ndio Rais wa Mabunge yote duniani Mbowe ndiye makamu wa Rais wa Umoja wa Vyama vya Demokrasia duniani Tuzidi kumuombea mzee Kikwete awe Mtendaji mkuu wa Umoja wa...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom