Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
  • Closed
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Isambazwe Mara Moja Alhamis, Julai 21, 2011 KUITISHWA KWA MAANDAMANO YA AMANI NA MKUTANO WA WAZI Mahali: Uwanja wa Mwembeyanga, Temeke, Dar es Salaam Tarehe...
8 Reactions
76 Replies
6K Views
Serikali nzima kitanzini Tuesday, 19 July 2011 21:11 Neville Meena, Dodoma Mwananchi WAKATI umma wa Watanzania ukisubiri hatua zitakazochukuliwa na Rais Jakaya Kikwete dhidi ya Katibu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wajameni mei naomba kusema haya, ile 3% ya nyongeza za mishahara haina tija kwa wafanyakazi na ningeshauri hizo 29 mio. pounds zingeelekezwa katika kuboresha mishahara ya wafanyakazi! maana hiyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Japokuwa Watanzania hawatumii ukabila au dini ya mtu kupima uwezo wake kiakili na maamuzi,ila Watanzania uamini kwenye JADI ya kuwa kuna MAKABILA hapa Tanzania yanaaminika kwa misimamo yao ya kuwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Nape ameahirisha ghafla ziara yake ya Arusha na kuamua kurudi Dodoma
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Kipindi cha medani za siasa na uchumi kitakachorushwa na star tv kesho kuanzia saa nne na nusu asubuhi kitamkutanisha heche mwenyekiti wa bavicha na nape nnauye
0 Reactions
184 Replies
14K Views
Nimerejea wakubwa nikiwa na taarifa ifuatayo: Imetolewa na Premi Kibanga Mwandishi wa habari wa Raisi Msaidizi Ikulu Dar-es-salaam 22/07/2011
2 Reactions
56 Replies
8K Views
Jamani wanajamii mgao wa umeme huku Moshi ni balaa na janga pia. Umeme unakatwa saa moja ahsubuhi unarejeshwa saa tano usiku, bila kujali kuwa ni laini ya hospitali umeme unakatwa jenereta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Matatizo au changamoto? Kama hukuwahi kufuatilia rushwa tuanzie hapa: Nawasilisha. Ripoti ya tume ya Rais kuhusu tatizo la rushwa nchini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajukwaa nimesikia kupitia mapitio ya magazeti kupitia East African Radio kwamba Mh. Lyatonga amemwandikia Spika barua kuwashtaki Wanakamati wake kwamba toka kuanza kwa vikao vinavyoendelea vya...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
SIKU moja baada ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Dk Edward Hoseah, kusema kwamba ofisi yake imekamilisha uchunguzi wa madai ya kumiliki Dola za Marekani 1.2 milioni...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
wanajf kati ya wananchi na serikali ni nani mwenye kuwa na final say kwenye jambo lolote linagusa mambo ya kitaifa mf. Huku kukatika kwa umeme mara kwa mara kunakopelekea bei ya vitu kupanda kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Nipo maswa katika ofisi za Chadema, kwani kuna taarifa kwamba Mbunge wa Maswa Magharibi mkoani Shinyanga, John Shibuda (CHADEMA) ametangaza kukihama Chadema. Nafatilia kwa undani wa habari hizo...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Pamoja na ugunduzi wa mafuta hapa nchi lakina uganda wana amini TANZANIA tunaweza kuwa soko lao la mafuta (refinery) nini kinawapa waganda ujasiri huu? hawana maliasili mafuta kama sisi, ina...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Chadema tunawshukuru wa kupigia kelele ufisadi lakini una kitu kienishangaza . Lakini kuna issue hii ya Nishati imetokea mmekaa kimya au kwa kuwa imeazishwa na magamba basi mnaona si haki...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Nape Nnauye amewapokea wanachama Wapya wa CCM Tawi la SMMUCO Tawi la Tumaini HIMO. Jumla ya wanachama Wapya 193 wamejiunga na CCM na wamefungua Tawi lao...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Ripoti ya Uchaguzi Chadema Ripoti ya Kamati iliyondwa na Chadema kuchunguza maridhiano ya madiwani wake ,CCM na TLP Arusha Mjini, imesema hakuna tuhuma za rushwa katika mchakato huo kama...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Hamna shaka watanzania badowana mapenzi ya dhatikwa raisi mstaafu Mkapa, pamoja na matatizo yake yote katika utawala wake ,alijipambanua kama kiongozi jasiri,sio mnafiki aliyekuwa na vision ya...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Mhitimu mwanzilishi 1961 afunika mahafali UDSM Mwananchi Sunday, 28 November 2010 20:59 Jackson Odoyo CHUO Kikuu cha Dar es Salaam kimeadhimisha mahafali ya 40 kwa staili ya aina yake...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Muungano wa Tanzania kimsingi,ulivunjwa rasmi April 1964, na yule yule muasisi wake Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Na Laila Abdulla Naelewa utashangaa kusikia hivyo. Mara tu baada ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom