Wanabodi,
Jumapili ya leo, nimepata tena fursa ya kuendelea kuhamasisha, watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura kwa muktadha wa kuchagua kuendelea kuwa masikini, au kuchagua utajiri!.
Wakati...
MR Antonio GUTTERES should resign immediately to protect his honor as we have seen his office has supported HAMAS to invade, kill, abduct, and rape innocent ISRAEL people. This is evidenced by...
Sasa hivi wanajipitisha pitisha eti wanasikiliza kero.
Kero gani ambazo hujaziona na kuzifanyia kazi miaka mitano yoote ambazo utatatua kwa miezi michache iliyobaki.
Sijaona watu wanafiki kama...
Ni kipi physical ambacho nchi husika zimefaidika nacho, binafsi sioni chochote ambacho labda tunaweza kuiga na kukifuata toka katika nchi hizo ambazo zilialika vyama vya upinzani viwaongoze, zaidi...
Wanabodi,
Japo matokeo ya mwisho bado, trends zinaonyesha Mgombea wetu, Edward Ngoyai Lowassa, na wagombea wetu wa Ubunge na Udiwani, wameshindwa!. Nina ushauri ufuatao.
Kwanza tukubali...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali kuhusu figisu figisu za kwenye Uchaguzi Mkuu uliopita, ambapo kila anayeshindwa, hakubali kushindwa kihalali kwenye sanduku la kura katika uchaguzi huru na wa...
Wanabodi,
Furahi Day ya Leo, nimekaa mahali, kama kawaida yangu, nateremka na Joni Mtembezi wa Alama Nyeusi, mara ukapigwa wimbo huu wa "One More Try", nimeusikiliza huu wimbo kwa makini, mara...
Wakati tunasikitika kumpoteza, Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, si vibaya tukakumbushana kidogo.
Ikumbukwe, baada ya kukatwa kwa jina la Edward katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Mgombea wa...
Ameyasema hayo alipozungumza na gazeti la Mwananchi kufuatia Msiba wa Rafiki yake Lowassa
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Sinyanga na rafiki wa karibu wa Hayati Waziri Mkuu wa zamani...
Wanabodi,
Wakati Watanzania tukijiandaa kukumbuka kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwallimu Nyerere, naomba kutoa angalizo la kuizuia kumbukumbu hiyo isitumike vibaya kuupotosha umma eti kuna watu...
Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati anayestaafu Dr Tavsangwa amempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa kuyaruhusu Maandamano ya Chadema yaliyofanyika jijini DSM.
Askofu amesema yawezekana...
Juzi niliona uwekaji sahihi kuhusu Mradi wa umeme utakaojengwa Mto Malagarasi mkoani Kigoma. Nilijiuliza, kama tutakuwa na Mradi mkubwa Julius Nyerere Hydro Electric Power ambayo itatosheleza...
Kiongozi hatokei Kila mahali na Kila kabila.
Wamasai ni moto wa kuotea mbali.
1. Sokoine - Monduli
2. Lowassa - Monduli
Weka Hapo Msuya , Kilimanjaro.
Sio Kila mahali unamchukua hapo Kiongozi.
Wanabodi,
Jumapili ya leo. nimepata tena fursa ya kuwahamasisha Watanzania, tujitokeze kwa wingi kupiga kura. Mada yangu ya leo ni nguvu ya kauli za ushindi!.
Kuna msemo, kuwa mdomo huumba, au...
Nimepokea kwa mshituko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Bernard Kamillius Membe.
Nimemfahamu miaka mingi, tumetoka nae mbali na tumesaidiana kwa mengi. Familia zetu, na mapito ya...
Baada ya kutoka Kolomije na kufika Dar es salaam Makonda alifikia Lumumba kwa utambulisho wa uCCM. Alilala katika moja ya ofisi za chama hicho siku kadhaa kabla ya Mzee Samwel Sitta kumchukua...
CHADEMA wamepata Ruzuku ya Zaidi ya 2.7 sababu kubwa ni Kura za Mzee Lowassa lakini cha ajabu fedha hizo zimeishia kuhudumia wanafamilia na si ujenzi wa uimara wa chama badalayake viongozi kujenga...
Wanabodi,
hili ni swali tuu, inasemekana hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika, akaasi ndipo akageuka shetani, hii maana yake ni kuwa, mtu mwema kabisa, anaweza kuja kubadilika na kugeuka...
Wanabodi,
Kama ni Mpango wa Mungu, Uhakika wa Ushindi ni Asilimia 100% kwa 100%, kwa sababu Mipango ya shetani Itashindwa!.
Uthibitisho wa rais wa Tanzania ni nani, ni huu Rais wetu October ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.