Mbona kama vile nchi hii ina Ufa mkubwa sana wa kujali raia wake?
Yaani mwanajeshi mstaafu kapigana vita Uganda na kaponea chupuchupu mara kadhaa vitani, daktari aliyestaafu miaka ya 1990 na...
Kumekuwepo na kugugumizi cha kushindwa kuweka wazi mishahara ya viongozi wakuu wa nchi yetu hata baada ya nchi kuingia mkataba wa UHURU NA UWAZI na nchi ya marekani...Bado Tanzania imeendelea...
Hivi sisi waafrica nani aliyeturoga kiasi ambacho hata viongozi hawajui ofisini wanafanya nini ilimradi tu siku ziende.
Hebu angalia kauki ya juzi ya pm eti wenye digrii waende VETA. Kwa nchi...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Mwenyekiti Mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe amewezesha kitita kikubwa cha fedha ili kugharamia Kongamano la Wanawake la Kidunia lilioandaliwa na BAWACHA...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo.
Hapa naileta kama swali, hii dhana na kauli mbiu ya Samia Mitano.Tena, kufuatia ile the spirit ya 2025, "twende na mwanamke" ...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu kuanzia Machi 13 hadi 16, 2025 mkoani Songwe...
Miaka Minne ya Rais Samia Suluhu Hassan Tumeona ujenzi wa hospitali za wilaya 129, vituo vya afya 367, majengo 87 ya huduma za dharura, na majengo 30 ya wagonjwa mahututi (ICU) yote yakifanyika...
Kutoka kwenye takwimu za Mapato ya Kodi za TRA yaani Regional Tax Statistics za mwaka 2023/2024 zimebainisha Mikoa 13 ambayo imechangia Mapato makubwa ya Kodi Kwa mwaka 2023.
Uchambuzi wa awali...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu...
Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Bilioni 16 katika Hospitali ya...
Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.
Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.
UBAYA UBWELA
=============
Sisemi mengi maana tumeshsema sana na kwa miaka mingi.
Viongozi wa nchi za kiafrika wengi ni wabinafsi, wabadhirifu, hawana uzalendo na hawajali shida za wananchi wao, bali wanafikiria zaidi...
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchi Tanzània PPPC Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania lazima wafahamu kesho ya Tanzània yao ni bora kama tu hali ya Umoja na...
Wakuu,
Panazidi kuchangamka huko,
Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimesema haviko tayari kususia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu kwa kigezo cha marekebisho ya katiba...
Mama Tabitha Siwale, mwalimu na ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu, miaka ya Mwalimu Nyerere, amefariki dunia usiku kuamkia leo.
Tetesi zimetolewa na ndugu wa karibu.
Mama Siwale ni kati ya...
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Machi 11, 2025 Jijini Dar Es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Burundi nchini Mhe. Leontine Nzeyimana
Katika Mazungumzo yao...
Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimesema havina mpango wa kususia Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa kigezo cha marekebisho ya Katiba, na kwamba suala la "No Reform, No Election" ni msimamo wa Chama cha...
Wakuu,
Hivi nyie wenzangu mnawaelewa hawa CCM?
Huyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki?
Hii ni video ambayo amepost katika Instagram yake...
Utangulizi
Chama cha Mapinduzi (CCM) kilianzishwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama mbalimbali vya kisiasa, ikiwa ni pamoja na Chama cha Umma (ASP) na Chama cha Mapinduzi (SMT) cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.