Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
habari zenu great thinkers! Nataka 2jadili hili suala la kukataa posho! Me kwa upande wangu nimeona CDM wako sawa ila tatizo ni kuwa zile hela walishatengewa wao kwa ajili ya posho zao. Tatizo...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Benjamin Mkapa aingizwa EPA Na Saed Kubenea - Imechapwa 13 July 2011 SIRI imefichuka. Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kupelekewa ombi la kuingilia kati Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ana siri nzito kuhusu hatima ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini David Jairo baada ya jana kusema kuwa Rais Jakaya Kikwete amempa maelekezo mapya kuhusu suala...
1 Reactions
126 Replies
10K Views
Binafsi nilikuwa msitari wa mbele katika kapeni zako katika uchaguzi mkuu uliopita, ulipochakachuliwa watu tulitaharuki,kimsingi tulikosa raha wapiganaji wote, lakini ulivyo na kipaji cha kuongea...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimekuwa nafuatilia bunge mara nyingi ila sijawahi kuona spika wa bunge akisimamia mambo muhimu amwagiza naibu waziri kwenda kutafuta majibu kwani alitoa majibu ambayo hatoshelezi! Ni muda...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Tuesday, 19 July 2011 Neville Meena, Dodoma WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja amesema kwamba hawezi kujiuzulu kwa tatizo la bajeti yake kukwama bungeni akisema tatizo la umeme si lake...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ukiona mpaka huyu mzee anabeba bango ujue kuwa keshachoka SITAKI mwandishi wa habari anayeficha habari. Huyu ni rafiki yetu wa siku nyingi, Said Nguba ambaye amekuwa mwandishi wa habari wa Waziri...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Dhana hii imeshika mizizi ndani ya chama cha mapinduzi, ndani ya serikali, ndani ya bunge, ndani ya baraza la mawaziri, ndani ya familia za walio kwenye vyombo hivyo, ndugu, jamaa na marafiki zao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Benjamin Mkapa aingizwa EPA Na Saed Kubenea - Imechapwa 13 July 2011 SIRI imefichuka. Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kupelekewa ombi la kuingilia kati Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wednesday, July 20, 2011, 6:40 Habari kuu, Mtanzania *Adaiwa kuwafananisha wabunge na The Comedy *Wabunge wa CCM wachachamaa, wataka ang'olewe *Shelukindo aeleza...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Soma hiyo mh makamba .j akiwa anahojiana na mwandishi mmoja bw derrick na kuweka wazi tatizo lilitufikisha hapa na ukweli halisi nini cha kufanya kwa maoni yake unahisi tutaweza tatua mgao wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna uwezekano mkubwa Mh. Ngeleja akawa aidha hajui anachokifanya au anajidai yeye ana akili sana kuliko wa TZ wote. Kila mtanzania aliyekuwa anaangalia Bunge live jana saa 11:00 -11:15 wakati...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Both are rags Both hacked people's private voice messages One is led by global media mogul The other is led by a school leaver who has no idea what Lancaster agreement is let alone read any...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
David Jairo kaamua kuachia ngazi
4 Reactions
70 Replies
6K Views
Ndugu zangu watanzania wenzangu hali ilivyo hapa ndani sio ilivyo nchi za pembezoni na hata europe ambako wawekezaji wengi wameonyesha waziwazi kukata tamaa ya kuja kuwekeza na hata ambao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vita vya ujinga: Dhana iliopotoshwa VITA VYA UJINGA: DHANA ILIYOPOTOSHWAKwa muda mrefu hapa nchini nasehemu zingine za Afrika kumekua na dhana ya vita vya kupamba na ‘Ujinga’. Nimeshawishika sana...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, Sijui kwanini natamani sana kuona wizara ya Nishati na Madini, angepewa John Magufuli hata kwa muda mchache tu. Najiuliza sana sijui ingekuaje au angefanya nini, au ndo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna dada (mbunge) anaitwa Suzan Kiwanga anaongea mambo productive kwani sector ya elimu ya Tanzania imeoza hamna sera thamithi za kuinua elimu yetu
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo katika wall yake ya facebook ameandika "Idris Rashid alitoa tamko kuhusu umeme mwezi Machi 2009, Raia Mwema wamerudia tamko lile leo Uk 13. Jisomee! Tatizo la sasa la umeme ni siasa za mwaka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom