Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

"Napenda nichukue fursa hii kutoa wito kwa ndugu zetu nyote mliopo hapa, wananchi wote, wanaCCM, wapenzi, wakereketwa kuna jambo moja bado hatujalifanya vizuri nalo ni kujitokeza kwenda kuga kura...
0 Reactions
1 Replies
89 Views
"Tumekuja mbele yenu kutoa shukrani kwa wajumbe wa mkutano mkuu kwa uamuzi ule ambao ulikuwa ni wa busara sana, sasa wapo wa vyama vingine ambao kwakweli wao hayawahusu wanaingilia utaratibu wa...
0 Reactions
5 Replies
282 Views
Wakuu, CCM mnapumulia mashine sasa hivi :BearLaugh: :BearLaugh: baada ya mahojiano na vikongwe kumchafua Lissu kubuma sasa mmekuja na matembezi. Yaani mnahangaika, moja haisimami mbili...
4 Reactions
27 Replies
976 Views
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Mwalimu amewahimiza wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, ili kuhakikisha...
0 Reactions
3 Replies
163 Views
Wananchi wameishaikataa CCM na Rais, ushahidi kidogo Tu WA wazi huu hapa: Hakika Viongozi wa CCM Mkoa wa Mara hususani Tarime wanapitia wakati mgumu sana. Huyu anaitwa Patrick Chandi ni...
13 Reactions
29 Replies
930 Views
"Nimekuja kutoa shukrani kwa kuteuliwa kuwa mgombea pekee wale waliokuwa wanadhani wana nafasi basi watambue hawana wasubiri 2030 ndio waje" Dkt Mwinyi ameyasema hayo wakati wa hafla ya Mapokezi...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
ACT Wazalendo tunapinga vikali kauli iliyotolewa jana Februari 14, 2025 na Waziri wa Ujenzi, Ndg. Abdallah Ulega, akipendekeza kuwekwa utaratibu wa kulipia matumizi ya barabara ya mwendokasi kwa...
2 Reactions
0 Replies
267 Views
"Nampongeza mbunge wangu Njalu Silanga anafanya kzi nzuri sana. Mh. Rais ananifahamu vizuri mimi ni mwanaye nikisema kitu hakina longolongo, Waziri Mkuu nakutuma kwa Mh. Rais mimi mwanaye namuomba...
0 Reactions
3 Replies
286 Views
Huyu Mch ameshakula pesa ya Samia. Sasa bili analipaje iwapo haongei?
0 Reactions
21 Replies
510 Views
Mbunge wa Jimbo la Itilima, Njalu Daudi Silanga, ameweka wazi mafanikio makubwa ya maendeleo katika wilaya hiyo, akieleza kuwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya uongozi wa Rais Dkt...
0 Reactions
3 Replies
137 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ajibu sakata la Bandari ya Bagamoyo. Asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji Soma: Ubalozi Wa Saudi Arabia...
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Rais wa M23: Mwanamapinduzi wa Kivuli au Jinamizi la Congo? Katika vilima vya Kivu, ambako mawingu mazito hushuka kila alfajiri, jina moja linasikika kama pepo la usiku—Rais wa M23. Hadithi yake...
0 Reactions
3 Replies
175 Views
Toka Jana Mwenyekiti yuko kwenye Harakati zake za kichama. Online TVs zimepigwa Pini, hiii CHADEMA MEDIA mbona Iko nyuma sana ?. Tundu LISSU Kwa Sasa anahitaji kutazamwa LIVE Masaa yote...
1 Reactions
15 Replies
389 Views
Wakuu, Unapambana na mtu kama Lissu, si basi utumie akili hata kidogo isionekane ni muvi ya kutengeza? Yaani wote mnachukua habari ile ile, mtu yule yule na vichwa...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Mbunge wa Itilima amesesema alijiunga CCM baada ya Mzee Manyoni ambaye kwa sasa ni katibu wilaya ya Itilima kugushi saini yake, CCM wanazidi kuuthibitishia umma huwa wanafanya umafia kwenye...
1 Reactions
0 Replies
138 Views
Siasa ni mazungumzo kati ya pande mbili zenye mirengo inayokinzana, kwa lengo la kutafuta masuala kadhaa ya kuwaunganisha pamoja na hivyo kutatua migogoro. Tanzania hakuna vikundi vya watu...
8 Reactions
20 Replies
669 Views
Uongozi ni kalama na zawadi hii anaigawa mwenyezi Mungu pekee. Lissu alitumia nguvu, matusi, kejeli, dhiaka na kila aina ya uchafu ili awe mwenyekiti wa Chadema. Alipata alichokitaka. Amekuwa...
5 Reactions
74 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Omar Athumani Toto, akielezea maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Mhe. Tundu Lissu wilayani Ikungi...
7 Reactions
51 Replies
3K Views
Hii kampeni feki kabla ya Uchaguzi iliyopewa jina la ''Mama Hana Deni'' imekaa kimkakati kuisaidia CCM ambayo ndio inaongoza Serikali kuweza kuonesha miradi mbalimbali ambayo inatekelezwa kwa kodi...
0 Reactions
4 Replies
292 Views
Back
Top Bottom