Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Najua habari hii imewauma sana makamanda ninawafahamu wa JWTZ! Najua habari hii imemuua sana kamanda Luteni Generali Mstaafu Mwakibolwa. Najua habari hii imemsononesha sana General Mstaafu Davis...
39 Reactions
779 Replies
28K Views
Naibu Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe.Judith Kapinga ameahidi kutoa kompyuta 139 katika Shule za Msingi 139 zilizopo Halmashauri ya wilaya ya Mbinga...
1 Reactions
2 Replies
210 Views
Wakati CHADEMA ikikomaa na NO REFORM, NO ELECTION, ACT WAZALENDO nao wamekuja na mpya kususia vikao vya umoja wa vyama vya siasa kwa madai kama ya CHADEMA. CCM wao wako busy kubuni mbinu za...
1 Reactions
9 Replies
165 Views
  • Redirect
Naaam! Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza kwa Akili yangu Timamu kabisa na kwa Moyo mkunjufu bila kificho naunga mkono kauli ya Muheshimiwa Waziri mkuu Kasimu Majaliawa Kuwa vijana waliomaliza...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu Mawaziri George Simbachawene (Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) na Prof. Adolf Mkenda (Elimu, Sayansi na Teknolojia) wamekutana na viongozi wa Chama cha Walimu...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakuu, Tunaendelea kuangalia meno ya TAKUKURU na msajili wa vyama vya siasa! Pia soma: Pre GE2025 - Hizi ndizo zawadi, misaada na michango iliyotolewa na Rais Samia tangu aingie Ikulu. Ni...
1 Reactions
11 Replies
247 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, amewataka wanachama wa chama hicho kutokata tamaa au kununa pale wanaposhindwa kwenye kura za maoni...
0 Reactions
1 Replies
82 Views
Leo, tarehe 15 Machi 2025, Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Lindi umefanya uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa mkoa, ambapo wagombea watatu walijitokeza kugombea nafasi hiyo. Wagombea hao...
0 Reactions
2 Replies
97 Views
Msafara wa Waziri Mkuu wiki hii hapa Iringa umekuwa si wa kawaida. Si wa kawaida kwa kuwa tumezoea viongozi wa kitaifa wakianza Ziara kwa Mkoa fulani, huifanya yote mpaka imalizike. Lakini...
76 Reactions
409 Replies
63K Views
Ndugu zangu, nimesoma sehemu mhandishi huyu wa dawasa akidanganya. Pamoja na mvua zinazonyesha dsm kuna maeneo hakuna maji ikiwa ni pamoja na kinyerezi. Ndg waandishi wa habari popote pale...
1 Reactions
18 Replies
250 Views
Wakuu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu William Lukuvi ameitaka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu kuandaa Daftari la Faida litakaloonesha kazi na shughuli za...
2 Reactions
30 Replies
689 Views
Changia CHADEMA TONE TONE. Nimo, umo, tumo Tone tone Changia Chadema, 0744446969 Chadema HQ
11 Reactions
34 Replies
658 Views
1. Singida hakuna 2. Mbeya hakuna 3. Arusha hakuna 4. Kilimanjaro hakuna
4 Reactions
69 Replies
830 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kinatarajia kujenga chuo maalum cha uongozi na kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano katika eneo la Soga, kwa kutumia fedha...
7 Reactions
63 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Seleman Moshi Kakoso amesema kazi iliyofanywa kwenye daraja hilo lenye urefu wa meta 525 ni kubwa hivyo Wizara ya Ujenzi na Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS)...
2 Reactions
2 Replies
77 Views
Wakuu Mbunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa, ameonyesha moyo wa huruma kwa kusaidia mtoto mdogo kumtwisha dumu la maji kichwani baada ya kumkuta akichota maji. Kupata taarifa na matukio...
6 Reactions
27 Replies
626 Views
Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule maarufu Prof Jay amesema Rais Samia alikuwa kama Mama yake wakati akimshukuru kwa jitihada zake za kumtibia.
3 Reactions
9 Replies
332 Views
  • Redirect
Kufuatia agizo la Mheshimiwa inafaa UDSM wawe campus ya mafunzo ya VETA na si University kama ilivyo sasa
0 Reactions
Replies
Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema wanafunzi wa VETA, ambao leo Machi 15, 2025, wamefanya ukarabati kwenye wodi ya watoto ya Hospitali ya Taifa Muhimbili, ikiwemo...
5 Reactions
20 Replies
378 Views
TAARIFA za kuumwa kwa Mheshimiwa Hussein Bashe zimetangazwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa lakini hadi sasa haijawekwa wazi anaumwa nini na amelazwa hospitali gani ili watanzania wenye nafasi...
4 Reactions
25 Replies
911 Views
Back
Top Bottom