Wadau leo hii nimepata salary slip ya mwezi July,kamshahara kangu kameongezeka kidogo kwa kama 11.2%.,sasa sifahamu kuwa hili ni ongezeko la kawaida kwa mwaka au ndo lile ongezeko aliloahidi JK na...
Monday, 25 July 2011 21:13
KILA MMOJA ATAMBA CHAMA CHAKE KUCHUKUA JIMBO, CCM YASEMA BADO HAWAJAPANGA
Waandishi wetu
SIKU chache baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda kutangaza kuwa kiti cha...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Ruvuma, imemhukumu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), ambaye pia ni Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi, John Komba, kutumikia...
watanzania tumeshuhudia malumbano na matatizo kibao tangu uchaguzi wa mwaka jana,huu uchaguzi wa igunga ndio wa kwanza tangu uchaguzi mkuu mwaka jana,watanzania wote tuna hamu tujue uwezo wa...
Kwa kweli hali ya maisha imekuwa ngumu sana. Mafuta ya taa shs 2040, petrol shs 2100, dizel shs 2100. Sijaelewa lengo lilikuwa kuwaongezea kipato hawa matajiri au kipi? Mafuta ya taa yalipanda...
na Bakari Kimwanga
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema hadi sasa bado haijapata taarifa kutoka kwa Spika wa Bunge kuhusu kujiuzulu kwa aliyekuwa mbunge wa Igunga, Rostam Aziz (CCM)...
Waungwana, nakumbuka katika lile sakata la rada tuliambiwa ile rada inafanya kazi za usalama, uwanja wa ndege na mambo ya hali ya hewa. Sasa mbona nakuwa kama sielewi? Someni hapa
Hussein Issa...
Kashfa ya kuhonga wabunge iundiwe tume
Tuesday, 19 July 2011 20:48
Mwananchi
TANGU kuibuliwa bungeni mjini Dodoma juzi kwa kashfa inayohusu Wizara ya Nishati na Madini ya kuwahonga...
Mkuu wangu JK, Meli yako inayoitwa Tanzania inaelekea iko kwenye mawimbi ya kati hadi mazito kidogo.
Kwa sisiwadau wako tunaona ni kwa sababu nahodha uliyemuachia usukani ukiwa katika ziara zako...
kufwatia hali mbaya ya uchumi inayolikabili taifa na mtu mmoja mmoja, na sababu kuu ya hali hii mbaya ikiwa ni umeme, namshauri jk azingatie yafwatayo:
1 uvumilivu wa watanzania je utaendelea...
Malawi president calls for calm, 18 dead in protests
BLANTYRE (Reuters) - At least 18 people have been killed in clashes between police and demonstrators during violent nationwide protests...
Ni kweli naamini masele au hata wapambe wake , hata akina Ridhiwan na Bashe waliomtuma aje kugombea halafu akashindwa vibaya naamini mmoja wenu yumo humu kwa kweli huyo ndugu mimi kama...
Katika kile kinachoonekana kama kukosa umakini au kutokuwa na wasaidizi makini...Leo asubuhi mkuu wa kaya JK aligeuka kuwa MC katika sherehe za mashujaa pale Mtwara...JK alifanya kituko hiki pale...
Wananchi Tumevumilia sana,Tumesubiri sana tumeonewa sana ,tumeteseka sana, Yote haya tumefanyiwa na serikali ambayo tunaiweka madarakani kwa matarajio kuwa itatusasidia ila hakuna msaada wowote...
Wanajamvi naona Edward Lowassa kafungua njia kwa wabunge wa CCM kuzidi kumwagika kwa TB Joshua kuombewa.
Leo kupitia Emmanuel TV inayomilikiwa na Synagogue Church la Nigeria nimemuona Mbunge wa...
UTASIKIA HIVI : mbunge ansema hivi Naipongeza serikali kwa kazi nzuri iliyofanya ( mh spika )kuna watu leo wanabeza maendeleo kwa kutafuta umaarufu ; Kisha utamsikia ( Mh spika ) jimboni kwangu...
migogoro mingi ndani ya cdm inayohusu madiwani hasa kwenye halmashauri za majiji ya arusha na mwanza ni kujihami kwa wabunge wa majimbo husika jf imebaini taarifa toka kwa wadau wa karibu mbunge...
Wapenndwa wanaJF, natumaini mnaendelea vizuri na kazi za ujenzi wa taifa na mijadala mbalimbali iliyopamba moto kila kona ya mchi yetu juu ya masuala muhimu ya mustakabali wa taifa kama sio kabali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.