𝗨𝗰𝗵𝗮𝗺𝗯𝘂𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗞𝗮𝘂𝗹𝗶 𝗠𝗯𝗶𝘂 𝘆𝗮 𝗖𝗖𝗠 𝘆𝗮 𝗨𝗰𝗵𝗮𝗴𝘂𝘇𝗶 𝗠𝗸𝘂𝘂 𝟮𝟬𝟮𝟱: "𝗞𝗮𝘇𝗶 𝗻𝗮 𝗨𝘁𝘂, 𝗧𝘂𝗻𝗮𝘀𝗼𝗻𝗴𝗮 𝗠𝗯𝗲𝗹𝗲"
𝗡𝗮. 𝗝𝘂𝗺𝗮 𝗦𝗮𝗶𝗱, 𝗧𝘂𝗺𝗯𝗮𝘁𝘂 - 𝗨𝗻𝗴𝘂𝗷𝗮
Kauli mbiu hii ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025...
Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si...
Wakuu,
Serikali kupitia Waziri wa Afya nchini imetangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera.
Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa...
Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya...
Angolan immigration authorities are holding up and denying entry into Angola for me and a delegation of more than twenty senior leaders and representatives of political parties from across...
Wanabodi,
Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu.
Kwa Waliosikiliza...
Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala kuanza March 2025, Vipi huko njiani Mnayaona? Kwa yeyote aliyeyaona mabasi hayo yakisafirisha abiria kutoka Mbagala kuja Mjini atuambie ili...
Wakati Tume ya Huru ya Uchaguzi nchini (INEC) ikiendelea na uandikishaji wa daftari la kudumu la wapigakura katika mikoa mbalimbali, vijana wametakiwa kuwa mstari wa mbele kujiandikisha ili wapate...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Chitete wilayani Ileje, mkoani Songwe, Harison Mwampashi (62) amefariki dunia baada ya kudaiwa kuuawa na watu wasiojulikana...
Rais Samia anaendelea kuacha alama za Uongozi Bora na wenye faida Kwa watu wake .
Mashuhuda wa hili ni wakulima wa Korosho ambao Kwa miaka Mingi wamekuwa wakitaabika na Kilimo Cha Korosho lakini...
Wapigania uhuru wa waafrika wanaitwa Simba wa Afrika walikuwa matapeli wakubwa wazee wale.
Nasema waafrika tulikurupuka kudai uhuru hatukuwa na mipango wala nia yoyote ile ya kudai uhuru ni kama...
Wakuu,
Baada ya kupita Mkutano Mkuu wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Victoria Ezekia Wenje amekuwa sio wa kuonekana kwenye matukio ya chama jambo ambalo...
Kutoka kwenye jarida hilo
Wanasema kuwa Afrika kutoendelea ni sababu ya viongozi kutokuwa na uwezo mkubwa wa kiakili ilihali wamelalia rasilimali lukuki.
Jarida linasema wapigania uhuru wengi...
SIMBACHAWENE NA MKENDA WAKUTANA NA VIONGOZI WA NETO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema Serikali itaunda timu ya...
✳️ UNAELEWA NINI UKISIKIA KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE?
Tazama na Sikiliza video hii tukikuletea uchambuzi wa Kauli Mbiu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025...
Wakuu
Tunajua msimamo wa Chama upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hawatashiriki uchaguzi, huyu Mapunda imekuaje ametangaza nia wakati wenzake wanapaza sauti ya No Reform, No...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ameeleza kutambua maumivu ya walioshindwa uchaguzi ndani ya chama hicho na kutaja mikakati ya kutibu majeraha yaliyotokana na...
Wakuu,
NETO walikuja na moto baada ya kuicharukia serikali kuhusu ajira za walimu na suala zima la wao kufanyiwa usaili. Jambo hili lilipokelewa vibaya na serikali ambako viongozi wao wa juu...
Kama kuna kijana wa hovyo na asiye na fadhila hata kidogo aliyetoka Upinzani na anafanya kila juhudi kuumaliza Upinzani huo ambao ndio umemkuzà na kumlea na kumfanya awe alivyo leo ni huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.