wanajukwaa naomba tujadili juu ya athari ya vita ya uganda maana waliokuwa vijana wakati vita vinapiganwa kati ya nchi yetu na idi amini wa uganda waliozaliwa mwaka 1955 hadi 1975 kwa kweli mtaji...
Huu ndio mguso wa fikra zangu kwa leo!kiukweli ni chama pekee ambacho kwa sasa kimeonyesha kupendwa na wananchi wengi hasa hasa vijana na hii ni kwa sababu ya ujasiri na uwazi wa viongozi wake...
Wanaforum, watu wameshamwaga mboga sasa wakati wa kumwaga ugali ugali umefika. Kama tujuavyo Hosea ameahidi Chenge kupelekwa mahakamani baada ya DPP kukamilisha mchakato wa file. sipati picha...
wanajanvi naomba mnipe tafsiri ya hili suala la kusinzia bungeni kwa wabunge wa Chama cha Magamba...sijawahi kuona mbunge wa upinzani zaidi ya Mzee wtu mrema akisinzia inamaana wabunge wa upinzani...
Gazeti moja la kila siku liliwahi kuandika kuwa moja ya sababu zilizopelekea kumwengua Mhe. Hamdi Rashidi kwenye nafasi yake ya kuwa Kiongozi wa wabunge wa CUF bungeni ni ukaribu wake na Mhe...
Wakuu nilimwona huyu jamaa TBC akijitetea na kukataa kujiuzulu unaibu Meya wa Arusha nikashangaa kweli kweli. Maswali hakaja mengi mengi kihivi.
1. Hivi huo udiwani si aliupata kwa sababu...
Rais kikwete anasalitiwa na watendaji wake: Zaidi ya asilimia 50% ya watu waishio vijijini hawana huduma ya maji, ikiwa asilimia 8O% ya watanzania ndio inakadiriwa kuwa wanaishi maeneo ya...
Nimekuwa nikijiuliza sana Mhe. Malla alikuwa na maana gani alipofananisha mgogoro wa Madiwani na mtoto wa shule aliyerudi nyumbani na mimba kwamba mzazi hawezi kumfukuza. Anataka kutuambia yeye na...
Barua ya Jairo hii hapa:
Contribution towards finalisation of preparations and tabling of the ministry's 2011/12 budget in Parliament in Dodoma.
The ministry has successfully prepared the 2011/12...
Wandugu, ni mawazo tu, mi nafikiri tatizo litakaloiua CCM si ufisadi bali ni makamanda feki wa kupinga ufisadi, kisa uwaziri mkuu machungu yakazidishwa na uspika. vita vya panzi na furaha ya...
WANA JF,
Nimefungulia BBC nikakuta JK akihojiwa kuhusu hali ya Umeme nchini. Nilichobahatika kumsikia ni kuwa haiwezekani kutatua tatizo la mgao ndani ya mwezi..tatizo kubwa ni upungufu wa maji ...
Watu waishio kwa chini ya dola 1 kwa siku ndio husemekana maskini sana. Hii nimeisikia tangu dola 1 ikiwa sawa na shilingi 800. Leo hii dola 1 ni sawa na sh 1600, je kuishi chini ya dola 1 bado ni...
CDM ni chama kilichotengeneza fursa nyingi sana tangu kuanzishwa kwake. Lakini fursa nyingi zaidi zilitengenezwa kipindi cha 2005-2010 na wengi walitegemea msumari wa mwisho kwenye jeneza la CCM...
BLANTYRE--Four private radio stations were taken off-air for several hours Thursday for what the Malawi Communications Authority (MACRA) said was inflaming people to rise against government.This...
Ndungu wanajavyi wenzangu nimeona niwajuze hii habari ili mjue linaloendelea kwa walimu wa secondari wa halimashauri ya wilaya ya ileje,nimesukumwa kuandika habari hii kutokana na kauri ya waziri...
Natokea Igunga kuelekea Dodoma. Gari yetu, kama nyingine zote inasimamishwa katika 'diversion' na gari ya polisi wenye mitutu wazi. Gari yao inatupita kasi na nyuma yake kuna shangingi jeupe nalo...
hili ndilo jiji ambalo limekuwa likiongoza kwa usafi miongoni mwa majiji yote hapa nchini kwa miaka
kadhaa mfurulizo
.
Na hapa ni mtaa maarufu wa makoroboi ambapo wananzengo (wananchi) wakifanya...
Na. M. M. Mwanakijiji
KLH News
Daima Macho Hatulali mpaka kijulikane!
Jengo jipya la Bunge Dodoma!
Bunge letu limetukanwa hadharani. Nilisubiri kwa hamu kuona kama kuna mwandishi...
Wadau mnaofahamu kuhusu lile sakata la kutaka kuuawa kwa mbunge wetu wa zamani wa busega, mheshimiwa dr raphael masunga chegeni tunaomba mtujuze hilo sakata na suala zima la waliotaka kumuua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.