Mlinganisho wowote kati ya mwanamke na mwanaume kwa pamoja kwa kuzingatia vigezo vyenye mizani sawa alwayz mwanaume atashinda tu. Hebu tuangalie mifano halisi katika nchi yetu mambo yanavyoenda...
Mbunge wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge
SAKATA la kumiliki dola 1.2 milioni za Kimarekani (zaidi ya Sh1.2bilioni) katika kisiwa cha Jersey, Uingereza, linalomkabili mbunge wa Bariadi Magharibi...
Mungu ametupa upendeleo wa kuwa na ardhi nzuri,miti,maziwa bahari ,wanyama ,samaki,ndege,madini,gas ,mafuta,binaadamu,wadudu nk.wakati wazungu wateseka na barafu,matetemeko,vimbunga ,lakini...
Frank Kimboy
20 July 2011
Dodoma - An MP expects to table a private motion in the October Bunge session to block extraction of uranium in the country.
Mr Tindu Lissu, the Singida East MP (Chama...
By In2EastAfrica - Wed Jul 20, 11:18 pm
Mwanaidi Maajar, Tanzania's Ambassador to the US
Despite efforts being taken by Tanzania to fight corruption, a number of international investors...
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, ameomba kupatiwa mshumaa bungeni ili aweze kuendelea kuhitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake. Hatua hiyo imetokana na umeme...
Naamini wakati mgumu tunaopitia Watanzania ni anguko kubwa la serikali ya rais Kikwete, rais amesahau mambo muhimu ya Watanzania badala yake anakaa kimya na kulinda maslai ya wachache kama kina...
na Tamali Vullu, Dodoma
MBUNGE wa Wawi, Hamad Rashid (CUF), amemshtaki Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kwa kumkejeli...
It's obvious that Tanzania has been invaded by leaders who do not have vision,very selfish,can not manage changes, not able to mobilize resources,can not develop other leaders and always hesitate...
Maswali anayouliza kwa waziri Mkuu hayana mbele wala nyuma na anarudia kikosi kazi cha umeme kila siku hana ubunifu, ni dikteta kwa kumsikiliza lema ili madiwani Arusha wafukuzwe, naanza kuuona...
Mradi wa gesi ya Songo-songo unajulikana zaidi kama “Songas” - ambao unamilikiwa na kuendeshwa na kampuni ijulikanayo kama Pan African ni wa kijinga na hauna maslahi yoyote kwa mtanzania kwanini...
Tulianza pamoja, na tutamaliza pamoja.
Nakumbuka wakati tunafanya sherehe ya kujipongeza kwa ushindi wa Jimbo la ubungo, tulimwambie kamanda huyu kuwa tunakutuma bungeni ukawe mbunge wa mfano...
Taasisi ya Ustawi wa Jamii ipo katika hali mbaya sana kutokana na menejimenti mbovu na uongozi mbovu wa serikali ya wanafunzi.
Wahadhiri wa Taasisi hiyo wapo katika mgomo toka Jumatatu...
Abdallah Bakari
20 July 2011
Mtwara - Four international companies have declared interests to invest in gas and oil exploration in Mtwara Region, it was announced here on Tuesday.
Briefing the...
Naomba mawazo yenu juu ya mada hii! Ninamaanisha nani angetoa maamuzi magumu kati ya lOWASA VS MTOTO WA MKULIMA (PINDA)
Kwa mtazamo wangu Lowasa angemtimua mbele ya bunge then waje wamalizane na...
Nashindwa kuelewa Pinda anaposema eti Hadi Mkwe.le arud ndo ataamua nini cha kumfanya Jairo.
My Concern:
Hiv nini Kazi ya Dr. Bilal pale Mkwel.e anapokuwa Nje Kutalii na kuhudhuria Vipa Imara...
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) na Mbunge wa Viti Maalumu, Mary Chatanda (CCM) jana walilumbana bungeni kuhusu mauaji yaliyotokea mkoani Arusha, huku Lema akimtuhumu mwenzake...
Hii ni homerowk unaweza kufanya kama classwork
Tanzania ina wizara ngapi?
Kila wizara ina wastani wa Idara ngapi. Watsani?
Kila idara ya wizara x ya serikali ikichangia milioni 50...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.