Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Siku zote fisadi ni kama mtu kipofu asiyeelewa wala kujua kama naye ni mtu wa kufa kama ilivyo kwa wengine Kazi kubwa kwao ni kuiba na kukusanya mali pasipo kujua uhalali wa makusanyo hayo, kwa...
8 Reactions
47 Replies
2K Views
Nimefuatilia bei ya kuagiza sukari kutoka Pakistan kuja Dar es salaam ni USD 550 kwa tani mpaka bandari ya Dar es salaam.Hii ni sawa na Tshs 1,387,460.25 kwa maana kilo 1 ya sukari inafika bandari...
19 Reactions
45 Replies
3K Views
Watasema nini baada ya Lowassa kurudi CCM? Monday March 11 2019 Kwa ufupi Edward Lowassa ambaye amekuwa akibadili mwelekeo wa kisiasa, ambapo Julai 28, 2015 alitoka CCM na kwenda Chadema...
17 Reactions
50 Replies
9K Views
Uzembe mkubwa na kutowajibika kwa wananchi ndio chama cha mapinduzi CCM. Tumeona magari ya kifahari angalau 13 yakiteketea siku moja tu ya jana. Haya magari ya serikali yanatumika kwenye msafara...
0 Reactions
3 Replies
463 Views
Friends and our Enemies, kindly go and listen the beautiful song of the late Lucky Dube ''Reap just like you sow''. Move ya wapinzani kuingia barabarani na kuandamana kwa Amani huku wakipewa...
5 Reactions
15 Replies
796 Views
Poleni kwa Msiba Wakuu! Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu. Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja...
16 Reactions
98 Replies
6K Views
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amekiomba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kusitisha shughuli zao za kisiasa ili kuungana na CCM kuombeleza msiba wa Waziri Mkuu...
4 Reactions
102 Replies
5K Views
Katibu Mwenezi, Itikadi na sisa wa CCM Paul Makonda, yupo barabarani akizungukia maeneo mbalimbali ya nchi ambako amekutana na shida lukuki. Kuna shida zingine ni rahisi sana kutatuliwa bila...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe. Kwa maana hiyo...
10 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu chadema Mgombea uraisi na mgombea mwenza wao 2015 wote wameondoka chadema. Alianza Juma Duni Haji mgombea Mwenza sasa mgombea uraisi kamalizia. Wataalamu wa political science mtusaidie hili...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye...
9 Reactions
46 Replies
3K Views
Ni msema ukweli huwa hamung'unyi maneno. Kwake yeye nyeusi ni nyeusi na nyepe ni nyeupe sio nyeusi.......hicho ndicho kinacho wafanya wananchi wamuamini na kumlilia kero zao wakiamini zitapata...
0 Reactions
1 Replies
270 Views
Ni salaam tu fupi kwa ndugu yangu Harrison Mwakyembe, jamaa mmoja hivi aliyepata umaarufu mkubwa sana kwenye siasa za chuki na visasi. Harrison Mwakyembe, wakati Edward Lowassa ni Waziri Mkuu...
22 Reactions
79 Replies
7K Views
Wanabodi, Nimepita hapa Jangwani kwenye uzinduzi wa kampeni za UKAWA, mchana huu saa 8:45, kitu nilichokishuhudia, kama kipimo uha ushindi wa uchaguzi, ni Idadi ya watu waliojitokeza kwa ridhaa...
25 Reactions
146 Replies
21K Views
Edward Lowassa kiongozi aliyekuwa katikati ya kisa cha Richmond, kampuni tata ya kufua umeme iliyosemekana kuwa feki na ya kwenye briefcase tu na iliyohusishwa na ufisadi mkubwa amehitimisha...
3 Reactions
9 Replies
996 Views
Ndugu zangu wadanganyika, Matatizo au changamoto ambazo kiini chake ni mfumo mzima mbovu wa nchi hii, auwezi kutatuliwa kwenye mikutano na wananchi, kwa kuinua mwananchi mmoja na kumsikiliza...
11 Reactions
31 Replies
2K Views
Dr. Nchimbi alikuwa mfuasi kindakindaki wa Lowasa na angeweza kuwa Waziri Mkuu. Alipigwa Majungu na kukataliwa kisa tu anamkubali Lowasa. Wakina Kikwete walimchukia Nchimbi wakimwona kama si...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Siasa za nchi zilileta ushindani mkubwa kutokana na uwepo wa watu waliokubalika vilivyo kwenye kanda zao kiasi Cha kufikia kuitwa miamba. Ni kipindi cha kusisimua tulichopata kushuhudia kwenye...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari wadau Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara! Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa! Siyo mtumishi wa Umma! Nashangaa sana...
23 Reactions
70 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. John Pombe Magufuli, awaalika wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa na wasanii chakula cha mchana eneo la...
2 Reactions
70 Replies
13K Views
Back
Top Bottom