ASKARI wa Hifadhi ya Taifa ya Katavi wilayani Mpanda Mkoa wa Rukwa, wanalishikilia gari la Manispaa ya Kigoma Ujiji, baada ya kulikamata likiwa na meno matatu ya tembo yenye uzito wa kilo tisa...
Ndugu zangu naweka mezani experince ndogo tu ya matatizo ya mgao. suala kati ya giza na mwanga kipi bora nakiweka pembeni kwani hicho tunaelekea kukizoea.
Kuna ka ujenzi kanafanyika, na ninatoa...
African Barrick Gold plc (ABG) has appointed Juma Mwapachu as one of its non-executive directors with effect from last Thursday.
Hongera Mzee wetu, you did a great job as secretary general of...
PM kaulizwa kwanini Rais anapokuwa nje ya nchi anamwachia mamlaka Makamu wa Rais, naye kama hayupo ulingo unaachwa kwa PM, sasa hili suala la Kumuondoa madarakani Jairo KM imekuaje linasuasua...
*Wataka majina waliochukua mabilioni kufufua uchumi
Na Gladness Mboma, Dodoma
SPIKA wa Bunge, Bi. Anne Makinda amemtaka Waziri wa Fedha na Uchumi, Bw. Mustafa Mkulo kuyataja bungeni kampuni 97...
HONGERA MEMBE AND MP NDUGAI
NAONA KAZI YA WANAJAMII FORUMS IMEGONGA MWAMBA
MPs have demanded that BAE Systems pay the Tanzanian government £29.5m in full and immediately - or face further legal...
MGOGORO WA MUUGANO: KATIKA HISTORIAMoja ya mambo yanayotikisa hali ya hatima ya taifa letu ambalo kwa muda limepatiwa jina la kisiwa cha amani hivi sasa ni swala la Muungano. Nimekuwa...
Malawi riots spread to major cities after troops clash with protesters Violence erupts in Lilongwe and Blantyre as army and police try to halt anti-government demonstrations
Malawi in...
Ndugu wana JF, Wanachadema wajipange vizuri suala la Arusha. Kama madiwani wanataka ushahidi. Mimi binafsi nafikiri Chama kama Chama Dr Slaa na Marando pamoja na Mbowe wakae chini na kuongea na...
Hata kama si mshabiki wa Chadema sisi tulio nje tunaona mabadiliko makubwa ya nchi yetu. Nchi yetu inabadilika kwa uzuri na hata chama tawala cha CCM kinabadilika!!. Hili ni swala muhimu sana...
Kamati kuu ya cdm imewataka madiwani wake waliochaguliwa kushika nyadhifa kwenye kamati mbalimbali za halmashauri ya jiji akiwemo nafasi ya unaibu meya kujiuzulu mara moja. Kamati ilibaini muafaka...
Tangu lini Fisadi Mgonja amekuwa ni Signatory wa Ikulu?
State House blessing of `illegal` TICTS contract:Ikulu letter signed by Treasury PS Mgonja
-Karamagi thus let off the hook in sensational...
Kesho kutwa kutakuwa na hotuba ya mambo ya nje , kwa niaba ya mhe,Wenje waziri kivuli , anaomba kupata maoni ya watanzania muishio nje ya nchi kuhusu matatizo ya balozi zetu mbalimbali .
tumeni...
Heshima Kwenu wote!
Kwa imani niliyonayo humu ndiko kuna waungwana na wazalendo wengi zaidi,
Katika kupitia gazeti la mwananchi nimekutana na habari hii hapa chini na ikanigusa sana nikafikiria...
Wadau mliowahi kusoma Taqwa secondary Mwanza miaka hiyo ya kuanzia 90's mnalolote la kujikumbusha leo...??
Mimi mwenyewe binafsi nakumbuka kuwa tulikuwa tunakunywa ubwabwa uji wakati wa mapumziko...
Habari wana Jf, kuna ambaye anaweza kututhibitishia hili la kujiudhulu kwa huyu jamaa? kama ni kweli anatakiwa afikishwe mahakamani.....
Source: Mjengwa blog.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.