Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

  • Redirect
Djibouti nchi ndogo yenye kambi za kijeshi tena kubwa za mataifa yote makubwa duniani imetwaa uongozi wa AU. Je, hii si is ishara tosha kuwa hawa jamaa bado wanatutawala?
0 Reactions
Replies
Views
Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike.
14 Reactions
300 Replies
24K Views
Ndugu zangu uchaguzi wa Mwenyekiti wa AU unafanyika siku ya Jumamosi na wagombea wa kiti hicho wanatoka nchi za Kenya, Madagascar na Djibouti. Mgombea kutoka Kenya ni Mhe. Raila Amol;o Odinga...
5 Reactions
17 Replies
558 Views
Mfumo wa wengi wape kupitia sanduku la kura ni mfumo wa hovyo samahani kwa kusema hivi. Mfano wa Tanzania wananchi wengi wa Tanzania ni wajinga wajinga huwezi tegemea kundi kubwa la watu wajinga...
1 Reactions
40 Replies
437 Views
  • Redirect
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali Rais Samia ameonekana akitumia ndege mpya ya Rais yenye usajili 5H-ONE aina ya Gulfstream G700, kwa mujibu wa Data ndege hii imeanza kutumika mwezi February...
1 Reactions
Replies
Views
Wakuu, Akiwa anazungumza leo huko Singida, Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, Deogratius Mahinyila amesema kuwa vijana wa CHADEMA watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu haufanyiki Mahinyila amesema kuwa...
1 Reactions
16 Replies
364 Views
Wadau,anayedanganya kwamba CCM itaendelea kushinda uchaguzi kwa kura na siyo mtutu wa bunduki ni yule ambaye huwa anasinzia sinzia kama kuku wa kideri,akizinduka hupayuka payuka hivyo. Kwa...
1 Reactions
2 Replies
160 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mwamba wa kaskazini na kijana jasiri kuwahi kutokea kusini Mwa jangwa la Sahara Mheshimiwa Paul Makonda ameunguruma na kuitikisa Dunia mpaka viunga vya Washington DC...
3 Reactions
28 Replies
693 Views
Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini Rushwa: Imeongezeka. Mikataba ya sirisiri na rushwa kila mahali Haki: Hakuna tume huru ambayo haimtegemei raisi. wizi wa kura kwa kutumia Polisi...
5 Reactions
43 Replies
774 Views
Tangu kuteuliwa kwake kama Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameendelea kuonesha uadilifu, uthabiti na umahiri wa hali ya juu katika usimamizi wa uchumi wa Tanzania. Licha ya juhudi za...
5 Reactions
41 Replies
707 Views
Kiukweli CCM ni lazima ianze kusaka Wapambanaji wapya wa kupambana na Chadema ya Tundu Antipas Lisu Narudia tena CCM ni lazima itafute Vijana Makini tena Waliosoma Shule vizuri na wazalendo wa...
7 Reactions
17 Replies
518 Views
Wakuu, Kama lengo ni kuwatoa wananchi kutoka kutumia kuni na wahamie kwenye nishati safi, picha ya Samia inafanya nini kwenye mitungi hiyo? Picha ya Samia ipo kwenye mitungi sababu yeye ndio...
9 Reactions
188 Replies
6K Views
ndugu zangu ndio tumefikia huku, kumdhalilisha Rais wetu namna hii? Picha ya Rais ni tunu kubwa sana inapaswa kuheshimiwa, iweje iwekwe kwenye mitungi ya gesi? Lengo ni nini hasa?
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Kuna mbinu kali sana za kumkalisha mama wa kizimkazi hapo July 2025, anaweza akatokea akisema kwa sasa naona nipumzike, Hii ni nguvu inayotoka ndani ya chama kuhakikisha hawatawaliwi Tena na...
7 Reactions
18 Replies
703 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akiwa ni mgeni rasmi kwenye mkutano Mkuu Maalum Chama Cha Mapinduzi Jimbo...
0 Reactions
1 Replies
117 Views
Baada ya kuona Wananchi wengi wanaielewa hoja ya Lissu na Chadema kuwa bila kufanya Marekebisho ya Katiba na Sheria za Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka huu, CCM wamechanganyikiwa kiasi...
12 Reactions
21 Replies
928 Views
Wanachama 2370 waliokua ACT Wazalendo wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kiwani kwa miaka 20, Hija Hassan Hija, wamekabidhi kadi za ACT na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) huku akiweka...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
Wakuu, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innnocent Bashungwa amelitaka Jeshi la Magereza kusimamia kikamilifu mpango wa kuwapa ujuzi na mafunzo ya ufundi stadi Wafungwa wanapokuwa Gerezani na...
2 Reactions
14 Replies
347 Views
Mara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Kabila mtoto, Tsishekedi alikuwa na mahaba makubwa kwa Kenya, akaitelekeza Tanzania. Tanzania ni moja kati ya "watu wa kazi" Walioidhibiti amani ya...
1 Reactions
8 Replies
416 Views
Back
Top Bottom