Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
wakuu, nimeletewa hii kitu hebu isomeni kwa makini na haswa kuhusu maneno yaliyotumiwa na hawa viongozi halafu fanya tafakuri ya kina nini kinaendelea ndani ya CCM na taifa kwa ujumla , pia hili...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hali hii ya mgawo wa umeme sasa ni tata sana. Watu wanalalamikia hali hii. Tujuavyo sisi wa TZ ni watu tunaoongozwa na matukio. Tukio linakuja linaisha hakuna kinachoendelea katika eneo la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepata taarifa kuwa jana mahabusu wa hapa magereza ya Arusha walishindwa kufikishwa mahakamani baada ya karandinga kukosa mafuta..hali hiyo ilipelekea valangati kubwa huko magereza, mahabusu...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Wenzetu Waliochoka na unyanyasaji. Utulivu siyo Amani.........Kikwete Ujumbe ni wako, you are next http://youtu.be/n81cs8VHd1I http://youtu.be/BiWd8NjhsHo
0 Reactions
1 Replies
721 Views
India is trying to be China and it is not ! they thinks that a few nice words from America make it a real player on the world stage but the reality is that it has to sort out its own extreme...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau hivi sasa PM anaulizwa maswali lakini hataki kupokea ushauri wa kiongozi wa upinzani bungeni kuhusu umeme na kasema upinzani wasubili serikali iendelee na utaratibu wake wa kuwapatia umeme...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
spika anadai anasubiri barua kutoka kwa chama ili aweze kutambua kujiuzulu kwa Rostam na kwamba barua ya rostam pekee haitoshi kutangaza kuthibitisha kujiuzuru kwake. lakini kwenye miaka ya 90...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
British firm urged to pay Tanzania Sh4.2bn British MPs have demanded that BAE Systems pay the Tanzanian government £29.5m (TSh73.8billion, Ksh4.2bn) in full and immediately – or face legal...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Any foreign investment policy must attach three strings that a foreign investor should bring to Tanzania and these are; it must boost the economy of the country and that of the local community of...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
...angalia walichoanza kukifanya jana! \usipochukua hatua sahihi SASA utakuja kuabika na utajuta hata kuwa rais wa nchi hii. UNAWEZA KUWADANGANYA BAADHI YA WATU MUDA WOTE, LAKINI HUWEZI...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
NDUGU ZANGU, HILI SUALA MNALIONAJE MAANA NAONA SASA “LOBBYING” INACHUKUA PICHA TOFAUTI KABISA KATIKA NCHI YETU. GHAFLA INAYO ANDALIWA NA VODACOM KUHUDHURIWA NA WAZIRI MKUU...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimekuja kuona na kutafakari kwa kina sana kuhusiana na wabunge wetu wooote pale bungeni kumbe ni watoto wa mjini, nasema ni watoto wa mjini nikiwa na maana ni watu ambao wameishi mijini na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanzania tumegubikwa na tamaduni ya kukurupuka na kuendeshwa na matukio siku zote, rais ambaye ni mtulivu ambaye anajua kupanga ni kuchagua huwa asilani hana papara rais amekuwa akitumia muda...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kumbe tatizo la Mtera tulijitakia wenyewe. SOma kwa makini taarifa ya engineer huu anayesema kuwa watanzania hatutaki kuisoma master plan ya bwawa la Mtera.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
chanzo tbc wananchi wanaandamana kuipinga serekali watu tisa wamefariki majeruhi kibao ccm stand up!!
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani wapendwa naomba mnisaidie, hivo ni kweli mgao wa umeme uko sawa kwa sawa? Mbona nimesikia kwamba haijawahi kutokea umeme ukakatwa Ikulu ya Rais na ya Waziri Mkuu? Kama na wao wangekatiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naona kampa za uso Mbunge mmoja wa Magamba(viti maalum Tanga) hapohapo. Kaomba taarifa na kampa za uso kwa kumwambia ukweli kwamba hamna muafaka wowote uliofikiwa huko Arusha na kama yeye anaota...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Makinda: Ministry should name beneficiaries of fund By Daniel Msangya The Citizen CorrespondentDodoma. The government should name companies that benefited from the Sh1.7 trillion economic stimulus...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kashfa kubwa ya kuibuliwa kwa rushwa bungeni inayomhusu Katibu Mkuu wa Serikali Jairo, pamoja na wabunge wa CCM kuifichua na kumtaka aachie ngazi jambo ambalo limesababisha hata makadirio ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maharamia wa kisomali wamesababisha gharama za maisha Tanzania kupanda sana sababu gharama za kusafirisha mizigo kwa meli kuja bandari ya Dar es salaam zimepanda sababu ya wenye meli kuongeza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom