Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Leo tarehe 12 Februari 2024 Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewasilisha Mahakamani nia ya kutoendelea na kesi ya mauaji inayowakabili George Sanga, Optatus Nkwera na Goodlucky Mfuse. Baada ya...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Hii gari ya serikali namba STL 8699 Land Cruiser V8 ilikuwa inatafuta nini kwenye msafara wa Makonda ambaye sio kiongozi wa Serikali mpaka inapata ajali? Kwa hiyo hapo tena pesa za serikali...
27 Reactions
130 Replies
9K Views
MNEC HALIMA MAMUYA: NENDENI MKAHAKIKISHE CCM INASHINDA Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mlezi wa Mkoa wa #Njombe Halima Mohammed Mamuya amewataka...
0 Reactions
6 Replies
888 Views
Hili Taifa Upendo umepoa kabisa au tuseme haupo Fikiria msafara wa Makonda unapata Ujali Watu badala ya kuwatakia Pole na uponyaji wa haraka wao wanalalamika msafara ulikuwa mrefu sana Mungu wa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
P.Makonda kabla ya kukatisha ziara yako, nilikuambia ukija mkoa wa Mtwara uje na majibu ya bei ya korosho. Pia ukija Mtwara uje na uwataje madalali wa korosho au wanaoua soko la korosho Mtwara...
21 Reactions
81 Replies
6K Views
Kirefu cha ACT WAZALENDO ni neno la kiingereza. Sisi Watanzania ni waswahili ni wakati muafaka Chama chenu kiwe kama CCM (CHAMA CHA MAPINDUZI) au CHADEMA(CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO)...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa ya sasa kuhusiana na Msiba huo Hii ni kwamba Maombolezo ya kitaifa ya siku 5 yataisha kabla hajazikwa. ==== Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa unatarajiwa kuzikwa...
12 Reactions
71 Replies
7K Views
Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye...
9 Reactions
68 Replies
2K Views
Lindi na Mtwara zina utajiri mkubwa sana wa Gesi na mazao ya Korosho Wana Chokaa ya aina mbalimbali Imewahi kutoa Mkuu wa Nchi Imetoa Wabunge wa Upinzani kupitia Chadema na CUF Kwanini Mikoa...
15 Reactions
123 Replies
5K Views
Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Anna Tibaijuka, ametoa pole kwa familia ya aliekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa. "Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN...
21 Reactions
92 Replies
7K Views
"Migogoro ya ardhi na migogoro ya mipaka kati ya hifadhi na vijiji, maeno ya Kusini mwa Tanzania tumekuta malalamiko makubwa ya wakulima dhidi ya wafugaji kuvamia maeneo yao na hata kupelekea...
0 Reactions
2 Replies
338 Views
Barua ya wazi Kwa mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mkurugenzi na afisa elimu. Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi Msumi. Ndugu wakuu wetu tunahitaji Sana msaada wetu kuhusu upotevu wa...
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kutokana na uchapa kazi wa Mheshimiwa Makonda,uzalendo wake, ujasiri wake katika kufanya maamuzi na kuchukua hatua ,bidii katika kazi ,ubunifu katika kazi,kasi yake...
5 Reactions
145 Replies
5K Views
Ni vema kuyaangalia mazuri ya mtu, hayati Lowassa alikuwa Mwanasiasa wa Pekee Sana nchini Tanzania. 2015 aliwaunganisha watanzania kwenye Uchaguzi Mkuu kupitia UKAWA na kama angeshinda sasa...
4 Reactions
11 Replies
716 Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda amezuru kaburi la Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Hayati Benjamin William Mkapa Kijijini kwao Lupaso Mkoani Mtwara. Mwenezi...
0 Reactions
4 Replies
915 Views
Naapa nitajiunga CCM Makonda akiwa summon wanajeshi kama anavyowa summon Mawaziri na kuwatishia kuwachapa makofi. Nitampa kura ya Urais
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Chama cha ACT Wazalendo kinafanya kikao chake cha kikatiba cha Halmashauri Kuu ya Chama, leo Februari 12, 2024 kwenye Ukumbi wa Halmashauri Kuu wa Hakainde Hichilema uliopo katika ofisi za Makao...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Zanzibar inajiandaa kwa kitovu kipya cha biashara kwa kuzindua Mji wa Nyamanzi, mradi wenye dira unaotarajiwa kubadilisha hali ya kiuchumi ya kisiwa hicho. Rais Hussein Mwinyi alipokea mwongozo...
3 Reactions
5 Replies
841 Views
Makonda ulinusurika kufanywa kama Sabaya, wazee wa korido au viambaza walikulinda kwa maelekezo ya Hangaya. Wajuzi wa mambo wakaenda mbali zaidi wakasema Hangaya alikupenda japo ulitoka familia...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Picha ya Rais Samia sio tu itabaki kumbukumbu kwenye kuta baada ya kustaafu kwake bali itajenga taswira ya kudumu mioyoni mwa watanzania na watanzania kutumia kama kioo cha kutazamia uongozi kwa...
0 Reactions
5 Replies
628 Views
Back
Top Bottom