Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Naomba kufahamishwa na wale wenye kufahamu zaidi, hivi ni sawa vikao vya CCM kufanyika Ikulu? Ninavyotambua Ikulu huwasikilisha serikali ikiwa ni pamoja na jamii nzima ya Tanzania. Hivi CUF, TLP...
1 Reactions
479 Replies
41K Views
Mimi nimeshidwa kuelewa hivi huo mkutano unaofanyika wa ki chama ndani ya ikulu, nani analipa gharama ni CCM au Ikulu? Hii ni mara ya kwanza naona, hivi sheria inasemaje kuhusu kutumika mali ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Yani mtu siyo mtumishi wa umma na hana chochote kile serikalini lakini anatembea na msafara wa magari ya serikali na watu wamekaa kimya tuu. Kwa nguvu alionayo uyu bwana nahisi anaweza kwenda...
0 Reactions
3 Replies
371 Views
Habari za wakati huu? Kwanza nianze kwa kusema kwamba mimi binafsi nilikuwa muumini mkubwa kabisa wa sera za Magufuli lakini nilikuwa mkosoaji mkubwa sana wa Mtindo wake wa uongozi.Kama mdau wa...
0 Reactions
1 Replies
844 Views
Lowassa kaondoka. kaenda zake akitupa mda wa kuangalia alimopita Ameonewa sana na kaonea na kila mtu Tulimfitini ili tupate tulichotaka wakati tulipokitaka lakini yeye alibaki yule yule wa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Napendekeza serikali ya Tanzania ichukue hatua katika haya mapendekezo yangu. 1. Napendekeza serikali ya JMT itoe visa free kwa raia kutoka India, China, Japan na Korea - katika mchakato wa visa...
0 Reactions
14 Replies
721 Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema hayati Lowasa alikuwa mtu mwenye Upendo, Muungwana na Kiongozi Mpenda Maendeleo asiyechoka " Kwa niaba ya Chadema natuma salamu za pole kwa mama na familia...
0 Reactions
1 Replies
525 Views
Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona...
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwanza kabisa tuipe pole familia ya mzee Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, pia pole kwa wa Tanzania kuondokewa na waziri mkuu mstafu. Makonda nakuita mara tatu, bado nitasema mimi ni...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Tanzania ni taifa rafiki na babu yake mzee Kim il sun na kumbukumbu zake nyingi sana za utawala wa Juche zipo maktaba ya kibaha. Karibu Tanzania Kim jong kiduku un
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Kama unabisha subiri salaam za Pole zitakavyokuwa zinatolewa pale Karimjee na Monduli Ndio utaamini hii Dunia isingeongozwa na Wanasiasa ingekuwa salama Sana Kuishi na Kuyafurahia maisha ya Asili...
10 Reactions
71 Replies
4K Views
Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu. Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana...
14 Reactions
52 Replies
2K Views
Makamu wa Rais Dr. Mpango kwa niaba ya Rais Samia amemkabidhi Askofu mteule wa KKKT Kaskazini Kati Dr. Mollel tsh 10 mil kutumia kama atakavyoona inafaa kwenye Sherehe yake ya kuingizwa Kazini...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
MUHTASARI Mlipuko wa Covid-19 unasambaa ukiambatana na taarifa nyingi zisizo sahihi au za kupotosha. Taarifa hizi zinatengenezwa, ama kwa watu kukosa uelewa sahihi wa jambo wanalolizungumzia au...
50 Reactions
127 Replies
22K Views
TAMKO LA JUMUIYA YA VIJANA KUUNGA MKONO KAZI YA SEKRETARIETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CHINI YA KATIBU MKUU NDUGU ABDULRAHAMAN KINANA ..Chama Cha Siasa chochote duniani hubomoka kutokana na...
16 Reactions
640 Replies
88K Views
Wanabodi, Dr. John Pombe Joseph Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025 and may be more!, anayesubiri tuu kutangazwa rasmi na kuapishwa. Nimesema 2015 -2025 sio kwa...
36 Reactions
283 Replies
35K Views
Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Bernard Kibesse amefanya ziara katika Kaunti ya Kisumu ambapo pamoja na mambo mengine, amekutana kwa mazungumzo na Gavana wa Kaunti ya Kisumu – Kenya...
0 Reactions
1 Replies
420 Views
Makamu wa Rais Dr. Mpango amesema anajua Mchango mkubwa uliotolewa na Mzee Lowassa kwenye Maendeleo ya Arusha. Lowasa alikuwa mchapakazi na Mpenda Maendeleo hivyo nikitua DSM nitakwenda Moja kwa...
3 Reactions
4 Replies
778 Views
Wanabodi, Uchaguzi Mkuu ulifanyika na kumalizika ile Octoba 25,2015 na matokeo 'halali' yametoka!, aliyeshinda ameshinda, aliyeshindwa ameshindwa kwa mtindo wa "The winner takes it all, and the...
3 Reactions
81 Replies
12K Views
Ninashauri wanaprotokali wa maombolezo na heshima kwa Lowassa kwamba itambuliwe kwamba Lowassa ameiletea heshima nchi yetu akiwa ndani ya CCM na ndani ya CHADEMA. Dunia ilishuhudia ukomavu wa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom