“DP tutashiriki uchaguzi na sasa tumeshatoa kalenda na tutakuwa na Mkutano Mkuu wetu tarehe 10/6/2025 na tutaufanya Morogoro. Maana hata Mkutano Mkuu wa uchaguzi mwaka juzi tuliufanya Mogororo,”...
Kassim Majaliwa kiufupi umeshajipotezea heshima na heshima uliyobaki nayo ni ndogo Sana.
Nakushauri Ujifunze kukaa Kimya hakuna faida utaipata baada ya kuwa mropokaji.
Utangulizi
Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka...
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais...
Jimbo la Arusha mjini limekuwa na ongezeko kubwa la watu. Itapendeza kama litagawanywa. Hii ni kwa sababu ktk muda mfupi sana uliopita,kumekuwa na kuzaliwa kwa mitaa mipya mingi ambayo inahitaji...
Nawakumbusha tuu Baadhi ya mambo ambayo Serikali ya Rais Samia imeyafanya kwenye Kilimo Ili Kuzalisha Kwa Wingi na Kwa Tija. Soma zaidi hapa Tanzania Yaipiku Nigeria Kama Mzalishaji namba 2 wa...
Pamoja na kwamba meengi yamezungumzwa kuhusu Shirika La Hifadhi ya jamii la taifa Nssf...Bado Jamii imezid kubakia njia panda na kukosa majibu yenye tija ya kuhusu nin hasa kinachoendelea na...
Rais Samia ni wazi sasa anamuamini Balozi Sefue na ndiye kamchagua mwenyekiti wa TPDC na Msaidizi wa mwenyekiti wa tume maalumu ya kumshauri kwenye mabadiliko ya majeshi yetu...
Kutokana na mabadiliko ya teknolojia, uchumi na mwenendo wa biashara, Serikali imeanza mchakato wa maboresho ya sheria ya leseni za biashara sura namba 208.
Huu ni mwaka wa 50 tangu sheria hiyo...
Zito amekengeuka kiasi hiki kweli? anasema
Masuala 6 kati ya 10 yamekubaliwa:
1. Anasema: sasa kutakuwa na tume huru, mabadiriko si ya siku moja
2. Anasema tumelipwa sehemu ya deni, baki...
Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na...
Siasa za Tanzania ni Za kutabirika, Kwasasa tukiweka mambo ya maridhiano kwenda vizuri, yaani kuwe na uchaguzi huru na wa Haki basi uchaguzi wa Urais utakuwa Mrais na Kwa kiasi kikubwa tunajua...
Mwenye nyumba Kariakoo (Mtaa wa Sikukuu/Kipata) anataka kuvuruga watu. Hapo nyuma alikuwa anapokea kodi ya TZS 24,000,000/= p.a, lakini yeye analazimisha na mwanasheria wake kuandika kodi ya TZS...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita umeeleza dhamira yake ya kuendelea kuwalinda na kuwaunga mkono viongozi wanaojitolea kujenga na kuimarisha chama, ikiwemo kusaidia...
Wakuu,
Nimekutana na hii video clip ya Mjumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Vijana Wa CCM Taifa Victor Makundi akizungumzia ajenda ya No Reform No Election ya Tundu Lissu.
Kijana mdogo kama huyu...
===
Huu ni mwaka ambao Dira ya Maendeleo ya Taifa ya awamu ya tatu chini ya Rais Benjamin Mkapa (2000-2025) imekamilika kwa mafanikio wakati Dira ya Sasa ya 2025-2050 chini ya Rais Samia...
TUNACHOPIGANIA SASA;-
Serikali kwa kushirikiana na waekezaji wazalishe umeme wa megawatts 100,000 na zaidi ili kukuza maradufu Saughall za uchumi
Unit moja ya umeme iuzwe sh 50 kwa matumizi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.