Nashindwa kuelewa kwamba Ephrahim Kibonde ana cheo gani ndani ya CCM? Kwa maana kila wanachokisema CHADEMA yeye ndo wa kwanza redioni kukipinga sipokuwa mada za ZITTO. Naombeni mnijuze kwamna...
Je baada ya kufilisiwa itapelekwa wapi, na je vipi kuhusu zile 10MW inazozalisha sasa?
Mahakama yaamuru IPTL ifilisiwe
MAHAKAMA Kuu Tanzania imetoa amri ya kuifilisi Kampuni ya Independent...
Hivi kuna haja gani ya Amani kama maisha yapo kama ya Tumbili.Nchi ambazo zimepigana vita mpaka majuzi,kimaendeleo zimeshatupiga bao.e.g Rwanda.Tena hadi ela yao ina thanani kuliko madafu...
Leo hebu tujikumbushe, kwa wale ambao mlikuwepo enzi hizo za wabunge wakiitwa ndugu.
Hawa wabunge walikuwa wakivaa zile shati za Chuo en Lai ama Kaunda suit.
Wabunge hawa muda mwingi walikuwa...
Wapambanaji natumaini hasira za Jairogate zinapungua sasa. Hivyo naomba sasa mtulie mnipe Mwongozo wa kikatiba na kikanuni kuhusu bajeti ya serikali kwa muktadha wa bajeti ya Nishat na MadiniKwa...
Si watanzania tunakumbuka takriban miaka miwili imepita tangia Njereja alipomfukuzisha kazi messenge wa kibanda cha ITM. Alimjibu kinyama na kumuuliza"unajua unaongea na nani hapa? Halafu kwa...
Dk. Slaa: Baraza la Mawaziri livunjwe
Amshangaa Rais Kikwete kuendelea na ziara nje
na Waandishi wetu, Dodoma na Dar
Tanzania Daima
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
Ni ukweli usiopinginga ,Tanzania inaongoza duniani kukusanya revenue kutoka katika zambi za rushwa. Maana wanasiasa wetu hawaogopi na wala hawana heshima kwa vyombo vyetu vya dola na sheria...
In addition, no return. Ni dawa pekee kwani haiwezekani kabisa kutatua matatizo na mkenge waliotuingiza wao na kupata viable solution kwa kutumia akili hizohizo za kwao.
Bora wapotelee hukoooo!
Hood Bus servirce kutoka Iringa limegongana na Fuso eneo la mikumi na kuwaka moto. Inasemekana ajaali hiyo imesababishwa na watu wanaochoma moto kandokando ya barabara kwa lengo la kuweka...
Kutokana na presentation ya SONGO SONGO LONDON wiki mbili zilizopita, inaonekana kuwa jamaa wa Songo songo wanaweza kusupply umeme Tanzania nzima na kuuza mwingine Kenya
Sasa kwa nini wabunge...
Akihojiwa na Ali Mutasa wa BBC huko Afrika ya Kusini leo asubuhi, JK amejaribu kueleza kile kinachomfanya asikae kitako nchini kwake kama marais wengine na badala yake kuwa kiguu na njia akipiga...
Hi,
Nimesukumwa na mabadiliko,
Maoni yangu ni
Kila mmoja popote alipo awashawishi waliomzunguka tufanye mabadiliko kuanzia kwa mjumbe wa nyumba kumi mpaka juu wawe chama pinzani.
Tukipanga...
Ile kampuni ya BAYPORT inayoibia walimu imetinga tena bungeni ni mbunge wa kasulu anauliza wataacha lini kuwaibia walimu? Waziri anadai mwisho wa makato ni 1/3. Bahat mbaya umeme umekatika wenye...
Tanzania Imekuwa nchi ya kwanza duniani kwa RUSHWA kuhonga hadi chombo cha kutunga sheria za nchi. Tumevuja record hii mwaka huu kuwa nchi ya kwanza kwa kutaka kulihonga BUNGE letu tukufu ili...
Wanajamvi:
Yumkini baada ya msururu wa mambo ya hovyo dhidi ya serikali ya chama cha magamba bila majibu, na hoja nzito dhidi yao, wanamagamba wenyewe na/au watetezi wao humu JF wameanza...
Naipongeza serikali kwa kupandisha posho angalao kufikia 7,500. Lakini ukweli wakati walipoanza kulipa shs 5000 ilikuwa inatosha maana chakula, nauli, vyumba na gharama nyingine za maisha zilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.