Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya fedha ya chama hicho amesema endapo wanachama na wadau wakikichangia chama hicho kwa wingi...
Kiukweli wewe ni kiongozi bora sana umeufanya mkoa wa Arusha kuwa bora binafsi nakuona ukienda kuwa kiongozi mkubwa zaidi serikali baada ya mwezi wa kumi mwaka huu 2025. Mungu akusaidie hii ndoto...
Mkuu wa itifaki (Head of Protocol ) na Mwenyekiti Mwanzilishi (Founding Chairman) wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao Dr Steve Nyenyere amejitolea kumlipia dhamana mlimbwende wa Bongo movie Nicole...
Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.
Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora...
Kampuni ya Shell’s Global yenye vitalu vya gesi Mtwara ina teknolojia ya kuibadili gesi kuwa mafuta (gas-to-liquids (GTL))
Our gas-to-liquids technology turns natural gas into high-quality...
Kwanza Kabisa nachukua nafasi hii kutoa pole kwa Msiba wa Dkt Faustine Ndugulile, Lakini pole hii naitoa kwa familia yake tu, Sitoi Pole kwa Bunge wala kwa mwingine yeyote yule.
Baada ya...
Huyu mzee nimemfatilia kiasi chake,
Ana busara,ana utulivu,sio mlalamishi,hana nguvu nyingi za mwili kama vijana ila ana nguvu katka kauli!
Na kwa sababu hiyo katika mijadala wengi hasa vijana...
Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho, Joseph Mbilinyi, Ametambulisha sare mpya za Chama hicho Nchini Marekani.
Taarifa zinadokeza kwamba Mzigo huo mpya wa...
WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii...
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe.
DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia.
Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege...
Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni Maria Sarungi, kifupi Rais...
Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same
Soma Pia: Rais Samia...
Kumekuwa na mchakato wa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi hasa ya ubunge kwa kuzingatia vigezo vilianishwa na serikali
Kihoja kimejitokeza katika Halimashauri ya Tunduru ambayo ina wakazi takriban...
Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka.
Kwa mwaka 2021 kulisajiliwa Miradi 256 ya uwekezaji yenye mtaji wa Dola...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Temeke, imemkamata na kumhoji Mwananchi aitwaye Habibu Mchange, ambaye ni mwanachama wa chama cha mapinduzi CCM, kwa tuhuma za rushwa ambapo...
Wakuu,
Nimekutana na video ya Waziri wa Elimu Profesa Mkenda kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake.
Akiwa kwenye maadhimisho hayo, Waziri Mkenda alikuwa amekunja kile kitenge na kukiweka begani...
Jumuiya ya Umoja wa vijana wa CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Ndg. Mohammed Ali Kawaida inatarajia kufanya Mkutano...
Wataalamu wa kuijua nchi yetu ya Tanzania ni mkoa mpya upi kati ya ifuatayo ambao uko vizuri kimaendeleo au kiuchumi?
1. Simiyu
2. Geita
3. Songwe
4. Manyara
5. Katavi
6. Njombe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.