Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mkurugenzi wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania TIC bwana Gilead Teri amesema mwaka 2024 ulikuwa ni mwaka wa mafanikio makubwa Kwa TIC kwani ilisajili miradi Mingi ipatayo 901 yenye thamani ya Shilingi...
0 Reactions
10 Replies
315 Views
July 2024,Benki ya Dunia imetoa takwimu za Uchumi wa Nchi mbalimbali Duniani. Taarifa hiyo imeonesha Uchumi wa Tanzania umekua na kuongeza kutoka Dola Bilioni 69 mwaka 2021 Hadi kufikia Dola...
2 Reactions
22 Replies
696 Views
Hii Amani yako unayoishupalia shingo ni pale tu UHAI WA CCM unapotishiwa na UPINZANI?. Miaka nenda miaka Rudi ,Hoja kuu ya CCM Huwa ni Amani ,Amani hii ni katika muktadha wa CCM au Taifa...
11 Reactions
27 Replies
409 Views
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa serikali ina hali mbaya na imeshindwa kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kuwa asilimia kubwa ya mipango ya serikali hutegemea wahisani ambao wamegoma kutoa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Selemani Kakoso, Wamefanya ziara Mkoa wa Tanga kukagua Miradi ya Miundombinu inayoendelea Mkoa wa Tanga Kutoka...
0 Reactions
2 Replies
66 Views
Mchekeshaji Said Said, aliyepiga picha na Rais Samia wakati wa usiku wa Tuzo za Wachekeshaji (Tanzania Comedy Awards), ameweka mabango ya picha hiyo katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo...
0 Reactions
6 Replies
684 Views
=== Akihojiwa na kituo cha runinga cha Clouds Media Group Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPP -Centre David Zacharia Kafulila alikuwa na haya ya kusema ;- "Tafiti...
23 Reactions
123 Replies
3K Views
Ni jambo lisilopingika kwamba samaki katika Ziwa Victoria wamepungua sana na inawezekana kwa asilimia 80. Kunusuru hali hii inabidi Serikali kupandikiza vifaranga wa samaki hasa wale wa sangari...
2 Reactions
10 Replies
264 Views
  • Redirect
📢 VIJANA WA DAR ES SALAAM – NI WAKATI WETU! TOKA, NITOKE - TWENDE TUKAJIANDIKISHE 🔥 MIAKA 18+...!! TOKA, NITOKE – TWENDE TUKAJIANDIKISHE! 🔥 🗓 TAREHE: 17 - 23 Machi 2025 📍 ENEO: Mkoa wa Dar es...
2 Reactions
Replies
Views
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Dar es Salaam utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi, 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa...
0 Reactions
8 Replies
244 Views
https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ ==== Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka...
16 Reactions
44 Replies
2K Views
Binafsi Huwa nashindwa kuelewa hii Nchi inavyoweka na kuratibu mipango yake. Kwamba inakuaje tuwe na utitiri wa Wawakilishi wa Kisiasa ambao ni Wabunge badala ya kugawa maeneo ya kutawala Ili...
0 Reactions
6 Replies
105 Views
Habari za hapo mjengoni Mheshimiwa, mimi nashukuru Mungu kwa kunipatia afya njema. Mheshimiwa hawa wachina waliozagaa mjini ni wewe ndiye uliye ruhusu waje kutuuzia yeboyebo, kutembeza matunda na...
5 Reactions
47 Replies
1K Views
Hiki ndicho alichokiandika Kafulila kwenye Ukurasa wake wa X, "Kati ya mwaka 2000 na 2025, pato la kila Mtanzania liliongezeka mara manne ( 4 ) kutoka US$360 mpaka US$ 1500 kama...
13 Reactions
105 Replies
2K Views
Uchaguzi mkuu wa Mwaka 2020 Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM alitangazwa kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 75,225 akimshinda aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, Joseph...
4 Reactions
32 Replies
483 Views
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th...
38 Reactions
227 Replies
7K Views
Wakuu, Kunazidi kufurukuta, moshi unaongezeka! ==== Wakati kitendo cha kuzuiwa kuingia nchini Angola na mamlaka za nchi hiyo kwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman na mwenzake...
5 Reactions
74 Replies
2K Views
Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu vijana wenye degree kwenda Veta ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na changamoto ya Ajira ni kauli ya kukosa maono na ni red sign kuwa CCM ni MUFILISI...
23 Reactions
132 Replies
1K Views
Mbunge wa Moshi mjini MH.PRISCUS TARIMO @⁨Priscus Tarimo B⁩ amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini... Haikuwa rahisi kwa chama kumpa ridhaa mtu ambaye hajawahi kuwa...
1 Reactions
5 Replies
122 Views
Back
Top Bottom