Wakuu huu ukimya imekaaje? NETO wamelambishwa asali na huenda ndiyo chanzo Cha ukimya wao. Vijana tuendeni tu shambani vijana wenzetu wameula Hawa na wameamua kulala mbele.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira inayoongozwa na Mwenyekiti Jackson kiswaga imeridhishwa na ujenzi wa bwawa la maji katika kijiji cha Kizengi wilaya ya Uyui mkoani Tabora ...
Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mkoa iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watukatika Mkoa wa Mbeya ni...
CV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana.
Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream.
Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa...
Habari Wakuu!
January hii imeanza na mambo mengi lakini Mpaka sasa kwa humu JF kuna mambo Makuu mawili yaliyovuta usikivu wa wengi, Jambo la Kwanza ni Uchaguzi wa CHADEMA, na lile la Pili, ni...
DC KIBAHA AFUNGUA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI DAWASA
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe.Nickson Simon amefungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es...
Mwananchi huyu kaeleza yote.
Kati ya sheria za kuchekesha na kuudhi kwa pamoja kwa mlipa kodi, ni hii sheria iliyopitishwa na Bunge wiki hii.
Ati nao WENZA wa viongozi wakuu , nao wapewe mafungu...
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amekiri kuwa rushwa bado ni tatizo ndani ya chama hicho, akisema inasababisha kuchaguliwa kwa...
Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza uhusiano wa kidiplomasia, biashara, na uwekezaji kati ya Nchi hizo mbili...
Wanabodi
Niko hapa jengo la PSSSF Golden Jubilee Hall, DSM, Wadau Sekta Nguo na Mavazi wa Kitanzania, wamewataka "Watanzania kuvaa, zilizobuniwa na wabunifu wa Kitanzania, na nguo za kushoneza...
My Take
Watu walihamia Dom Kwa shingo upande ila Kwa hili nampongeza Hayati Magufuli.
Huwezi kuwa na Nchi ambayo Haina balanced Development yaani 80% ya Mapato yanatoka Mji mmja.
Juhudi za...
Siasa ya vyama vingi kwa Tanzania ina umri wa miaka 33 sasa tangu virudishwe rasmi mnamo mwaka 1992.
Siasa hizi zimepitia chamngamoto nyingi ndani ya mfumo na sheria na mazingira kandamizi ya...
UTAPELI UNAOFANYWA NA KAMPUNI YA SONGORO MARINE WAWEKWA HADHARANI
Kampuni ya Songoro Marine ya Ilemela jijini Mwanza inakabiliwa na tuhuma za kujipatia zabuni tatu za kujenga meli katika maeneo...
Hii nimeiona kwenye Group linajiita MATAGA ila CHADEMA wamo kibao. Nikaona niwatumie hapa nanyi muione.
====
"CCM Mkoa wa Mbeya wanatamba kuwa Ziara ya Rais Samia Wilaya ya Kyela ilifana sana...
Wadau nawasabahi.Kwa uchungu mkubwa nimezipokea taarifa za bunge la ccm kupitisha muswaada uliopelekwa bunge na mwenza wa rais mstaafu wa awamu ya 4 wa kutaka wenza wa viongozi wa juu kulipwa...
✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU
Zoezi la kuboresha taarifa na kujiandishika katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura litaendelea kwa mkoa wa Dar es...
Hakika nimemsika Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu 4 ambaye pia ni Mbunge akisema yeye ndie aliyependekeza Bungeni juu ya WENZA wa Viongozi wa JUU walipwe MAFAO kutokana na kuumiza Akili wa Wenza wao...
Hakika nimeshtushwa na Taarifa ya WENZA wa Viongozi Wakuu wa NCHI nao KULIPWA MAMILIONI ya Fedha.
Viongozi wetu hebu jaribuni KUMWOGOPA MUNGU wananchi mnaowaongoza ni Masikini sana wanaishi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.