Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Ndugu zangu Watanzania, Chuma cha Reli, Mwamba Mwenyewe ,Nguli wa Siasa na Jabali la siasa Stephen Wasira Makamu Mwenyeki wa CCM Taifa Ametua kibabe kwelikweli katika uwanja wa ndege wa Songwe ...
6 Reactions
115 Replies
2K Views
Katibu wa Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga amewataka wazazi kuacha kushiriki mahusiano ya kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri, akisema vitendo hivyo vinawaharibu...
1 Reactions
2 Replies
85 Views
Hakuna haja ya Kuchoka hadi Shetani Atokomezwe, na hii ni nafasi kwa wewe ambaye hukubahatika kushiriki mchakato wa mwanzo, Usikose Taarifa zaidi hii hapa
3 Reactions
25 Replies
466 Views
Bismillah Rahman Raheem. Mwaka wa Uchaguzi umefika na Mwezi wa Ramadhan ushawadia, leo tuko Chungu cha pili. Sasa kama mjuavyo kwa miaka ya sasa kila jambo ni fursa, mtaalikwa kila mahali na...
15 Reactions
44 Replies
847 Views
  • Redirect
9 Reactions
Replies
Views
Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao...
58 Reactions
515 Replies
13K Views
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Stephen Wasira wilayani Mbozi mkoani Songwe Wana CCM wampokea Stephen Wasira Vwawa, wamama...
6 Reactions
25 Replies
818 Views
Nchi yetu bado ipo ktk bado ipo ktk hatua mbalimbali Za kutokomeza umaskini. Wafanyakazi,wafanya biashara,Wenye viwanda na wakulima ndio walipa kodi wakubwa licha ya tax base kuwa finyu. Kila...
6 Reactions
19 Replies
212 Views
Kilichomponza hiki hapa Kwa Wasiomfahamu- Habib Mchange ndiye mmiliki wa Gazeti hilo, Ni Mtu anayeshikilia nafasi ya pili kwa Kumtukana Mzee Lowassa Matusi ya nguoni wakati ule wa kampeni za...
4 Reactions
18 Replies
820 Views
Utangulizi Soko la Mbuyuni, lililojengwa katika Manispaa ya Moshi, limekuwa kivutio cha mjadala mzito miongoni mwa wakazi wa eneo hilo. Kwa dhamani ya bilioni 2, wengi wanajiuliza ni wapi fedha...
6 Reactions
53 Replies
1K Views
Pamoja na kujitenga, kuandamana na kususia michakato ya kidemokrasia, CHADEMA haijawahi kufanikiwa kubadili hali au uelekeo wa siasa za Tanzania, walau hata kuchochea mabadiliko yoyote yenye tija...
0 Reactions
21 Replies
197 Views
Je Jeshi la TZ and SA limeshidwa na M23? Maana tunasikia wanasonga tu. Sasa tumefikia sehemu hizi nchi kubwa kwa ukanda wa huku South wameshindwa na M23. Hii ni hatari sana kupuuza au kwenda...
16 Reactions
121 Replies
3K Views
Serikali imehimizwa kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani ili kuhakikisha anamaliza kwa wakati. Katika mradi huo hatua ya kwanza (lot one) ya ujenzi wa barabara ya...
0 Reactions
1 Replies
66 Views
  • Redirect
VIONGOZI na wanachama wa CCM Mkoa wa Songwe wakicheza na kushangilia walipokuwa wakimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira katika Ukumbi wa Kanisani, Vwawa wilayani Mbozi Mkoa...
0 Reactions
Replies
Views
Diaspora Leteni Fursa Tanzania,Serikali itawaunga Mkono” - Balozi Kombo Watanzania Waishio Ughaibuni wamehimizwa kuchangamkia fursa zilizoko katika maeneo yao na Serikali itawaunga mkono pale...
2 Reactions
21 Replies
253 Views
  • Redirect
Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo waliokuwa wamezuiwa kuingia nchini Angola wamerejea Tanzania usiku wa Machi 14, 2025, saa 9:40. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Idara ya Mambo...
1 Reactions
Replies
Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg. Stephen Wasira akilakiwa na Vikundi vya ngoma akiwasili katika Ukumbi wa Kanisa kuzungumza na Wanachama wa CCM na Viongozi Mbalimbali wilaya ya Mbozi, Leo...
1 Reactions
0 Replies
63 Views
KIKAO cha Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa (RCC) wa Geita kimeridhia majimbo mawili ya uchaguzi ya Chato na Busanda yagawanywe kupata majimbo manne ili kuchagiza maendeleo. Kupata matukio na taarifa...
1 Reactions
3 Replies
144 Views
Bashe ambaye ni Mbunge wa Nzega mjini na Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Rais Samia dalili zi wazi anaelekea kukwama. Kwa wajuzi wa mambo ya siasa watakubaliana na mimi kwenye hilo. Waziri Bashe...
8 Reactions
47 Replies
5K Views
Haya ndio maono ya 2025 Baada ya watu kuchapatana na kuumizana sana na kila mmoja akiwa amechoka kwa mtifuwano wa 2025. Haya ndio yatatokea. Pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero...
65 Reactions
219 Replies
29K Views
Back
Top Bottom