Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

  • Redirect
Ujinga unaanzia hapa...Kwamba Online TVs zote, zimeenda Ikungi siku Moja, zimewahoji hao wavaa kibaraghashia siku Moja, watu wale wale wamehojiwa na Media zilezile . Kituko Sasa, mahojiano...
0 Reactions
Replies
Views
TUKIO la kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa vibaya kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) Absalom Kibanda usiku wa kuamkia Jumatano wiki hii, limechukua sura mpya baada ya mtu aliyejitambulisha...
16 Reactions
279 Replies
21K Views
Wakuu, Juhudi za makusudi zinafanyika kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuripoti mambo ambayo moja kwa moja yanatoa picha ya kufanya viongozi wa upinzani waonekane kuchukiwa na wananchi. Mtu...
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hakuna kipindi Ambacho nimeshuhudia mafundi ujenzi wakiwa Bize mitaani kama awamu hii ya Rais Samia. Muda wote na siku zote unaona mafundi wakiwa katika site mbalimbali...
5 Reactions
47 Replies
705 Views
DKT. NCHEMBA ATETA NA SAUDI FUND SAUDI ARABIA 20 Dec, 2024 Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia...
0 Reactions
11 Replies
311 Views
Wakuu CHADEMA inaonekana kama wako serious sana na huu Uchaguzi Msikilize hapa Mwenyekiti wa BAWACHA Mwanza Hosiana Kusiga: Safu ya uongozi kwa Chama chetu imeshakamilika na tuna uhakika kama...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama...
1 Reactions
18 Replies
875 Views
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amedai kuwa kuna uwepo wa hujuma zinazofanywa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimboni kwake zenye nia ya kuhakikisha hashindi kiti cha ubunge...
5 Reactions
13 Replies
780 Views
  • Redirect
Nijambo la kustaajabu kama karibu nusu ya watumishi wa umma hawafanyi kazi. Pamoja na uhaba wa nguvu kazi ulipo bado kuna nguvu kazi inakula mshahara wa serikali na hawafanyi kazi inavyo takiwa...
3 Reactions
Replies
Views
Mama Lishe maarufu ambaye pia ni Mwanamuziki, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole ameanzisha na kuzindua kampeni maalum inayolenga kuwawezesha Mama Lishe kutumia nishati safi ikiwa kama sehemu ya...
1 Reactions
7 Replies
397 Views
SADC imewataka wanchama wake wote kumuunga mkono mgombea wa anayetoka Madagascar lakini upande Africa Mashariki yupo Raila Odinga. Hapa Tanzania inapigaje ikiwa mwanachama wa jumuiya zote mbili?!
0 Reactions
1 Replies
145 Views
Hii ndio Taarifa ya hivi Punde kutokea Morogoro, Kwamba Mwenyekiti huyo wa Chadema atawapelekea No reform No Election Muda huu wakazi wa Morogoro, akiwa Njiani kuelekea Singida. Usiondoke Jf .
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Maandalizi yamekamilika kwa ajili ya kumpokea Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Tundu Lissu, leo Ijumaa Februari 14, 2025, katika Manispaa ya Morogoro. Lissu...
0 Reactions
2 Replies
283 Views
Ikiwa ni Mungu pekee Ndiye agawaye Mamlaka Kwa watu. Ikiwa ni Mungu pekee ndie anahitaji Mtawala kuyatenda yaliyo mapenzi yake. Katika Dunia hii ambayo Shetani na Mawakala zake wako kwenye vita...
0 Reactions
4 Replies
323 Views
TANZANIA NA SAUDIA ZAINGIA MAKUBALIANO KUDHIBITI UHALIFU Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini hati ya makubaliano na Serikali ya Saudi Arabia makubaliano ambayo yanaenda kugusa...
2 Reactions
49 Replies
1K Views
  • Redirect
https://www.instagram.com/reel/DGDYoxxsvim/?igsh=MWEzdmNjenoyaWIyYQ== Watu mbalimbali waliiiongea na EFM wameshtushwa kusikia leo Lissu anaenda Ikungi baada ya kawatelekeza. Wanauliza familia...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Inaweza kuwa wachezaji Inaweza kuwa wasemaji Inaweza kuwa team mzima itakayo shinda Ila itakuwa bomba sana raia tukihusishwa zaidi kwenye mgao: Tupewe ticket za bure tukamuona triple C akicheza...
1 Reactions
Replies
Views
Wakuu, Kama mnavyojua tumetoka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa tunauchungulia Uchaguzi Mkuu pale Oktoba 2025. Tumeshuhudia karibia na uchaguzi wa serikali hali ya media ilivyokuwa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu, Huu uchawa nyie🤣🤣😂 hivi Samia ashtuki kufanywa kituko kama hivi jamani? Chawa wanazidi kumharibia maskini, soon atakimbia akiwa anabubujikwa machozi ya huzuni. Imagine jinsi Marais...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Back
Top Bottom