Wakati anaingia madarakani ilionekana kama anakirupuka hivi yaani anafungua nchi.
Wengi tusingeweza kuamini kama angeonesha consistence katika sera yake ya mambo ya nje...yaani kufungua fursa kwa...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba, amesema tayari Serikali imetoa Sh.Bilioni 1.8 kwa ajili kuendelea na ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Muleba, mkoani Kagera...
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mkutano wa wadau mkoani Pwani leo Februari 01, 2025 ambapo ametangaza ratiba ya...
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;
1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe
Na...
Mkoa wa Rukwa ni miongoni mwa Mikoa kongwe hapa nchini, tena ukiwa muhimu sana hasa kwa uzalishaji wa chakula.
Pamoja na hayo, kwa miaka yote hiyo Mkoa huu haukubahatika kuwa na usafiri wa anga...
Copy and paste
Viongozi wengi wa kisiasa huwa wanajitengenezea taswira fulani ktk uongozi wao.
Kwa mfano aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, alijijengea taswira inayofanana kidogo na taswira...
Kugawa Majimbo ya Uchaguzi Nchini Tanzania Maslahi ya Umma au Wanasiasa?
➠Kugawa majimbo ya uchaguzi ni mchakato muhimu katika kuhakikisha uwakilishi sawa na ufanisi katika mifumo ya...
Ni matumaini yangu kuwa mpo salama,kwa upande wangu namshukuru Mungu.
Kwanza kabisa ni-declare interest kwamba mimi ni wa mkoa wa Mara,wilaya ya Serengeti,tarafa ya Ngoreme,kata ya Kenyamonta...
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhani amekishukuru kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa [NEC] kilichoketi Mach 10, 2025 kwa kutoka na kauli mbiu ya KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE...
Hivi karibuni PM ametoa kauli ya ajabu ambayo haitarajiwi kutolewa hata na mjumbe wa nyumba kumi:
Majaliwa anadai kuwa watanzania ambao wamemaliza vyuo vikuu na hawana ajira, wakajiunge na VETA...
Wanabodi, nimeikuta hii kwenye Tovuti ya kituo cha Ubia Kati ya Sekta binafsi na Sekta ya Umma PPPC imenivutia na ni mimi tu kuwaleteeni hii taarifa hapa.
Kafulila anasema ikiwa Taifa...
Kijana kasoma Muhimbili (representing other higher learning Institutes), amepata GPA ya 5. Serikali haiwezi kumwajiri kijana kama huyo, ni sahihi kweli aende VETA asomee udreva?
Nina imani una...
MJADALA HURU WA KITAIFA KUHUSU MRADI WA GESI ASILIA MIMINIKA (LNG) MWAKA 2024
SEKTA NDOGO YA MAFUTA NA GESI
Mabibi na mabwana, wanasiasa, wafanya biashara, wajasiliamali, wanazuoni, wataalam wa...
Gesi asilia ina uhusiano mkubwa na sekta nyingine za uchumi kama vile misitu, kilimo, usafiri, elimu, afya, madini, utalii, biashara, viwanda na nishati. Aidha, shughuli katika sekta ya gesi...
CHADEMA muda huu wanzungumzia kampeni ya Tone tone namna inavyoendelea hadi sasa
Updates...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo...
Wakati kuna vijana wanabubujikwa na machozi ya furaha humu kila siku.... wanajitahidi kwa kila siku kuanzisha nyuzi hadi 5 kutetea matamko na viongozi then nafasi nyeti anaenda pewa BaBu...
Petroli ni moja ya mafuta ambayo huagizwa kutoka katika mataifa ya nje kwa ajili ya kutumiwa katika magari madogo na ya kati.
Mafuta ya petroli ambayo yanaigizwa kutoka mataifa ya nje yanachukua...
Mkurugenzi wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania TIC bwana Gerald Teri amesema sera Bora na nzuri za Uchumi na Biashara zilizoasisiwa na Rais Samia zimefanikisha kuvutia uwekezaji wa mtaji (FDI) wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.