Naibu waziri wa maji Andrea Methew amesema baada ya Njalu Silanga kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa wabunge wa CCM mkoa wa Simiyu ambapo utendaji wake ulipelekea Rais Samia kuridhia kutoa bilioni 440...
Great Thinkers.
1..Somemi mpaka.Phd
2. Salini saa 24.hrs
3. Andaeni.michakato sana.
4.Tengenezi.dira hata za miaka 100.
5.Badilisheni.viongozi.muwezavyo.
Yote hayo ni bure kama hatutaacha kuwa...
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake .
Mh Mbowe amelitendea haki Taifa , kwa kuwapika vijana, leo chadema ni Taifa jingine .
Tumeanza kuona ccm inapigwa kama ngoma...
Mgombea Urais 2015, Waziri mstaafu na Mbunge wa CCM Dr Kigwangalla baada ya kumshindwa tajiri Namba 1 Nchini MO Dewji kwenye mkopo wa Pikipiki Sasa ameingia kwenye Ligi na Tajiri Namba 1 duniani...
Katika aina mbalimbali za Udikteta na sifa zake basi nchi ya Tanzania inaangukia katika Udikteta wa chama kama mfano China.
Tanzania haina Udikteta wa mtu mmoja kama Rwanda au Uganda, haina...
Nafarijika sana kuona wazee wakitumika kushauri masuala mbalimbali kwa sababu:
i) Wazee wanatoa maamuzi yaliyotulia
ii) Wazee hawakurupuki kwa sababu wanaongozwa na hekima
iii) Wazee wana uzoefu...
Swali kwa wajukuu zangu wapenzi.
Taifa la wapumbavu linawezaje kujikwamua lenyewe na watu wake kutoka kwa maadui watano, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa?
Pascal Mayalla , Lucas...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)Wilaya ya Dodoma Mjini Godfrey Kimario Leo Feb 13,2025 amekabidhi kadi ya Chama Chake Kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama Cha...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti
Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na...
Unaweza kusema kwambaa Kumeanza kuchangamka;
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Patrick Chandi amekataliwa na wananchi kwenye mkutano wa hadhara licha ya kuwapa hadi shikamoo.
Soma Pia:
Special...
Zile heka heka za Ccm za zamani hatuzioni tena. Zimekufa kibudu.
Zaidi ya Chawa mmoja mmoja ambaye akifanya birthday anaweka bango la Mama kwenye Status yake ya Facebook au Whatsapp hatuoni...
Akitoa Gesi hizo 143 katika kata ya Nyangolo, Malengamakali pamoja na viti 15 na meza Mbili kwa kila kata kwa Niaba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa vijijini Ndugu Constatino Kiwele, Katibu...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuisimamisha Nchi na Afrika Nzima kwa ujumla wake pamoja na nje ya...
Wakuu,
Kwa jinsi mambo yanavyoenda uchawa unaenda kuwa anguko la CCM.
Rais Samia unaweza usiwe na ufahamu mkubwa kupambana na mavitu complex, lakini hata hili dogo la uchawa unaacha mpaka...
Kila nikikaa kuangalia maisha ya mtu mweusi ulimwenguni, moyo unauma na hakuna dalili kuwa mtu mweusi akuja kuishi kwa furaha.
Tatizo lipo kwenye Ubongo wa walio wengi. Sample za kina Nyerere...
Kuna Kila dalili la anguko la uchumi wa Dunia Hadi sasa,Kuna dalili za mabenki kufilisika huko tuendako,je tunaandaliwa kisaikilojia!!?
Au ni Ile mbinu ya jk enzi zile ambayo dokta anaeozea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.