Ni vema tukaelimishwa Bandari ya Bagamoyo iko wapi
Kama ni ile ya pale karibu na mahakama ni Bora wapewe tu waarabu kwa sababu Wazaramo ni Wavivu waliptukuka
Ila kuanzia Kitopeni, Kiromo...
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.
Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya...
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walikuwa wanafahamu kuhusu uwezo wa viongozi waliochaguliwa ndani ya chama lakini wanachama wa CHADEMA wao...
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, viongozi wastaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameanza kutoa malalamiko yao kuhusu hali ya haki katika mchakato wa uchaguzi ndani ya chama.
Malalamiko...
Uwazi wa mikataba kwa umma, ndipo kilio kilipo, tuingie mikataba safi, ya vipindi vifupi kadri iwezekanavyo, mamlaka zetu kama tra ziweze kufanya kazi yake kwa uhuru, gawio letu lisiwe chini ya...
Hivi nyie vyombo vya habari, nyie sindo CCM ilikua inawafungia ? Na kuwawekea mitozo mingi na migharama mingi kwenye kuanziasha hizo Online TVs ? Mmeshajisahau.
Kesho ni Mkutano Mkubwa wa LISSU...
https://youtu.be/-NdDsArLVlU?si=eH35yrxDVCmdL3QM
➡️Huyu mzee anayesemekana kuwa amefukuzwa uanachama CCM, ni wazi kuwa yuko so determined kuhakikisha kuwa mchakato wa kumpitisha Bi Samia Suluhu...
Katika hili la kumpeleka mpinzani wake Kimataifa zaidi Shujaa Magufuli alifeli
Lakini Rais Ruto amejitahidi sana kumpigania Raila Odinga Kazi imebaki kwa Raila mwenyewe kujipigania Wakati wa...
Ninawaza kwa Sauti ya chini sana nikiwa nakunywa taratibu kiburudisho kisicholewesha.
Ni hivi vijana wengi wa Kitanzania wamekuwa na ndoto au matamanio ya kujiunga na jeshi la JW na hivyo...
Kwa Aina ya wananchi TULIONAYO watanzania wenzetu inahitajika mikakati na mbinu Kali mno ili wakuunge mkono
Moja Kwa hutuba ya kwanza ya mkiti ilipaswa aanze kuelezea maono ya Chadema ya Muda...
Mbunge wa Vwawa (CCM), Japhet Hasunga, amemsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayofanya katika kuleta maendeleo nchini, akisisitiza kuwa ni kiongozi shupavu anayehakikisha Tanzania...
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM), amewataka wanachama wa chama chake kuacha kumwekea fitna ili apate fursa ya kugombea tena ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi...
Kwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni.
Kama...
Wakuu,
Bunge limepitisha nyongeza ya mapato na matumizi ya jumla ya shilingi bilioni 945.7 kwa ajili ya kuongeza kwenye Bajeti ya Serikali ya mwaka 2024/25 kutoka shilingi trilioni 49.346...
Kuna huu mfumo wa kusubiri mtu atoke madarakani ndio tuanze kumkosoa lakini akiwepo madarakani ni kama watu wengi wanakuwa wamepoteza macho na kujifunga akili mfano mzuri ni kipindi cha utawala wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) leo tarehe 14 Februari, 2025 ametembelea eneo la mradi wa ujenzi unaoendelea kwenye viwanja vya Ubalozi...
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya leo amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika nyadhifa za serikali na bodi za kitaifa.
Kwa mujibu wa...
WAWEKEZAJI wakuu katika mradi wa gesi kimiminika (LNG) wahimiza Tanzania iharakishe mchakato, mradi Uanze
https://m.youtube.com/watch?v=29vTb7IfVy4
Katika viunga vya mkutano huo wa Wiki ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.