Jamani,swali la Nyambari nyangwine leo kwa waziri wa mambo ya nje mi naona ni la kitoto.,eti waziri amtajie ni nchi ngapi zina balozi nchini Tanzania.,sijui mnalionaje
Baadhi ya watanzania hawataki kujifunza kutokana na makosa yao wenyewe. Wanatumia muda mwingi kweli kushabikia nani awe rais badala ya kutumia muda huo na juhudi zao kuwabana viongozi wetu...
Wana JF, Nimekuwa nikiwaza sana namna wenye viwanda na wafanyabiashara mbalimbali nchini walivyo/wanavyoathirika na mgao unaondelea wa umeme.Mambo yafuatayo ni matokeo ya mgao huu kwa wenye...
Mfumo mbovu wa kupata viogozi ndani ya CCM, serikalini na swala la viogozi kutowajibika kwa wananchi umechangia sana kudumaza maendeleo ya nchi hii.
Kinachoshuhudiwa sasa ktk makundi...
DPP amkana Hoseah
ASEMA HAJAPATA JALADA LA CHENGE,
AAMBIWA AKAANGALIE MASJAJA
SIKU moja baada ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah, kusema...
Rushwa inalitafuna Bunge, Spika amebaki mtazamaji
Thursday, 21 July 2011 21:12
Mwananchi
JANA tulichapisha habari zilizoonyesha jinsi tuhuma za rushwa zinazowakabili baadhi ya wabunge...
Katika hali isiyo ya kawaida Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam John Guninita amemshambulia vikali waziri wa ushirikiano Afrika Mashariki Samwel Sitta kwamba anataka kuua chama.
Guninita...
sijajua mwongozo wa bunge kuhusu maswali na majibu bungeni, ninge penda maswali ya papo yaulizwe kwa kila waziri, hapo ndo tungejua uwezo wa mawaziri na utendaji wao wakazi. Kwa mfumo huo tutapata...
Akifananisha chama hicho na utelezi wa mlenda.
Aonya kamati kuu iliyojadili haina ubavu kumtimua.
Atamba wakithubutu hilo wataona cha mtema kuni.
Adai kukataa posho ni sera za chama kilichoshinda...
Kuna baadhi ya mikoa hapa nchini hususan Kagera hasahasa Bukoba hapa mjini, Kyaka Bunazi, Karagwe hawajui kabisaaa kama kuna tatizo la umeme nchini. Wanapoona magazeti yanaandika kuhusu mgao wao...
Spika Makinda anasema kwamba, "Baada ya hotuba ya bajeti kusomwa Bungeni, Bunge haliwezi kuibadilisha kitu." Spika kwa lugha nyingine anasema, Bunge halina kazi ya kufanya, na kwa nini walipwa...
Chama cha mapindizi kimeendelea kufanya yale wengi wanayoyaona kama madudu na kubebana, hii imeonekana zaidi baada ya katibu mkuu jana kumpa likizo tena yenye malipo katibu mkuu wa nishati na...
Kwa mujibu wako mwenyewe, ulisema deadline ni leo saa saba mchana, kwa madiwani wa arusha wawe wametoa taarifa za kujiuzulu, tunakusubiri wewe mzee rais kivuli wa tanzania!
Mjumbe wa Barala la Utekelezaji la UVCCM, Hussein Bashe amekiri waziwazi kuwa CCM isipokuwa makini uchaguzi wa mwaka 2015 ukimalizika, utakiacha kikiwa chama cha upinzani na si chama tawala...
Baada ya aliye kuwa mbunge wa Igunga, bwana Rostam Aziz kujiuzulu nafasi hiyo je ni wagombea wapi ambao wanaweza kupitishwa na vyama vyao kugombea huko? Tetesi nilizo sikia ni kwamba RA...
Hivi ni mimi ndio naona vibaya au ni kweli kwamba CCM hawaoni kwamba MAKUNDI yao yanakwenda kukiua chama? Ni kweli kwamba they are all blind? Au ndo ile gundi ya kichina iliyowaunganisha imeanza...
Kama kiongozi wa shughuli za kiserikali bungeni na kama kiongozi katika baraza la mawaziri na vilevile mtendaji mkuu wa serikali sioni sababu ya yeye kuendelea kuwepo katika hiyo nafasi wakati...
Zaidi ya asilimia 50% ya watu waishio vijijini hawana huduma ya maji, ikiwa asilimia 8O% ya watanzania ndio inakadiriwa kuwa wanaishi maeneo ya vijijini. Kwa mujibu tafiti zilizofanywa na wizara...
Ukifatilia sakata la Katibu Mkuu wa Nishati na Madini, ni wazi kuwa hatua zoote hizi zilizochukuliwa ni za kumpunguza presha ili asife kihoro lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa atakaa nje ya post...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.