Hii thread siyo ya siasa sana bali ni katika kueleimishana; ninarekebisha jambo mojawapo ambalo haliliweki vizuri miongoni mwetu. Kama kuna anayeweza kunyoosha zaidi maelezo yangu kwa kujaza...
Tumeonelea ni vema tukaurejesha tena mjadala huu kutokana na kuendelea kuyumba kwa usimamizi wa shughuli za kila siku Bungeni na hivyo kupelekea mizozo na kurushiana maneno kwa wabunge mara kwa...
TCRA pale Mawasiliano tower mmekodoa macho mnatazama tu na ninyi mnachekelea, nini athari za segment hii kauzu kuliko dagaa na matusi haya wanayoyaporomosha wasanii hawa wa ZE COMEDY wanaonekana...
Wakuu ningependa nishiriki na nyinyi hii kero kwa kipindi chochote ambacho nimeishi hapa duniani mimi mpaka umri huu hili suala la NISHATI YA UMEME limekuwa linaniumiza nimejiuliza ni kiasi gani...
Mengi vs Rostam NA wengineo. Hivi tumejifunza nini out of this saga kuhusus media ownership na responsibility in Tanzania?
Tuombe kuwa hiii itakuwa balanced view on this saga
naomba hii...
Emergency plant to ease power rationing
By JOHN MBALAMWEZI
Posted Sunday, July 24 2011 at 12:07
THEA EAST AFRICAN
Tanzania has turned to Swedish firm Siemens Energy for industrial gas turbines...
Tangu uongozi mpya wa Bavicha uingie madarakani naona kimya! Au ndo kujipanga? Maana magamba wanazunguka 2 mikoan! Heche vp? Au zilikuwa nguvu za soda! Peoples 2sisubiri mpaka uchaguzi maana...
Sunday, 24 July 2011 05:56
YABAINIKA JAIRO ALIHUSIKA MIAKA MIWILI, KAFULILA AWASHTAKI KWA JK
Neville Meena, Dodoma
Mwananchi
Nishati wafanya ufisadi kwa miaka minne
IMEBAINIKA uchotaji...
Kuna matukio mengi sana yanayofanywa na Rais na baadaye kubanika amekosea na inaelezwa kuwa kuna baadhi ya wasaidizi wake pale ikulu wanamfanya Rais wetu aonekane kituko na pengine kutoa matamshi...
Ameanzisha ugomvi na walioshindana nae kwenye kura za maoni mwanza
sasa akienda mwanza anawatafuta wazee wachache na kujificha nao wanapanga mbinu za kuwamaliza wenzake
alileta hoja ya kijinga...
Mbunge wa Nyamagana, Mhe. Ezekiel Wenje, ambaye pia ni waziri kivuli wa Mambo ya Nje, amemlipua Waziri wa Mambo ya Nje, Mhe. Bernad Membe kuhuhusiana na tuhuma za Wanabalozi wa nje kusaidia vyama...
Ni Waziri Mkuu mwenye huruma na upendo kuliko wote waliopita,amewahi kulia juu ya mauaji ya Albino, ni mtoto wa Mkulima anayejua kijiji na kilimo kwanza nini. Pinda amekaa Ikulu muda mrefu kama...
Napenda kutoa kilio changu kwa waziri wa Ofisi ya Rais, Menejiment ya utumishi wa Uma, juu ya mambo wanayotendewa watumishi walioko katika Halmashauri za wilaya. Huwa sipendi kuropoka na nalisema...
Now talk about maamuzi magumu, swift decision making and no hadithi za kubembelezana kuvuana vyupi na magamba!
43 lives gone, three people fired, kwetu, lazima tuunde tume, kisha kamati, uje...
Ni maswali ambayo sio rahisi kwangu kupata majibu,
Kwamba aliye kuwa katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini alikua ana
Tafuta hela ili awape hongo wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano...
Nchi hii sijui kama itakuja ipate kiongozi mwingine wa ajabu kama tuliye nae sasa.
Hebu fikiria, katikati ya tatizo kubwa la ukosefu wa umeme ambalo kila mtu anashauri tuite janga la kitaifa...
Mnamo mwanzoni mwa miaka ya 1990, Wakati wa kipindi cha vuta nikuvute nchini kuhusu suala la Muungano na Zanzibar kujiunga na OIC, Mwalimu Nyerere alikua akiangalia kwa karbu mwenendo, matendo na...
Yahaha kulibakisha jimbo
na Tamali Vullu
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amemwandikia barua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Lewis Makame, kumjulisha juu ya kuwa...
Press release
July 14, 2010,
Sidon Receives Approval for High-Grade Gold Prospect in Tanzania
VANCOUVER, BRITISH COLUMBIA,
(MARKETWIRE via COMTEX)
Sidon International Resources Corp...
IMEBAINIKA uchotaji wa mamilioni ya fedha katika Idara na taasisi za umma zilizoko chini ya Wizara ya Nishati na Madini kugharamia shughuli zinazohusiana na gharama za bajeti ya wizara hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.