Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Leo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327. Tabora wamepata stend...
12 Reactions
56 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Ndg. Faris Buruhani, amewataka wananchi wa Kata ya Kibingo, Wilaya ya Kyerwa, kuacha tabia ya kuwachagua viongozi wa...
1 Reactions
2 Replies
131 Views
Wakuu, Chama cha National League for Democracy (NLD) kimesema kitaendelea kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 licha ya changamoto za kisiasa. Akizungumza Februari 23, 2025, jijini Dar es Salaam...
1 Reactions
12 Replies
322 Views
Wanabodi, Salaam! Namzungumzia nguli wa siasa na diplomasia nchini - mwamba wa nchi - chuma cha pua Mhe Stephen Masatu Wassira. # Ni nadra sana kupata kiongozi mwenye umri mkubwa kama Wassira -...
0 Reactions
4 Replies
90 Views
By Malisa GJ, Kwanza, ieleweke kuwa hili si jambo geni. Hii si mara ya kwanza kununua umeme nje ya nchi. Tunanunua umeme kutoka Zambia kwa ajili ya mkoa wa Rukwa, kutoka Uganda kwa ajili ya mkoa...
17 Reactions
50 Replies
1K Views
Huyu mbunge wetu wa sasa nadhani mwenyewe keshajua. His time is up na nadhani its about time akatangaza kutogombea tena 2015. Tushachoka na CCM wakitaka kulazimisha then bora tuwape wapinzani...
3 Reactions
58 Replies
7K Views
Hapa ni pamoja na viongozi watetezi wao akiwepo Mzee wa Pp anayeona Marekani haikoseagi kiuchumi Huyu Anatuokotea Kila kitu nje Kama Dodoki bila kutuambia mazingira au Mfumo wa shirika la umeme...
8 Reactions
51 Replies
984 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali kitendo cha kuzuiliwa kwa Mwenyekiti wake Taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu, kuingia nchini Angola, ambako alipaswa kushiriki mkutano...
1 Reactions
5 Replies
466 Views
Ukiondoa kutumia muda mwingi kufafanua no reform no election Lissu ameitisha nini serekali ya ccm iliopo madarakani? Ipi amsha amsha ambayo Lissu kaifanya na kuifanya ccm kupata wakati mgumu...
0 Reactions
3 Replies
177 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kufikia Oktoba 19, 2024, Jumla ya watanzania wenye sifa Milioni 26,769,995 sawa na...
8 Reactions
79 Replies
3K Views
Utangulizi Moshi mjini, maarufu kwa mandhari yake ya kuvutia na utamaduni wa kipekee, sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya usafi. Kituo cha mabasi kilichoko katikati ya mji kimekuwa kielelezo...
1 Reactions
3 Replies
133 Views
Kwa sasa ukitaka kuona brain za nchi hii, nenda CHADEMA. Nawaelewa sasa CCM kwa kuanza kuchukua sera za Lissu na CHADEMA ikiwemo ukomo wa ubunge kupitia Viti Maalum kila la Kheri CHADEMA...
12 Reactions
78 Replies
1K Views
Mikoa 10 ambayo Wananchi wake Wanaotajwa kuwa na Mapato makubwa na hivyo Wana Maendeleo kushinda maeneo mengine ya Nchi. Takwimu hizi ni wastani wa Mapato ya mtu na yako Juu ya Wastani wa...
9 Reactions
120 Replies
7K Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO), Joseph Kaheza, amesema umoja huo umeendelea kuwa na mshikamano katika kudai ajira kwa walimu waliokosa nafasi za ajira Akizungumza na...
0 Reactions
Replies
Views
Katika kuhakikisha TANESCO unahudumia wateja wake kwa haraka na kwa ufasaha, wamezindua namba mpya 180 ya kupiga bure masaa 24. Havi karibu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto...
0 Reactions
5 Replies
269 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma ( UVCCM) Abdulhabib Mwanyemba, amewahimiza Vijana nchini wakiwemo wa CCM kujitokeza kwenda kugombea nafasi mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
36 Views
Mbunge wa Manonga Self Hamis Gulamali akieleza namna serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ilivyoleta maendeleo jimboni kwake. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
2 Reactions
7 Replies
170 Views
Mbunge wa Jimbo la Manonga Seif Khamis Gulamali Amuomba Waziri Mkuu Shule moja jimbo la Nzega Vijijini ipewe jina la Mbunge wao Dkt. Khamis Kigwangala. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
0 Reactions
2 Replies
84 Views
Kagame kweli kajaa kiburi! Kwenye kurasa zake za Mitandao ya Kijamii amerusha Video akiongea kuhusu Mgogoro wa Congo jana kwenye kikao chake na Wakuu wa EAC Kamgombeza kama mtoto mdogo Rais wa...
30 Reactions
137 Replies
7K Views
Kwanini wamefungia telgram hasa?
4 Reactions
53 Replies
8K Views
Back
Top Bottom