Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Katika kuonyesha kuwa wao ni mabingwa wa kufoji na kugushi sahihi za watu na fani zao haipotei mwilini wabunge wamefoji sahihi ya pinda na kupeleka vimemo tofauti kwa wabunge wakidai pinda...
0 Reactions
1 Replies
953 Views
Jana nimepata taarifa kupitia vyombo vya habari (Chanel Ten-taarifa ya saa 1jioni na TBC-kwny usiku wa habari), kuhusu mpango wa NEW HABARI CORPORATION kuisaidia familia ya aliyekuwa mhariri...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Inasikitisha kuona viongozi wetu tuliowaamini na kuwaweka madarakani wanashindwa kutumia madaraka na mamlaka waliyopewa kuongoza, inasikitisha kuona kuwa hawapo tayari kutoa taarifa kwa vyombo vya...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Jamani hili bunge letu vipi? yaani full comedy. wameongezewa muda wa maswali na majibu kwenye budget ya wizara ya kilimo kwasababu kuna wachangiaji wengi, wanaishia kupiga kura ya kukataa nyongeza...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Kigogo UVCCM jela miaka 36 Send to a friend Monday, 25 July 2011 21:10 0diggsdigg Joyce Joliga na Kwirinus Mapunda, Singea MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Ruvuma, imemhukumu Mwenyekiti...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukimuona Pichani haya ni magwanda kama wavaao CDM ila tu rangi kijani. Mara nyingi Nnauye na viongozi wengi wa CCM tumewazoea kwenye mashati ya Kitenge na mara nyingi mtindo wa Mandela. Yaelekea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mnisaidiage mie mkweche!Kila sehemu natembea na redio yangu lakini sijasikia kabisa kwenye Bunge hili Swala la uanzishaji wa Mikoa Mipya au Serikali Imesahau!
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Matatizo yanayoikumba nchi kwa sasa mengi yanaletwa na watendaji wabovu wa serikali ya rais Kikwete,wizi wa kutisha kwenye sekta za serikali kama kule UDOM, wizara ya nishati na madini na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanesco yakata tamaa *Yasema hali tete, ratiba ya mgawo yatupwa Na Benjamin Masese Majira SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kuwa hali ya mgawo wa umeme nchini kwa sasa ni tete...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ama kweli chadema chama dume. Sote tumeshuhudia hotuba ya waziri mkuu bungeni aliyotoa pamoja na mambo mengine kuwa serikali iko katika mchakato mkali wa kutayarisha muswada na kupeleka bungeni...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais jakaya mrisho kikwete ndie Rais pekee anayeleta maendeleo yanayoonekana kwa macho katika zote za maendeleo 1. Elimu. ameasisi amejenga kila kata secondari na...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Video:Sheikh Bassalleh awapasha watanganyika | Mzalendo.net
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wataalamu wa umeme nchini (Electical Engineers), na wadau wengine watakutana kujadili ufumbuzi wa kitaalamu wa matatizo ya umeme nchini. Barua ya mwaliko huo inasambaa kwenye internet na mimi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Unapokuwa vitani kuna suala moja ambalo mtu yeyote anayefuatilia mambo ya vita au jeshi analijua. Makamanda na Wapiganaji wote huvaa mavazi yanayofafa bila kujitofautisha. Kuna sababu kubwa mbili...
5 Reactions
69 Replies
15K Views
Siku 21 za Ngeleja: Taifa linaelekea Gizani Rasmi Nashtushwa sana na mbinu za serikali kuendelea kulifanya suala la upatikanaji wa Nishati ya Uhakika ya Umeme kuwa la kisiasa zaidi kuliko kupata...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Dear all of you, It is nearly two days since Norway was hit by the worst atrocity it has seen since the Second World War. On Utøya, and in Oslo. It seems like an eternity. These have been...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Mgeja Tumechoka Siasa zako za Maji Taka, Lini Utaachana na Sitta? Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga unaonyesha kwa jinsi gani upo kwa masilahi ya kundi fulani kutokana na kuendelea kushabikia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
nimejaribu kwa muda mrefu kuangalia ni kwanini wenzetu wa urabuni na nchi nyingine wakaamua maandamano kama ndio njia kuu ya kudai chao, ukiangalia kwa umakini sana utagundua nchi zoote zile zina...
0 Reactions
1 Replies
975 Views
habari wana jf kama kuna thread inahusiana na hii cartoon naomba moderator uiunganishe. mbali na hapo, hii ni nzuri kuanzia kufikiri ni jinsi gani ilivyo vigumu 'kujivua gamba' tofauti na wengi...
0 Reactions
1 Replies
996 Views
THE INSTITUTION OF ENGINEERS TANZANIAMKUTANO WA KUJADILI TATIZO LA UMEME NCHINI TANZANIA:MAHALI: KARIMJEE HALLSIKU/TAREHE: JUMAMOSI, 30/07/2011MUDA: SAA 4 ASUBUHI – SAA 6 MCHANAMADA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom